Kwa mara kwanza Tanzania imekua ranked ya pili AFRIKA kwa matumizi sahihi ya teknolojia serikalini.
Nimeona hii taarifa kwenye gazeti la The Citizen la leo, nikaona waziri wa TEHAMA Nape naye...
Kiongozi wa ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe ameonyesha kutoridhishwa na wasifu wa Bernard Kamillius Membe (69) kutogusia uwepo wake ndani ya chama hicho cha siasa.
Membe ambaye alikuwa Waziri wa Mambo...
Katika dharura hutafutwa Watu Wenye ushawishi Ili kusaidia kuleta suluhisho
Kwa kuwa hawa Wafanyabiashara hapa Kariakoo wanakutaja sana Makonda na wamekumbuka MNO na maduka hayajafunguliwa...
- Wakuu uchaguzi mkuu wa taifa uko kwenye kona, Mzee Mandela aliwahi kusema kwamba kwenye ishu muhimu za taifa kama hizi kuwa kimyaa au kuwa neutral ni dalili za kuwa coward.
- Kwa wale tulio na...
Magufuli hakika uliifanyia mema Tanzania kwa niaba ya Watanzania Wazalendo na sio Kwa ajili ya Wapiga dili na Wauza nchi mchana kweupe.
Your life was a blessing, your memory a treasure🙏
Tangu lile genge lilipoipindua CCM halali, likafanya kampeni nje ya utaratibu wa CCM na kutwaa madaraka, hakuna siku waliwahi kuomba na kutubu kwa kitendo chao cha kuipindua CCM na kutuaminisha...
Ninadhani kuna watu wanabeba ajenda na matamanio ya wananchi na malalamiko ya wananchi kama ni harakati za wafuasi wa Magufuli.
Hali ambayo Mh.Rais na baadhi ha viongozi wenzie wanaziba masikio...
Tamisemi kuna matatizo mengi sana hasa ulaji wa fedha za miradi..waziri na timu yake bado ajafungua macho kuwaziba midomo wezi.
Kwenye biashara napo kugumu wafanyabiashara wameanza kuona giza...
Mgomo unaoendelea Kariakoo uwe wake up call kwa serikali kuacha kutumia vyombo vya dola kuendesha biashara za raia. Tutumie wataalam watuambie tatizo lilipo na tulipatie ufumbuzi.
Siku dola...
Buriani Bernard Membe, Mwanademokrasia
Mama Dorcas Membe pamoja na wanao
Ndugu Wafiwa
Viongozi na Waombolezaji wenzangu
Ndugu Watanzania
Nimepewa nafasi niseme machache ya kumuaga mzee wangu...
Mapema 2021 matukio yalianza hivi hivi safari za Karimjee kutokwisha hadi pigo kuu lilipotimu.
Ee bwana Mungu wa Majeshi mlinde Rais wetu na mpe nguvu ili aweze kulitumikia Taifa kwa amani-AMINA!
Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Tanzania amemshukuru Hayati Dkt. John Pombe Magufuli kwa uamuzi wake wa kutosimamisha shughuli za kiuchumi wakati wa janga la Covid 19 na kusema hatua hizo...
Nimeandika kama kumbukumbu tu, wala sina nia mbaya.
Kama mtakumbuka Wagombea Urais wa chama hicho waliofariki na ambao waliosajiliwa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi wamefikia watatu; Maalim Seif...
Waziri wa Afya mh Ummy Mwalimu amesema kuna tetesi za Covid-19 anaimba Wananchi watulie
Ummy amesema wanachakata taarifa Kutoka vituo mbalimbali kama kuna dalili za ongezeko la matatizo ya...
Jaji wa Mahakama Kuu anaamua kuficha historia ya Membe kwa kuacha kusema alikuwa mwanachama wa ACT na aligombea urais, kwenye ulimwengu wa kidijitali ambao taarifa zinatunzwa jaji anajaribu...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki ibada ya kuaga Mwili wa Marehemu Mhe. Bernard Kamillius Membe, Waziri Mstaafu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika...
Unajua Lissu anajitia hajui kuwa hali iko hivi, Rais Samia 2025 hataki kabisa upinzani mkali, sasa Lissu yeye anakomaa. Mambo tayari yako mezani pale Mbeya, wataka jimbo Sugu apate na Tulia...
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam , ndugu Paulo Makonda , kwa mara ya kwanza katika kipindi kirefu ameonekana hadharani.
Ni kwenye msiba wa Bernard Membe kwenye viwanja vya Karimjee, bado...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.