Ripoti ya CAG itaendelea kuwa Stori zisizo na funzo lolote Kwa Sababu wezi wamegundua kwamba ukiwa na pesa hakuna wakukuchukulia hatua.
Wanasiasa wote walioiba na waliobambikiwa kesi wapo uraia...
1-Kuingia Ikulu×
2-Kujenga ofisi makao makuu×
3-Kujenga chama cha kisiasa×
4-Kuwafikia wananchi mashinani×
5-Kujenga uongozi wa kitaasisi×
6-Uadilifu katika matumizi ya ruzuku×
7-Kutumia kwa...
Nimesoma bandiko la mtu humu ndani akitoa wito kwa mfungwa Ole Sabaya akagombee Ubunge Jimbo la Hai.
Nimweka sawa mtoa wito na wengine wanaofikiria hivyo kwamba Sabaya hakuachiwa huru, hapana...
Rais Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2021/2022 kutoka kwa CAG pamoja na ripoti ya TAKUKURU.
Baada ya kupokea ripoti hiyo Rais Samia Suluhu amesema...
Ziara ya Rais Dk. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya Oktoba, mwaka jana nchini Qatar, imeendelea kuvuta wawekezaii kutaka kuwekeza kwenye sekta; ya mifugo nchini.
Katika kikao kati ya Waziri wa...
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) wa zamani, Profesa Mussa Assad amechambua kwa ufupi mazingira ya Ripoti ya CAG iliyotolewa hivi karibuni Mwaka 2023.
Hili jambo la kuwasilisha...
AYSHAROSE MATTEMBE ACHANGIA MILIONI 10 KUNUNUA MAJIKO YA GESI KWA WANAWAKE
Mbunge wa Viti maalum Mkoa wa Singida, Mhe. Aysharose Mattembe amefanikisha Semina kubwa ya mafunzo ya Utunzaji wa...
Chama cha Wafanyabiashara Ndogondogo Mkoa wa Dar es Salaam (KAWASSO) katika kipindi cha mwaka huu wamesema kuna mwanga mpya wa fursa kupitia kwa wadau wa Banki Maendeleo kwa kuwa 2023 Benki hiyo...
Thank God kuwa Awamu hii haina kuuana, kupotezwa, kubambikia kesi za UONGO, MKIRU, kutishana, kupotezwa kama ilivyokuwa Kwa Magufuli, in short hakuna watu wasiojulikana ambao alikuwa ana waamuru...
Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kusisitiza utaratibu wa usajili wa magari
ya Umma unafuatwa na kutafanyika zoezi rasmi la kurejesha...
Utendaji wa Serikali kwa njia ya Mtandao hupunguza Urasimu na kuongeza Ufanisi wa utoaji wa Huduma zinazogusa Wananchi.
Huwezesha Wananchi kufuatilia kirahisi Maendeleo ya Maombi au Huduma...
MBUNGE MHE. FREDRICK LOWASSA AZIWEZESHA VIFAA VYA TEHAMA SHULE ZA MSINGI NNE
Mbunge wa Jimbo la Monduli Mkoa wa Arusha, Mhe. Fredrick Edward Lowassa akishirikiana na Mkuu wa Wilaya ya Monduli...
Spika tulia anahitimisha kuwa bwawa liko pwani baada ya mzozo wa muda mrefu bungeni kuwa bwawa liko wapi?
Mvutano wa WABUNGE wa mkoa wa pwani, Morogoro na lindi kutaka kuvutia kwao lilipo bwawa...
Shalomu Tanzania!
Nimekuwa nikiota ndoto za ajabu na kwa upande mwingine ndoto hizo, huwa zinanifurahisha na naamini pia iwapo itakuwa ni kweli' wote waliowahi kusababishiwa umasikini na ama...
Ni dhahiri kwamba jana habari ya mjini nchini Tanzania ilikuwa ni kurejea uraiani toka Magereza kwa Lengai Ole Sabaya, aliyewahi kuwa mkuu wa wilaya ya Hai mkoani Kilimanjaro.
Sabaya aliyekuwa...
Wadau katika kuongea na mdau serikalini ngazi za juu kanitonya kuwa gharama iliyotumia katika kampeni ya kumpongeza Samia inakadiliww kufikia sh Billion 80Tz. Hizi ni Gharama za posho za vikao vya...
Waitara akihutubia mkutano wa hadhara Wilayani Tarime ameonekana akizungumza kwa jazba huku akiwaeleza Wanachi mambo mbalimbali. Akiwa katika mkutano huo Waitara alisema:
"Muda wa kubembelezana...
Siku ya Jumatatu usiku kuamkia Jumanne Party Cocus ya CCM ilikutana Dodoma kuwekana sawa kabla ya vikao vya Bunge kuanza kama ilivyo kawaida.
Kikao kiliratibiwa vizuri na Mbunge Rashidi Shangazi...
Nilitegemea baada ya kuingia kwenye Maridhiano viongozi wakuu wa CCM na Chadema wangekuwa wanatoa kauli za kujenga siyo kubomoa.
Lakini ni viongozi wa CCM Ndio wamekuwa watulivu pamoja na Mbowe...
Hatuyafurahii matendo ya kiharamia yaliyotendwa na Ole Sabaya lakini tuwe na kiasi tunapomshambulia
Tusisahau Kuwa Mbowe alitiwa Hatiani na mahakama na hajahukumiwa, ni kama ule mnyororo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.