Yusuph Makamba aishiwa Uvumilivu, amshambulia Dkt. Bashiru hadharani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,635
218,067
Huko CCM mambo si shwari tena, ni kama Mzee Makamba alikuwa anatafuta upenyo wa kumshambulia Dr Bashiru, na sasa ameupata.

Akiwa kwenye Mkutano wa CCM huko Dodoma, amemshambulia waziwazi Dr Bashiru kwa kumtaja jina bila kwikwi wala kupepesa macho, amedai kwamba Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa CCM, alimwita Magufuli JEMBE na wala hakuna aliyempigia kelele , sasa leo watu wanasema MAMA ANAUPIGA MWINGI yeye anaumia nini?

Makamba amesema mengi, huku mengine yakiwa hayana tija yoyote.

Bali wengi wamejiuliza kama Makamba aliongea yote hayo kutoka moyoni mwake au ALITUMWA NA KITI? Hapa ndio ccm ilipofikia.
 
Mbona Mzee Steven Wasira aliwahi kuwa mwanachama wa nccr mageuzi na hakuna nongwa?

..alikuwa Ccm, akaenda Nccr, akarudi Ccm.

..halafu hakuna wakati Wassira alikuwa ktk nafasi ya kuwananga na kuwashughulikia wenzake kama alivyokuwa Dr.Bashiru.

..zaidi, Wassira hakuwa mtu aliyepachikwa na Mwenyekiti, wakati Bashiru aliletwa Ccm na kupachikwa kuwa Katibu Mkuu.
 
Siipendi CCM, simpendi Makamba Ila nafurahi sana kuona huyu mpuuzi anapopolewa maana ndiye aliyekuwa ananunua wabunge wa upinzani kwa pesa zetu bila kujali lolote, aliua siasa za hoja na kuratibu mpango wa Nchi nzima kuwa na viongozi wa chama kimoja!!. Bashiru ni mnyarwanda kama alivyokuwa Magufuli wote wana roho za kimafia ndio maana hakusita kusema walitumia polisi kubaki madarakani.
 
Huko CCM mambo si shwari tena , ni kama Mzee Makamba alikuwa anatafuta upenyo wa kumshambulia Dr Bashiru , na sasa ameupata.

Akiwa kwenye Mkutano wa CCM huko Dodoma , amemshambulia waziwazi Dr Bashiru kwa kumtaja jina bila kwikwi wala kupepesa macho, amedai kwamba Bashiru akiwa Katibu Mkuu wa ccm, alimwita Magufuli JEMBE na wala hakuna aliyempigia kelele , sasa leo watu wanasema MAMA ANAUPIGA MWINGI yeye anaumia nini?

Makamba amesema mengi, huku mengine yakiwa hayana tija yoyote.

Bali wengi wamejiuliza kama Makamba aliongea yote hayo kutoka moyoni mwake au ALITUMWA NA KITI? Hapa ndio ccm ilipofikia.
Wewe huijui CCM.
Vijembe kwa kwenda mbele, na Bashiru akijibu hilo dongo, nitag!
 
..alikuwa Ccm, akaenda Nccr, akarudi Ccm.

..halafu hakuna wakati Wassira alikuwa ktk nafasi ya kuwananga na kuwashughulikia wenzake kama alivyokuwa Dr.Bashiru.

..zaidi, Wassira hakuwa mtu aliyepachikwa na Mwenyekiti, wakati Bashiru aliletwa Ccm na kupachikwa kuwa Katibu Mkuu.
Wote wametumikia upinzani,full stop
 
Back
Top Bottom