Ukishangilia Maridhiano shangilia na Matunda yake, Kesi ya Mbowe ingeendelea Ole Sabaya alikuwa Shahidi wa Utetezi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,978
141,995
Tunakumbushana tu kwa sababu Bavicha ni Wasahaulifu sana

Haijulikani ni kwanini Kibatala alimpanga Ole Sabaya kwenye orodha ya mashahidi wa Mbowe kwenye Kesi ya Ugaidi ila cha muhimu Ole Sabaya angepanda kizimbani kumtetea Mbowe

Siku zote Maridhiano yana faida kubwa na gharama kidogo kwahiyo Bavicha ombeni George Sanga aachiwe Huru Kule Njombe kama ni kweli hakumuuwa Diwani

Nawatakia Juma Takatifu Lenye Baraka tele!
 
Back
Top Bottom