Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nafurahishwa sana na namna watanzania Wana hoji juu ya rasilimali zao hii ni ishara kubwa sana "Political culture "ya Tanzania sasa inahama kutoka Subject political Culture kutokana na tafiti ya...
5 Reactions
18 Replies
2K Views
Bunge letu ni taasisi na muhimili wa kidola usiopaswa kuegemea mihimili mingine ya kidola katika taifa. Kwa nini Bunge la JMT lielekezwe kubariki badala ya kusimamia (dhibiti) na kutoa mwongozo...
23 Reactions
65 Replies
10K Views
Mimi ni muumini wa Bunge kuwa na nguvu (Parliamentary Supremacy) dhidi ya serikali (Executive Supremacy) au chama (Party Supremacy). Bunge ndiyo chombo au muhimili mkubwa (Principal organ) wenye...
3 Reactions
5 Replies
826 Views
Wapumbavu wanaotetea ubinafsishaji (ashakum si matusi) Wana hoja kadhaa! Ila moja iliyo strong kwao ni wizi wa fedha za umma kwa watendaji wa Taasisi! Huu Ni upumbavu! Kwa nini utoe rasilimali...
8 Reactions
58 Replies
2K Views
Mkataba Kati ya Serikali ya Tanzania na kampuni ya DPW ya Emirates Dubai umeacha maswali mengi na kuamsha hisia za kudai Katiba mpya kwa nguvu zote. Ni mkataba ambao ulisainiwa kwa mwendokasi...
40 Reactions
155 Replies
21K Views
Rais wa Jamhuri ya Mungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akifungua na kushiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara (TNBC) katika Ukumbi wa Kikwete - Ikulu Dar es Salaam leo tarehe...
2 Reactions
51 Replies
5K Views
Akizungumzia tuhuma za kupewa gari ili atetee DP World kusimamia na kuendehs bahari nchini, mbunge Joseph Musukuma amesema gari aliyonayo amenunua kwa hela yake na amelipa ushuru milioni 130 ili...
4 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwa mtazamo wangu, Mwigulu hafai kabisa kuwa waziri wa wizara yoyote licha ya kuwa waziri wa fedha. Sijamuona kuwa na ubunifu wowote kwenye kazi zake. Huwa nashangaa ni vipi mtu kama Mwigulu...
63 Reactions
227 Replies
10K Views
Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana Juni 8, 2023 amekagua ujenzi wa Jengo la wizara hiyo katika Mji wa Serikali Mtumba Jijini Dodoma na kuridhishwa na hatua ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Heshima sana wanajamvi, Leo naomba tujikite katika mjadala wa athari za uuzwaji wa NBC kwa kampuni ya ABSA ya Afrika kusini.Miaka ya 90s NBC ilikuwa moja ya bank kubwa sana kusini mwa jangwa la...
2 Reactions
90 Replies
9K Views
Musukuma ni Kati ya waheshimiwa wachache pale mjengoni waliokuwa makini hasa linapokuja suala la kulinda Mali za umma, ikiwemo miradi kadhaa ambayo utekelezaji wake haueleweki. Mfano tu suala la...
3 Reactions
25 Replies
2K Views
Utata wa Diplomasia ya Uchumi, Usifubaze Mapambano ya Ulinzi wa Rasilimali Zetu Nchini. {Uchambuzi wa Mpango wa Bajeti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki kwa Mwaka wa...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Dua ya kuiombea nchi na kuliombea Bunge “Ewe MWENYEZI MUNGU Mtukufu, Muumba Mbingu naDunia, umeweka katika Dunia Serikali za Wanadamu naMabunge ya Mataifa ili haki yako itendeke. Twakuomba...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), Plasduce Mbossa amesema Bunge la Tanzania lina haki ya kuridhia au kutoridhia mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii kwa...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
BARABARA YA KM 453 KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI KUUNGANISHA ARUSHA, MANYARA NA DODOMA "Barabara ya Arusha - Milongonne - Simanjiro - Kongwa inajulikana kwa jina la Arusha Kibaya Kongwa yenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nikicheka ntaambiwa nina dharau najifanya najua sana. Nikicheka kimyakimya ntaambiwa nina kiburi. Nikilia ntaambiwa kwani we ndo unauchungu kuliko wengine? Unalia nini sasa kwani hukujua...
18 Reactions
31 Replies
2K Views
Bunge la Tanzania mnayo nafasi ya kumuenzi Mzee Magufuli huko alipolala usingizi wa milele Tunajua mna shinikizo kutoka sehemu fulani! Pia mwarabu amewatengea fungu kubwa kupitisha mkataba wa...
1 Reactions
4 Replies
762 Views
Nimeangalia kampuni kubwa 12 za usimamizi wa bandari Duniani, nimegundua DP-World ndio kampuni pekee yenye kashfa ya Rushwa na Ukwepaji kodi duniani. Rank Company Name Headquarters 12...
0 Reactions
0 Replies
711 Views
Bandari, viwanja vya ndege, electric power supply plants, reli na barabara ni maeneo mhimu sana kiuchumi na kiusalama wa taifa lo lote duniani. Hili halina ubishi. Hivyo umiliki na mamlaka ya...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Kuna upotoshaji mkubwa kwamba kilichopo sasa ni MoU na Mkataba wa Awali tu hivyo hatuwezi kujadili kwamba Serikali imeingia mkataba na Dubai. Nafikiri tuwekane sawa kidogo na tupate tafsiri ya...
8 Reactions
32 Replies
4K Views
Back
Top Bottom