Ukweli ni kwamba hali ya maisha ya Watanzania ni ngumu mno ! Wananchi wanalalamika lakini hakuna anayewasikiliza, bei ya vyakula inazidi kupaa.
Ni lazima sasa serikali ifanye jambo ili kunusuru...
Wadau wa Siasa Duniani wanakitaja Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kama chama cha siasa Maarufu zaidi Nchini Tanzania katika robo ya Kwanza ya mwaka, Chadema inatajwa Dunia nzima kama...
Nini kinawafanya marais wetu waliostaafu na waliopo madarakani kushindwa ama kuogopa kuonesha mali zao ikiwemo vitu wanavyomiliki?
Je, ni wizi? Kwamba mali walizo nazo walozipata kwa wizi?
Je...
Habari za muda huu Wana JF
Mwaka wa 2 Sasa tokea tuondokewe na kiongozi wetu shujaa mtetezi wa wanyonge JPM endelea kupumzika kwa amani.
Kuna kipindi nilikuwa Kenya kabla ya kifo Cha magufuli...
Huu ulikuwa uwezo wa kipekee sana Sijapata kuona ! Inafahamika kwamba Viongozi karibu wote wa ccm wanatengeneza Makundi, lakini Mara zote viongozi hao hutengeneza makundi ya kampeni, yaani...
Mbunge huyo alianza kujulikana kwa jina la Bonnah Kalua, kabla ya baadae kubadili jina na kuitwa Bonna Kamoli aliwahi wakati mmoja kusema kupitia mahojiano na chombo cha habari kuwa atakuja...
Mwenyekiti wa Bunge Kamati ya Serikali za Mitaa mh Halima Mdee ameitaka serikali kuwashughulikia mara moja wobadhirifu wote Tamisemi waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG
Mdee amesema safari Hii hakuna...
KIHENZILE, SILLO & NAJMA - WENYEVITI WATATU WA BUNGE WALIOCHAGULIWA
Bunge limewachagua Wenyeviti watatu wa Bunge ambao watasaidia katika kuongoza vikao vya Bunge kwa maelekezo ya Spika wa Bunge...
Wanasema mtu mpole akichukia ni hatari sana tena sana, huyu mama amekuwa mkimya japo aliwahi kuonya kuhusu kupapasa na kukuna kwa wabaya wake, kama unabisha muulize Diwani Athumani na Mbowe ...
Mbunge wa Nkasi Kaskazini (CHADEMA) amemlipua Rais Magufuli wakati akichangia hoja bungeni hii bungeni hii leo akieleza kuwa amefanya vyema kwa namna alivyoliongoza taifa tangu alivyopokea kwenye...
MHE. SOSPTER MUHONGO AGAWA CHAKULA CHA DHARURA KWA WAATHIRIKA WA MAFURIKO
Leo, Jumanne, 4.4.2023, Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Mhe. Prof. Sospeter Muhongo ametembelea Kijiji cha Kusenyi...
Lars Vilks ni mchora katuni maarufu ambaye aliingiza dunia kwenye machafuko mpaka kutokea vifo na migogoro mikubwa baada ya kuchora katuni ya kumkashifu Mtume Muhammad SAW. Cartoonist huyu ambaye...
Ukisikia watu wameiacha legacy ndiyo hawa sasa. Huyu aliacha alama kweli kweli!!!!
Siyo lile taka linaitwa mwamba wakati hakuna hata mtaa wala taasisi yoyote mahala popote ktk nchi yoyote...
Asema Ripoti ya CAG haikufika Bungeni na watu wawe watulivu. Amedai baada ya Ripoti kusomwa taarifa huwa inaletwa Bungeni na kujadiliwa na maazimio ya Ripoti kutolewa na Bunge.
Ameendelea kusema...
Ktk Azimio Maalum la Kumpongeza Rais Samia kwa uongozi mzuri, kupitia Bunge la 12 mkutano wa 11 kikao cha Kwanza, Ole Sendeka awasha Moto.
Alianza kwa kumsifia Sana Rais Samia lakini mwishoni...
Mbunge wa Babati Vijijini, Mhe. Daniel Sillo amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Bunge na kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Mhe. Mussa Zungu aliyechaguliwa kuwa Naibu Spika wa Bunge.
Leo Jumanne...
Huwezi kutenganisha chuma na uchumi wa mtu. China leo ndiye mzalishaji mkubwa wa chuma duniani na ndiye mwenye uchumi mkubwa zaidi.
Marekani amepitwa na miji yake inaoza baada ya kupitwa kwenye...
Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linatarajia kuanza Mkutano wa 11 ambao ni wa Bajeti kuanzia Aprili 4, hadi Juni 30, 2023.
Katika Mkutano huo, Maswali mbalimbali yataulizwa pamoja na...
Kufanya siasa hapa nchini hakujawahi kupungikiwa vitimbwi.
Haki, usawa na ustaarabu vimemilikishwa chama tawala. Mamlaka ikajikita kuhakikisha wengine hawafurukuti.
Yote haya yakifanikishwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.