Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,791
- 34,792
Peopleeees Powerrrrrrr...
Ipo hivi baada ya ole sabaya kuwa huru, nimeona wanachadema wengi sana wakiinamisha vichwa chini kuashiria kuwa kuna kitu kizito kimetua vichwani mwao baada ya ole sabaya kuwa huru.
Kama wanavyojinasibu wao ni makamanda, lakini inakuwaje tena wanamuogopa sana huyu kijana? Nimeona na kusikia vilio vyao vya uchungu kutoka kila pembe walipo.
Mimi ninawaomba wanachadema waache kumuogopa ole sabaya, huyu ni kijana wa kawaida Sana kama vijana wengine tu. Kuweni huru hampaswi kumuogopa na kuanza kulialia.
Ikumbukwe wakati sabaya anakamatwa Kuna vijana wa chadema waliwahi kusema sabaya aliwahi kuwabaka, je ni kweli? Kama ni kweli naomba niwatoe hofu kama ni kweli mliwahi kubakwa basi hiyo haitatokea tena chini ya jemedari raisi wetu mpendwa kabisa mama yetu wa shoka Samia.
Kutokana na hoja hizo nzito hapo juu, nawasihi wanachadema waache kulialia na wachape kazi, maendeleo hayana chama. Kwa kusisitiza hizi nipo tayari tuweke challenge ya kukusanya pesa na kufanya ukarabati wa ofisi za makao makuu ikiwemo kusafisha na kurekebisha maliwatoni.
Niwaombe wanachadema tutoe hofu na wote tumuunge mkono mheshimiwa ole sabaya, sabaya usipomchokoza hana shida na mtu.