Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe Jana alipata I-ftari na Wanachama wa ACT wazalendo na CUF ambao wamehamia Chadema huko Tandale kwa Tumbo Msikiti wa Mbuyuni Mbowe amesema amepata faraja...
3 Reactions
21 Replies
2K Views
Ndugu Dr Tulia Ackson Mwansasu,spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania na uongozi mzima wa bunge letu,kichwa cha habari kimejieleza vyema. Ripoti ya CAG imejaa madudu mengi sana...
5 Reactions
26 Replies
2K Views
Naomba niende mbali zaidi kuwa niwe Whistle Blower katika baadhi ya sehemu kulikopotea/kufujwa hela za umma. Rais wetu ana nia nzuri zana anapofanya teuzi mbalimbali ila wengi wanamwangusha...
4 Reactions
3 Replies
813 Views
Jumla ya Wanachama zaidi ya 200 wa CUF wamehamia CHADEMA kwa hiyari yao bila kulazimishana Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ndiye aliyewapokea Wanachama hao wapya Mungu awabariki sana!
1 Reactions
16 Replies
2K Views
RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3 Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka...
28 Reactions
241 Replies
23K Views
Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza...
1 Reactions
20 Replies
2K Views
Wanasiasa wengi wamekuwa wakifanya mambo ya ajabu sana, kuhujumu uchumi, Kula Rushwa/Kutoa Rushwa, kula fedha za miradi ya serikali. Ahadi za Uongo na Mambo mengine mengi ya hovyo kwa kutumia...
2 Reactions
2 Replies
366 Views
Habari za kazi wana JF, Nadhani na nyie ni mashahidi jinsi tulivyopumzika/kupumua juu ya mapambio na kusifusifu na kuabudu kwenye kero ya hali ya juu kutoka kwa baadhi ya viongozi wasio na...
0 Reactions
5 Replies
808 Views
======== Wanakaa vikao wanafanya market allocation, wanapanga bei za simenti na ninataka nikwambie hata bunge hili kuna wakati tunakaa tunapitisha vitu hapa masikini ya Mungu bila kuelewa hapa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ndivyo ilivyo huko Uyunani katika kila hatua ya Ukaguzi Watuhumiwa wanakamatwa na kushtakiwa na kufungwa kabisa wale wenye Hatia Kwa Wayunani kitendo cha CAG kusoma Ripoti ni kuujulisha Umma...
23 Reactions
30 Replies
3K Views
Wanabodi labda tusaidiane nchini kwetu tuna Waziri Mkuu je kazi zake hasa ni nini? Ukiacha kuwasimamia Mawaziri au kutusomea bageti ya ofisi yake vipi ana uwezo wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa?
0 Reactions
58 Replies
13K Views
Wadau nawasabahi, Nimeshtushwa sana na kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba juu ya Sheria ya Plea Bargaining kuwa ina mapungufu makubwa. Swali la kujiuliza, Serikali ilikuwa wapi kuyarekebisha...
2 Reactions
3 Replies
884 Views
Kwanza nitoe kongore mwa ex Mayor ndugu Mh Bon Yai Kwa uchambuzi wake makini na wa kuaminika hakika ametufugua macho Wana Dsm keep it broo!maana Mkaguzi ameyaandika na kusepa. Nitoe Rai kwa ex...
2 Reactions
3 Replies
875 Views
Tuna nchi nzuri yenye fursa nyingi iliyogeuzwa kuwa mali binafsi ya wachache wenye kufahanika kwa kutokushiba kwao. Maisha yamekuwa magumu. Mzigo wa kodi na tozo umekuwa usiomithilika. Wakati...
8 Reactions
33 Replies
2K Views
Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala. Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza...
4 Reactions
17 Replies
927 Views
Najua wazi viongozi wengi wa kisiasa wana vijembe sana. Wapo niliowahi kukutana nao na kushuhudia mwenyewe majibu yao yasiyo na staha. Lakini linapokuja suala la maadili, ifike mahali tuambiane...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwa kipindi hiki Cha bajeti serikali Ijiepushe na kutumia faini za barabarani kama mojawapo ya vyanzo vya mapato. Nakumbuka hii iliwahi kujadiriwa bungeni lakini mpaka sasa hivi bado kuna tetesi...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Zitto Kabwe amesema kwa mujibu wa kanuni za Mabenki ya Kimataifa ni marufuku Benki kumpangia Mteja wake Contractor wa kutekeleza Mradi anaoombea Mkopo Zitto anasema Ikibainika Standard Charted...
18 Reactions
89 Replies
6K Views
Mtu anataifisha pesa kutoka kwa Mtu binafsi then huyo Mtu anakamatwa na anafanya plea-bargaining na serikali then analipa pesa kwa Serikali baada ya kukili kosa lake mahakamani kupitia ofisi ya...
1 Reactions
4 Replies
704 Views
Back
Top Bottom