johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,035
- 142,131
Ni mtu mjinga tu ndio atakubaliana na Kibajaj kwamba Ripoti ya CAG isijadiliwe bungeni hadi mwakani
Mikutano ya hadhara imeruhusiwa na Ripoti itachambuliwa na Bunge la Wananchi huku mtaani na hakuna Waziri atavumilia lazima wataanza kujibu na haijalishi watajibia wapi lakini hata ikiwa ni Kanisani au Msikitini majibu ni majibu
Huyu Kibajaj aache Siasa za kukariri taarifa ziko kiganjani dunia ya leo
Nimempuuza sana yule agwe!