Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Dubious Dubai-Dar deal: Too much opacity has eroded trust SATURDAY JUNE 10 2023 Jenerali UlimwenguBy JENERALI ULIMWENGU More by this Author Little is new in the current controversy surrounding a...
3 Reactions
11 Replies
2K Views
Magufuli ndio aliharibu uchaguzi wa 2020 akatuletea mabumunda mjengoni sasa leo wanapitisha mikataba ya kipopoma mnapiga kelele. Athari za utawala mbaya wa magufuli zitadumu kwa miaka mingi sana...
12 Reactions
43 Replies
5K Views
Huku mitaani jijini Dodoma lila mbunge unayempa pongezi zake kwa kupitisha Azimio la Kukodisha Bandari anasema yeye alipiga kura ya Hapana Kwa kumbukumbu zangu ni mbunge mmoja tu Aida Kenani...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Huku kitaa watu hawaelewi kabisa. Suala la Ngorongoro. Swala la Bandari. Ushauri. Mama apumzike tu. Ili chama kipone.
11 Reactions
41 Replies
3K Views
Kama inawezekana, lipeleke mahakamani hata kama mahakama zinaweza kuwa na kigugumizi kutoa haki kwa uhuni uliofanywa na magufuli a below (Public interest litigation) Tanzania’s parliament has...
5 Reactions
38 Replies
3K Views
Ni jambo la hatari kama nchi kukosa wazee washauri na wenye hekima! Kama jambo hili la kubinafisishwa Bandari zetu za Bara lilipita mikononi mwa wazee kwa ajili ya kushauri na wakaona vema kwamba...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Hili suala la ubunafsishaji bandari ya DSM limeleta mtafaruku wa kisiasa. Mwalimu Nyerere 1967 alitaifishashuhuiztekuu za kiuchumi ili nchi tujitawale wenyewe. Yeye aliziita njia kuu za Uchumi...
4 Reactions
12 Replies
1K Views
Ameandika kupitia ukurasa wa mtandao wake wa Twitter mwanaharakati na mwanasheria maarufu nchini Fatma Karume "Hao WAARABU msiowapenda wameweza kufanya MAPINDUZI ya Kiuchumu nchii zao kwenye...
11 Reactions
101 Replies
9K Views
Wanaforum poleni na mihangaiko ya weekend. Nimetafakari kwa kina kwa muda mrefu, nafikiri ni wakati sahihi nikaombe ridhaa kwa chama changu CCM panapo majaliwa niwatumike wana same magharibi. Mi...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Tulizoea kuona kila chama kikija na mikakati ya kuboresha maisha ya watanzania, ya kuwatoa mahali walipo na kuwasogeza pahala! Kwa sasa jambo kubwa kabisa ambalo litakuwa kuanza kuzungumziwa...
1 Reactions
12 Replies
905 Views
Kwa aina ya Watangazaji tulio nao ambao asilimia 109 ni chawa bora kucheza game muda wa taarifa za habari. Waandishi wamekuwa Chawa kuliko hata wanasiasa wenyewe, mtu kama Maulidi Kitebge kutwa...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwakweli Tanzania tunaelekea pabaya na kwahaya hatupaswi kuwa kimya ,Kama wananchi katika taifa hili,na pia Kama wenye uhalali wa nchi,Tanzania tumekuwa na Mambo ambayo haya fai Tena Sana na...
0 Reactions
2 Replies
730 Views
Bila kujali Mkataba husika unasema nini kuhusu kulinda ajira za wazawa, lakini maadam tunaenda kuwakabidhi wageni watuendeshee bandari yetu, basi hilo nililolisema ipo siku mnaweza kulishuhudia...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Inawezekana kabisa wale Wabunge waliomshambulia mh Mbowe bungeni walifanya makusudi ilu kuibua Mjadala wa Tanganyika G55 ilianza hivi hivi na kama si Kambarage kumdhibiti Malecela leo tungekuwa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Serikali inatarajia kuanza ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo katika mwaka ujao wa fedha 2023/24, ikiwa itafikia makubaliano na wawekezaji kuanza kazi kabla ya muda huo. Wazo la ujenzi wa bandari wa...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere ni miongoni mwa viongozi wachache duniani, walioacha alama bora na kutoa miongozo bora ya namna gani nchi inaweza kuhusiana na nchi nyingine duniani...
0 Reactions
14 Replies
995 Views
Angalieni pia hizo video clips! Kwanza ieleweke kwamba watanzania hawapingi uwekezaji wenye tija,ambao ni Win- Win situation! Uwekezaji wa miundombinu na teknolojia kwenye miradi kama bandari...
7 Reactions
26 Replies
4K Views
LUDEWA TUNASEMA ASANTE MHE. RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN Wilaya ya Ludewa tunamshukuru Rais wa Jamhuri wa Muugano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hasani kwa kuipatia fedha Halmashauri...
-1 Reactions
16 Replies
2K Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Muheza Mhe. Hamis Mwinjuma Juni 11, 2023 wilayani Muheza mkoani Tanga ameshiriki mapokezi ya Mbio za Mwenge wa Uhuru...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Back
Top Bottom