Rais ateua Wenyeviti Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania na Chuo cha Taifa cha Usafirishaji

benzemah

JF-Expert Member
Nov 19, 2014
1,504
3,034
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:-

1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Uwekezaji.

Uteuzi huo umeanza tarehe 02 Aprili, 2023; na

2. Amemteua Prof. Ulingeta Obadia Lebson Mbamba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa kipindi cha miaka mitatu (03). Prof. Mbamba anachukua nafasi ya Prof. Blasius Bavo Nyichomba ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi huo umeanza tarehe 29 Machi, 2023.

1D6C22FD-42A1-4941-A601-4BB420D90DC2.jpeg
 
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uteuzi kama ifuatavYo:-

1. Amemteua Bw. Andrew Wilson Massawe kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Taasisi ya Utafiti wa Kilimo Tanzania (TARI). Bw. Massawe anajaza nafasi ya Dkt. Tausi Mbaga Kida aliyeteuliwa kuwa Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais Uwekezaji.

Uteuzi huo umeanza tarehe 02 Aprili, 2023; na

2. Amemteua Prof. Ulingeta Obadia Lebson Mbamba kuwa Mwenyekiti wa Baraza la Uongozi la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwa kipindi cha miaka mitatu (03). Prof. Mbamba anachukua nafasi ya Prof. Blasius Bavo Nyichomba ambaye amemaliza muda wake.

Uteuzi huo umeanza tarehe 29 Machi, 2023.

1680687627598.png
 
Nasubiria mkeka wa wakurugenzi. Huenda nikawemo kudadadek lazma takukuru wanifuatilie.
 
Hongera Prof Mbamba.
Somo lako nilikuwa hata sijui linahusu nini lakini niliambulia B plain.
Mungu baba wa mbinguni akutangulie katika wito mpya ulioitiwa...
 
Back
Top Bottom