Agenda ya Ushoga: Katika Wateule wa Joe Biden 1,500 kuna mashoga 210 sawa na 14%

Huihui2

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
5,277
8,004
Tusishangae kwa nini hoja ya ushoga au upinde 🌈 imepamba moto duniani kwa miaka hii miwili toka Joe Biden achuguliwe kuwa Rais wa USA. Kwa makusudi mazima alichagua mashoga maarufu kushika nafasi nyeti 210 kati ya 1,500 anazoruhusiwa kuteua anayemtaka.
Screenshot_20230411_090848_Chrome.jpg
 
Duh mada za ushoga zimezidi JF, shida Nini? Mbona tunakuza sana mambo kuliko uhalisia. Ushoga wamefanya wao sisi yatuhusu Nini? Tudeal na matatizo yetu ya ufisadi, umasikini wa kutupwa hadi kukosa Hela za matundu ya choo, na ushirikina hayo ya wenzetu waachie wenyewe na tamaduni zao.
 
WASHINGTON, June 1 (Reuters) - Nearly 14% of U.S. President Joe Biden’s 1,500 federal agency appointees identify as lesbian, gay, bisexual, transgender and queer, he said on Tuesday in a proclamation marking the start of Pride Month celebrating the LGBTQ community.

A Democrat, Biden urged Congress to protect LGBTQ people from discrimination by passing the Equality Act. Donald Trump, his Republican predecessor, did not officially recognize Pride Month during his four years in office.

"For all of our progress, there are many States in which LGBTQ+ individuals still lack protections for fundamental rights and dignity in hospitals, schools, public accommodations, and other spaces," Biden said.
 
Duh mada za ushoga zimezidi JF, shida Nini? Mbona tunakuza sana mambo kuliko uhalisia. Ushoga wamefanya wao sisi yatuhusu Nini? Tudeal na matatizo yetu ya ufisadi, umasikini wa kutupwa hadi kukosa Hela za matundu ya choo, na ushirikina hayo ya wenzetu waachie wenyewe na tamaduni zao.
Ndiko tunakoelekea
 
Watu ni wapuuzi tu... Ushoga ushoga ushoga wakati mabilioni na matrilioni yanaibwa na wezi wanapita katikati yetu na kwenda zao!
 
Tusishangae kwa nini hoja ya ushoga au upinde imepamba moto duniani kwa miaka hii miwili toka Joe Biden achuguliwe kuwa Rais wa USA. Kwa makusudi mazima alichagua mashoga maarufu kushika nafasi nyeti 210 kati ya 1,500 anazoruhusiwa kuteua anayemtaka.View attachment 2584491
Nchi mwako mashoga wamekuwepo mbona tokea zamani na mnaishi nao
Kama unabisha tafuta sehemu au mtaa wenye kigodoro,baikoko uone mashoga wakatavyo jaaaa
Huku wakiserebuka na raia
Vita yenu ya ushoga tz bado ya kinafki
Media zenu zenyewe nyingi zimejaa mashoga,haya ukija na mziki wenu huu bongo na wasanii wake,mashoga na wao

Ova
 
Kila nikikumbuka ule uwazi wa kuweza kupitisha vidole viwili vya mtu mzima bila kizuizi nabaki kinywa wazi hawa watu wanaendeleaje kufanya wanachokifanya
 
Mi nadhani ni muda muafaka wa kuacha kupambana na hao mashoga tuelekeze nguvu kupambana na hao wanaowafanyia hicho kitendo maarufu kwa jina la (bahasha au mabahasha) japo ni vigumu lakini itasaidia kupunguza kwa kiasi fulani kwa sababu ukipambana na hao mashoga ni vigumu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni haki za binadamu lakini pia umaskini wetu ndio chanzo cha kutokuwa taifa huru kwa maana ya kulinda mila na desturi zetu lakini pia uoga wa viongozi wetu.
 
Duh mada za ushoga zimezidi JF, shida Nini? Mbona tunakuza sana mambo kuliko uhalisia. Ushoga wamefanya wao sisi yatuhusu Nini? Tudeal na matatizo yetu ya ufisadi, umasikini wa kutupwa hadi kukosa Hela za matundu ya choo, na ushirikina hayo ya wenzetu waachie wenyewe na tamaduni zao.
Sijui nini kipo nyuma ya haya kwakweli kama kuna promo flan hivi
 
Watu ni wapuuzi tu... Ushoga ushoga ushoga wakati mabilioni na matrilioni yanaibwa na wezi wanapita katikati yetu na kwenda zao!
Kwani na wewe tumekugusa? Mashoga wamekasirika LOL!!
 
Na hili ndilo linalosahaulka
Mi nadhani ni muda muafaka wa kuacha kupambana na hao mashoga tuelekeze nguvu kupambana na hao wanaowafanyia hicho kitendo maarufu kwa jina la (bahasha au mabahasha) japo ni vigumu lakini itasaidia kupunguza kwa kiasi fulani kwa sababu ukipambana na hao mashoga ni vigumu kutokana na kile kinachoelezwa kuwa ni haki za binadamu lakini pia umaskini wetu ndio chanzo cha kutokuwa taifa huru kwa maana ya kulinda mila na desturi zetu lakini pia uoga wa viongozi wetu.
 
Uporaji mkubwa wa mabilioni ya Taifa unaendelea nyie mnatumwa kuangalia matumizi binafsi ya miili ya watu!
Haya sheria si ipo tangu ukoloni je, mmeitumiaje kudhibiti ushoga usienee!!??
Pole shoga
 
10% ndio idadi ya mashoga Marekani. Hawa wanataka gay vote. Sisi hatuna ya gay vote.
Halafu definition yao ya "shoga" ni very interesting. "Shoga" ni mtu ambaye amefanya same sex sex mara sita na kufikia kikele. Kwa definition hiyo ndio wanaipata ile 10%.
 
Piga kigodoro au baikoko uone mashoga wakatavyojaa mtaani kwenu

Ova
 
Back
Top Bottom