Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba amesema hali ya mfumuko wa bei wa Tanzania ni nafuu ukilinganisha na nchi nyingine Duniani ambazo bei za bidhaa mbalimbali hupanda kila baada...
0 Reactions
27 Replies
1K Views
Cdm tunatumia uhuru wa kisiasa kufanya mikutano ya kisiasa nchini kote ili kujiimarisha kisiasa kwa kuongea na watanzania wa sehemu husika. Jana tulikuwa kigoma kwenye muendelezo huo huo,kigoma...
8 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari Jf. Hivi Tangu Tanzania ipate Uhuru Kuna viongozi wangapi wamejiuzulu nafasi zao pale wanaposhindwa kukidhi mahitaji? Imekuwa kawaida sana kwa viongozi wengi katika nchi ya Tanzania...
0 Reactions
0 Replies
478 Views
Tulikua tukiishi katika nchi yenye umoja na kuvumiliana. Changamoto hazikuwahi kukosekana. Watu waliuliumizwa sana, lakini kamwe waumizaji hawakusimama hadharani kushangilia au kujisifu, bali...
37 Reactions
318 Replies
14K Views
  • Poll Poll
Kero kama maji, umeme, afya, elimu, ujinga na umasikini, lini tutaweza kuwa na umoja na ushikamano katika kujenga nchi, kutoa ubinafs kwa walio na nafasi, kujitegemea kupitia rasilimali zetu...
0 Reactions
0 Replies
401 Views
Uendeshaji wa Nchi unaweza kuwa mgumu.sana ikiwa Kila anaelalamika itabidi asikilizwe na abembelezwe kiasi ya kutatiza mambo mengine. Tukifika hapo nadhani Kutakuwa na hatari kubwa sana maana...
0 Reactions
6 Replies
499 Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Mh. Godbless Lema amemtaka mwekezaji namba 1 Africa mashariki Rostam Aziz kusambaza Umeme wa Solar Nchi nzima. Kwa sasa Rostam Aziz anafunga Mitambo...
6 Reactions
37 Replies
3K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la Bunge la 12 Mkutano wa 11, Kikao cha 25 leo Mei 15, 2023. WAZIRI MASAUNI: SERIKALI HAIJAJIRIDHISHA URAIA PACHA NI MATAKWA YA WENGI Waziri wa Mambo ya Ndani...
1 Reactions
69 Replies
9K Views
CCM yafichua mpango wake wa kutawala mpaka 2100. Na MwanaPuge. Chama kinachotawala nchini Tanzania,CCM kimeweka wazi mpango na mkakati wake wa kuhakikisha inatawala mpaka mwaka 2100 na zaidi...
5 Reactions
66 Replies
7K Views
Uchambuzi wa Bajeti ya Elimu kwa mwaka wa fedha 2023/24 Utangulizi. Leo, tarehe 17 Mei 2022 Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania linaenda kuhitimisha mjadala wa bajeti ya waziri ya Elimu kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mgomo wa kariakoooooooooo Wewe somaji itikia Hiviiiii! Mimi ndo LIdakitari lenye PHD Tanzania. Hivi mbunge unakuja jimboni unaomba kura tunakuchagua au unatumia vyombo vya Dora kushinda unaenda...
1 Reactions
0 Replies
299 Views
Makamu wa Rais Dkt Phillip Isdor Mpango amefungua Barabara ya Loliondo–Mto Wa Mbu (km 217) Sehemu ya Wasso-Sale (km 49) ambayo imekamilishwa na Serikali kupitia TANROADS kwa kiwango cha lami...
2 Reactions
3 Replies
892 Views
Huko CCM mambo si shwari tena, ni kama Mzee Makamba alikuwa anatafuta upenyo wa kumshambulia Dr Bashiru, na sasa ameupata. Akiwa kwenye Mkutano wa CCM huko Dodoma, amemshambulia waziwazi Dr...
31 Reactions
117 Replies
10K Views
CHALINZE: MWENGE WA UHURU WAZINDUA MIRADI YOTE CHALINZE, JE CHALINZE ITAONGOZA TENA MWAKA HUU?. Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2023 Jumatatu Mei 15, 2023 umefanikiwa kumulika na kukagua miradi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiukweli kampeni za Urais ndani ya CCM zimeshika kasi na CHAWA wanaongezeka Siku hadi siku Sasa unajiuliza hawa Watarajiwa wataweza kuwagharamia hawa CHAWA hadi 2030? Ngoja tuone!
1 Reactions
2 Replies
317 Views
Je Kodi inaweza kusanywa kama wafanyavyo Askari wa kizanzibari dhidi ya uhalifu? Moderator,naomba nikusihi usifute Uzi huu kamwe. Je Kodi yaweza kusanywa Kwa lugha yakhe mie Afande Joti...
0 Reactions
0 Replies
344 Views
Mheshimiwa Rais Nakuamkua kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Tunajua kuna juhudi unafanya tena kubwa ili kuivusha Tanzania kutoka kwenye hali ya uchumi wa chini kuelekea uchumi wa juu...
8 Reactions
11 Replies
1K Views
Vikao vya Siri vya wanachadema vinaendelea chini ya uratibu wa viongozi wao wakuu. Lengo na wao wajichanganye katika mkutano wa Waziri Mkuu na wafanyabiashara wakiwa na ajenda zao za kisiasa...
2 Reactions
25 Replies
3K Views
CHADEMA wamezindua operesheni yao Kigoma, na katika malengo ya operesheni, mojawapo ni Katiba, lakini inaonekana wameingia katika Kambi ya ACT Wazalendo iliyo chini ya Zitto Kabwe-Mkoa wa Kigoma...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Akitoa taarifa fupi ya Mradi huo Mtendaji Mkuu wa TANROADS Eng: Rogatus Mativila amesema Ujenzi wa barabara Wasso hadi Sale (km 49) ni sehemu ya juhudi za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
1 Reactions
0 Replies
762 Views
Back
Top Bottom