Jambo Jambo?
Niko zangu Kahama na leo sijaenda kibaruani kwasababu ya mafua makali na homa kimtindo.
Nikaona ni wasaa wa kufuatilia “Bunge kibogoyo,” mwanzoni chaneli zote za bongo ziligoma...
Dodoma. Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina ameendelea kuing'ang'ania Wizara ya Nishati kuhusu mradi wa bwawa la umeme la Mwalimu Julius Nyerere safari hii alitaka iundwe tume ya kuchunguza.
Mpina...
Pokeeni Maono yangu haya na wekeni kumbukumbu sahihi,
<<<<<< Tumsikilize kidogo Rais ajae >>>>>>
Huyu ndiye Rais wa awamu ya saba 2030-2040 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mungu amsimamie...
Spika wa bunge Dr Tulia amesema Uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro (KIA) ni mali ya Serikali kwa 100%
Dr Tulia alikuwa anakazia kauli ya mbunge wa Hai Ndugu Mafuwe aliyadai Serikali ilinunua shea...
Kuna kila dalili kwamba huyu Mama ataweka rekodi mpya kwenye siasa za Tanzania , hasa kwenye Historia ya Bunge la Tanzania.
Kwa Mujibu wa macho yangu Tulia Ackson hatorudi Bungeni 2025 na zipo...
Kufuatia shughuli za siasa kuruhusiwa rasmi nchini sasa rasmi sisi wana Mbeya tumeshamuaga Tulia na kumkaribisha mh Sugu.
Namaanisha kuwa tulipatiwa mbunge ambaye halikuwa chaguo letu sisi wana...
Rais aliyetimuliwa madarakani al Bashir aliwamilikisha na kubinafisisha kila kitu kwa waart asilimia kubwa ya uchumi wa Sudan ukawa chini ya Waarabu.
Wale wasio kuwa na ukaribu na waarabu wakawa...
Dkt. Tulia Ackson ambaye ni spika wetu ndiyo kwa sasa tishio kubwa sana kwa katiba mpya na mwenendo wa sheria na maendeleo kwa nchi yetu.
Huyu spika ambaye aliingizwa baada ya kutetea sana Uraisi...
Kuna tetesi kuwa baadhi ya wabunge wamejipanga kuwasilisha hoja bungeni ya kutokuwa na imani na Spika wa Bunge, Dk. Tulia Ackson baada ya kuonekana wazi kushindwa kuuongoza mhimili huo kwa manufaa...
Pamoja na siasa uchwara za wenzetu, inabidi tukubali ukweli tunaouona kwa macho yetu.
Toka tumeanza kuwa na huyu mbunge wetu Tulia Ackson, miradi mkoa wa Mbeya imeanza kuchangamsha mkoa.
Pamoja...
Huu ni ushauri wa bure kwa mpendwa wetu Mama Samia.Siyo siri hili suala la ubinafsishwaji Bandari zote za nchi hii iitwayo Tanzania, lina ukakasi wa kutisha.
Huu upinzani mkubwa kwa...
Miaka hiyo ilikiwa sio rahisi kusikia rais fisadi na anayekumbatia ufisadi huku raia masikini wakiteseka akikaa madarakani alipinduliwa na kuuwawa kwa maslahi ya taifa.
Samuel Doe alifanya kweli...
Siku zote humu Watu wanadai hawana hamu ya kufuatilia Bunge kwa sababu hawajawachagua.
Lakini leo kila mtu hasa Wafuasi wa CHADEMA akina Retired wanatoa ombi kwa TANESCI wasikate Umeme.
Nchi...
Hii Siyo kwa Wanasiasa tu bali Hata kwetu Waamini
Yesu alipoondoka duniani alisema Katika Ubinadamu wetu hatuwezi lolote hivyo atatuletea Msaidizi ambaye ni Roho Mtakatifu
Japo mzee Reginald...
Salam zangu ziwafikie Kabudi, Warioba na Polepole.
Sasa nawaelewa rasmi kwamba maoni ya wananchi yalikuwa sahihi.
Muundo wa Serikali tatu Sasa unaanza kuonekana ni mhimu ukawepo. Serikali Moja...
Mheshimiwa Spika sisi watanzania tunakuomba kwa heshima na taadhima wabunge hawa waitwe kamati ya maadili ya Bunge na baadaye wahojiwe TAKUKURU kwa tuhuma za Rushwa bungeni.
1. Rashid Shangazi...
Haya maneno yalisemwa na mwalimu Nyerere mwaka 1978 akiwa amevalia sare za mgambo
Sare hizo ndio huvaliwa na Chadema siku Hizi kwa kitambaa kilichoboreshwa
Nawatakia Sabato Njema!
Kama Lowasa angeshinda Uraisi hiki kinachotokea sasa kingeshatokea tangia 2015-2020, kwa maana marafiki wa Lowasa ambao walikuwa wanadhamini Kampeni zake za Uraisi ndiyo wanaouza Bandari yetu leo...
Ni nchi yenye uajabu wake!
Ni nchi yenye rsilimali zake nyingi, ila huwa hazitoi faida kwa wananchi!
Utasikia kiongozi akisema, hiki na kile, kimetutia hasara ya mabilioni kadhaa, tuwape wageni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.