Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 16,987
- 20,271
Katika hili niseme Asante Rais, umeonyesha unavyozimudu siasa za nera na mdundiko wa vita vya medani. Nakumbuka nafasi ya Mwenyekiti wa Jumuiya ya Madola iligombewa na Bernard Membe enzi za Magufuli, Lakini Rais Magufuli akagoma kumuidhinisha Membe akagombee, Diplomatic kadhaa walijaribu kumshawishi Jiwe amruhusu Membe kugombea kwa kila namna lakini kile kichwa kikagoma kwa macho makavu kabisa, hadi Waziri Mkuu wa Malta Joseph Muscat akafanya juhudi zote lakini akagonga mwamba, na hivyo nafasi hiyo akaichukua yeye mwenyewe.
Tanzania kukosa nafsi ya kutoa Mkuu wa Jumuiya ya Madola, ambayo leo Mwenyekiti wake ni Rais Kagame. Kitendo hiki Tanzania tulikosa msaada wa mabilioni ya dola ambayo Jumuiya hiyo ilikuwa itoe katika sekta ya Elimu, Afya, kilimo na ufundi. Taifa likateketea Magufuli akaona bora aendeshe serikali kwa ujambazi na unyang'anyi wa kutumia silaha kwa kupora matajiri na Wafanyabiashara. Alijiapiza kuwa "INJI" hii ina pesa sana tutajenga miradi wenyewe, huku nyuma yake akipora akaunti za benki za wafanyabishara na matajiri na kuwatishia kuwafunga na kesi za uongo za uhujumu uchumi.
Sasa Vile vita vya udi vya maccm ndio vikaanza rasmi kutoka kugombea urais 2015 hadi kunyang'anywa kadi ya ccm na kufukuziliwa mbali kabisa na kwenda ACT. Magufuli alikuwa na roho mbaya sana aisee, aliamini Membe akiwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola ikifika 2020 atampiku kwenye kinyang'anyiro cha Urais.
Hongera rais Samia kwa Ujasiri huu, Licha ya kumfukuza Mlamla kutoka Wizara ya Mashauri ya Kigeni, lakini huna kinyongo wala visasi, Kwa moyo mmoja uneridhia Mlamla kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Madola.
Pata picha ya furaha aliyonayo Membe muda huu....🤣. Natamani nisikie maoni yake kuhusu hatua hii muhimu ya Rais kuridhia kwa nchi yetu kutoa Katibu Mkuu wa Jumuiko la Mataifa yaliyotawaliwa na Uingereza.
Ok, WAHI OFA YA PASAKA.
Kitabu cha "UJASUSI" kwa 30,000/= Badala ya 80,000
Lpia kwa:
Tigo Pesa 0715865544
M-Pesa 0755865544
(Yericko Nyerere)
Tuma majina yako na ulipo
Kwa Dar ni free delivery
Nje ya Dar nauli ni 8,000/=