Unajua Lissu anajitia hajui kuwa hali iko hivi, Rais Samia 2025 hataki kabisa upinzani mkali, sasa Lissu yeye anakomaa. Mambo tayari yako mezani pale Mbeya, wataka jimbo Sugu apate na Tulia...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , ndugu Paulo Makonda , kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu ameonekana hadharani.
Ni kwenye msiba wa Bernard Membe kwenye viwanja vya Karimjee, bado...
Naangalia hapa vyombo vya habari vya Kenya, naona kuna ratiba ya Ruto kufanyiwa mahojiano tena, hii ni mara ya pili kama sikosei tangu aingia Madarakani.
Kwa mtakao fuatilia mtakuja niambia wale...
Zitto Kabwe: Nilipokuwa nina mgogoro ndani ya CHADEMA Membe alinihurumia akataka kunipa Ubalozi wa Ujerumani!
KC wa ACT Wazalendo Zitto Kabwe amesema wakati akiwa na mgogoro ndani ya CHADEMA...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Nape Nnauye amesema katika kitabu cha historia ya maisha ya Membe alichokiandika mwenyewe enzi za uhai wake huenda kuna sehemu kitawakwaza...
Walianza NEMC sasa ni zamu ya TRA kumgombanisha Rais na wananchi wake anaowapenda.
Ni ukweli usiopingika kuna Taasisi zinamuingiza Mhe. Rais katika mtego na wananchi kadiri siku zinavyokwenda...
Kama kichwa cha thread kinavyoonesha, sishabikii vita ila inaonekana nchi za Magharibi na Marekani ni tishio sana kila anaemsaidia Urusi hufanya hivyo kisiri siri!. West hujiona wapo sahihi kwa...
Kuna kelele nyingi za wanafiki kwako Mh. Membe. Lililo jema ni kwamba unaufahamu sana unafiki wao.
Manabii wa kweli wa Mungu, tangu historia, na tangu kale, wanafahamika kwa kusimama na kuusemea...
Jasusi wa zamani wa TISS, Mwanadiplomasia na waziri mstaafu Benard Membe yupo kimya Sana awamu hii.
Membe ni jasiri aliyemtikisa Magufuli na kukosoa utendaji wake tangu mwaka 2016 mwanzoni...
Katika hali ya kawaida, hakuna binadamu mwenye akili timamu ambaye hufurahia kifo cha binadamu mwenzake, labda binadamu huyo aliyekufa awe ni mtu ambaye uwepo wake unasababisha vifo vya wanadamu...
Nimemuona bwana Nape alivyotingwa na majonzi wakati mwili wa Godfather wake ukiingia nyumbani Mikocheni. Kiukweli ameshindwa kujizuia.
Kanuni ya dunia ni moja kama umeamua kuwa na moyo wa chuma...
GHARAMA KUBWA ZA AFYA NCHINI; TUNATAKA KILA MTANZANIA KUWA KWENYE HIFADHI YA JAMII
[Uchambuzi wa Bajeti ya Afya kwa mwaka wa fedha 2023/24]
Utangulizi.
Ijumaa Mei 12, 2023 Waziri wa Afya Ndugu...
MANENO ya Kiingereza yenye kubeba tafsiri ya ujasiri ni mengi. Hapa nitatumia mawili, “valorous" na “plucky”, kueleza wasifu wa Bernard Kamillius Membe. Mwanasiasa, mwanadiplomasia na kachero...
Rais mstaafu mzee Kikwete alikuwa nje ya Nchi na amewasili mchana huu na moja kwa moja ameelekea Karimjee kutoa heshima za mwisho kwa mwili wa Membe
Kikwete amekuta Viongozi wakuu wa Serikali...
Kwa hali inavyoendelea nchini ni dhahiri hakuna tena upinzani. Bali kuna uungwaji mkono juhudi unaofanywa na wapinzani kwa CCM ila kila mmoja kwa staili yake. ACT Wazalendo wanakula pamoja na...
Wakati dalali wa Mahakama kampuni ya Yono (vijana wa kazi) ikihesabu siku zilizobaki katika 14 (siku za kazi) alizolewa mtukanaji Cyprian Majura Musiba kumlipa fidia Kachero Bernard Membe jumla ya...
Mbunge wa Mtama mh Nape Nnauye anesema Membe alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye Jimbo lao
Nape anesema Membe alikuwa akimuunganisha na Mabalozi mbalimbali akiwemo wa China ambapo ni rafiki...
Poleni watanzania mlioguswa na msiba huu mzito wa Bernard Kamilius Membe.
Ninaangalia live capture ya sherehe ya kumuaga Marehemu Membe hapo Karimjee. Naona kuna itifaki imeandaliwa kwa namna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.