Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Peopleeees Powerrrrrrr... Ipo hivi baada ya ole sabaya kuwa huru, nimeona wanachadema wengi sana wakiinamisha vichwa chini kuashiria kuwa kuna kitu kizito kimetua vichwani mwao baada ya ole...
1 Reactions
25 Replies
1K Views
Habari zenu wana JF wenzangu. Ndugu zangu, najua hapa JF tuna vijana wengi ambao walianza kufuatilia na kujiunga na mambo ya kisiasa miaka ya 2010, 2015, 2020 hadi leo 2023. Vijana hao ambao...
0 Reactions
1 Replies
929 Views
Kama bandiko linavyojieleza, leo hii kwakuwa Mahakama imemuachia huru Sabaya Bila shaka sasa ni muda muafaka wa kufanya maamuzi ya kurudi kwenye jukwaa la siasa yeye Sabaya na Makonda Na hili...
1 Reactions
13 Replies
968 Views
Wanabodi Hapa mimi ni mjumbe tuu na mjumbe hauwawi, hizi ni Salaam bona-fide na genuine za mahabusu kwa rais Magufuli. Baada ya tangazo la Rais Magufuli la msamaha kwa watuhumiwa wa ufisadi la...
88 Reactions
187 Replies
22K Views
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya ameongoza Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya, Mamlaka ya Mapato Mkoa wa Kilimanjaro pamoja na Maafisa kutoka Halmashauri kufanya operesheni maalum...
6 Reactions
110 Replies
16K Views
Kama ambavyo Rais Magufuli amekuwa akijigamba kuwa anapambana na mafisadi wakwepa kodi na wahujumu Uchumi pamoja na mabeberu kwa kupitia kauli yake ya vita ya kiuchumi. Huyu Mwanyika ndo Rais...
22 Reactions
228 Replies
28K Views
Tunakumbushana tu kwa sababu Bavicha ni Wasahaulifu sana Haijulikani ni kwanini Kibatala alimpanga Ole Sabaya kwenye orodha ya mashahidi wa Mbowe kwenye Kesi ya Ugaidi ila cha muhimu Ole Sabaya...
2 Reactions
1 Replies
683 Views
Wana janvi sina mengi ,najua mpo vizuri tu, na neema ya Bwana ipo juu yenu Husika na mada tajwa hapo juu, Yupo ndugu Lema ambaye kwa wakati flani alikua mbunge Arusha mjini na sio mda mrefu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika hotuba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuhusu mapitio ya serikali na makadirio ya mapato na matumizi ya fedha za ofisi ya waziri mkuu na ofisi ya bunge kwa mwaka 2023/2024 amesema...
0 Reactions
0 Replies
830 Views
Mara baada ya kuibuka maneno mengi mitaani kuwa Chama cha Waganga wa Tiba Asilia na Tiba Mbadala Mkoa wa Simiyu kina makada wengi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mwenyekiti wa umoja huo, Mayunga...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nazungumza na Wana wa CDM, ACT, NCCR, CUF nk pamoja na kwamba mmesajili vyama vyenu ili kuja kukiangusha chama tawala cha CCM lkn uhalisia unaonesha mmeathiliwa sana mifumo ya kikoloni na utumwa...
3 Reactions
21 Replies
1K Views
Ndugu Humphrey Polepole, Tarehe 28/11/2020 Ndugu Hamphrey Polepole aliteuliwa na Hayati Rais Magufuli kuwa Mbunge, hapo awali alikua ni Katibu Mwenezi wa CCM Taifa. Baada ya kifo cha Rais...
12 Reactions
22 Replies
2K Views
Niliposema ttcl inakwenda kufa rasmi na kuna mtu analitaka life nilionekana sina akili huwa nikiandika kitu mjuwe sikurupuki. Uzi niliandika ni huo...
15 Reactions
35 Replies
3K Views
Rais sijui ana nongwa gani na kijana Sabaya. Kazi aliyofanya Sabaya kwa CCM halafu anakomolewa na Serikali ya CCM ni jambo la kushangaza. Anachokitafuta Rais Samia ndani ya CCM ni kukiangamiza...
18 Reactions
124 Replies
7K Views
Wakuu hii ndio hali halisi
48 Reactions
310 Replies
59K Views
Kila nikikumbuka utendaji kazi wa dc Ole Sabaya ninasikitika sana kwa haya anayoyapitia. Mtoto akinyea mkono tusiukate, tunaweza kumsaidia huyu kijana wetu, tujifunze namna wanachama wa chadema...
8 Reactions
133 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:- 1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Hatimaye Rais Samia, ameguswa na maombi ya wana CCM na tarehe 15/2/2023 atamwachia rasmi aliyekuwa mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya, kwani kusameheana kupo. Kwenye mizani Sabaya na Mbowe...
8 Reactions
47 Replies
4K Views
Ni muhimu sana kwa Serikali kuwa na mfumo wa uongozi ambao unategemea uwezo, ujuzi na uzoefu wa mtu, badala ya uhusiano wa kichama, kifamilia au urafiki. Kuweka ndugu au marafiki kwenye nafasi za...
0 Reactions
0 Replies
525 Views
Back
Top Bottom