Mbunge wa Geita, Josephu Musukuma, wakati unapotoa ushauri kwa vyombo vya ulinzi na usalama kuwachukulia hatua wanaopotosha mkataba wa Dubai Port World na Tanzania Ports Authority.
Ni vyema pia...
Hivi,
1. Kama bandari inabinafsishwa gati na 5 hadi 8 na kuachwa gati namba 9 hadi 11 kwanini kelele ziwe nyingi kiasi kwamba ni bandari yote inauzwa?
2. Kama huyo anayekuja anakuja kuboresha...
Ngugu wana JF kama mnavyojua kesho ndio kesho, kama wabunge wataridhia mapendekezo ya Mkataba kati ya TZD na Dubai kuhusu ustawishaji wa bandari, maziwa etc. basi hiyo ndio rasilimali zetu hizo...
Tumenyanyaswa kiasi cha kutosha
Tumedharauliwa kiasi cha kutosha
Tumepuuzwa kiasi cha kutosha
Tumedhihakiwa kiasi cha kutosha
Tumefukarishwa kiasi cha kutosha
Tumedhalilishwa kiasi cha kutosha...
Kwa mwana CCM na jamii pitia sura ya Pili Ibara ya 59 b ya Ilani ya uchaguzi ya Chama cha Mapinduzi ili kujua nini ni ahadi ya CCM kwa bandari ya Dar es Salaam na bandari nyinginezo.
KWA HISANI...
Huyo DP World ni gwiji sana wa bandari kavu. Huko Rwanda kawafanyia maajabu hadi inasemekana wamezipita baadhi ya bandari maji barani Afrika.
Mpeni exclusive ownership za bandari kavu zetu zote...
Siyo kesho tena bali tuanze sasa!
Huo mkataba haufai hata kwa kufungia maandazi kwa Mangi na ni kutwezwa kwa kiwango cha kutisha na watawala kwa kisingizio eti wanatuletea maendeleo.
Huo msiba...
Mithali 29:7-8
7: Mwenye haki huyaangalia madai ya maskini; Bali mtu mbaya hana ufahamu hata ayajue
8: Watu wenye dharau huwasha mji moto; Bali wenye hekima hugeuzia mbali ghadhabu
Wasoma uzi huu najua wengine watadhani nimepata uchizi kwa sababu wazo la mtu asiye kitu halithaminiwi.
Mwanzo wa kupatikana kwake (Samia) na kufika nafasi alilipo mimi naiita ni miujia mitupu...
Naona kama hesabu zikikosewa kwenye hili swala likatosha kabisa kumuondolea Rais Samia Suluhu Hassan uhalali wa kuiongoza hii nchi.
Wabunge wote watakaojitoa kupinga swala hili hususan wa CCM...
Naibu Spika akiongea katika hafla ya kuwaapisha mawaziri, manaibu na viongozi wengine, amewapongeza wote walioteuliwa na kuwashauri wameteuliwa kufanya kazi za Rais nao wao wanamsaidia hivyo...
DP, ni kampuni inayomilikiwa na serikali ya Dubai!
Wakati sisi serikali yetu ikituaminisha kwamba, ni ujinga kwa serikali kujihusisha na biashara na wakati huohuo inaipa kampuni ya DP bandari...
Mh Rais kijana Ezra Chiwelesa mbunge wa biharamulo ni msomi mzuri na mwenye vision kubwa na mabadiliko unayoyafanya ya kiuchumi na kidemokrasia hapa nchini .
Katika bunge linaloendelea alikuja na...
Mchungaji huyu mwenye upako Kama yule Mackenzie wa Kenya anayelaza wagonjwa zaidi ya miambili kwa gharama za elfu sitini akiwa na wagonjwa mahtuti waliotoroka mahospitalini amekamatwa na kanisa...
Rais Samia Suluhu leo Juni 09, 2023 amesema sekta binafsi ndiyo itakayoitoa Tanzania kiuchumi, ameyasema hayo wakati akishiriki Mkutano wa 14 wa Baraza la Taifa la Biashara(TNBC).
Rais Samia...
Spika anasema wacheni kupotosha:
--
Spika wa Bunge, Dr Tulia Ackson ametoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizosambaa zikidai kuwa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania tayari limesharidhia...
Ndugu zangu kwa vigezo vya privatization tuliuza kila kitu baadae tukaona tumekosea tukavichukua Vyote.
Hakuna mwarabu wala Mzungu atakuja kuwekeza kwa manufaa ya mwafrika kila sehemu ya Afrika...
Kwanza ni mfuasi na kiongozi mwandamizi wa lile kundi alilotoka Ndugai, kundi lililotaka Rais Samia asigombee 2025 na kupanga mikakati ya kumdhoofisha Mh. Rais.
Pili ni mtu asiyeamini katika kazi...
Tulia Ackson ni mtu ambaye hakuhitaji katiba mpya na alilisimamia hili vizuri Bungeni wakati wa maoni ya rasimu ya warioba na ndio akapata umaarufu uliomsababisha kuteuliwa naibu mwana sheria mkuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.