Bunge la 12: Mkutano wa 11, Kikao cha 4 leo April 11, 2023. Mbunge ataka watu waache uoga bandari ya Bagamoyo

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,814
11,991
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo Aprili 11 kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 4.

=======

Mbunge alalamikia kuitwa watu wengi kwenye usaili wa ajira
Mbunge vijana, Ng'wasi Kamani amesema tofauti kwenye uwiano wa wanaoitwa kwenye usahili na wanaohitajika ni kubwa sana na inaonesha tatizo kubwa lililopo nchini.

Mbunge amehoji kwanini wanaitwa watu wengi kwenye usahili wa nafasi chache akitolea mfano nafasi moja kugombaniwa na watu 50 huku adha ya pili ni usahili kutofanyika kwa wakati ulioanishwa.

Mbunge ameipongeza wizara kuweka vituo mikoa mbalimbali vya kufanyia usaili kuwapunguzia adha watahiniwa kufika Dar kutoka mikoani.

Mbunge Sanga adai TRA inajaribu kuia Kariakoo, adai wafanyabiashara karibia 50% wanatoka Makete
Mbunge Festo Sanga akichangia hoja ya waziri mkuu, ameunga mkono hoja na kumpongeza Rais Samia kwa kazi anazofanya na hatua anazochukua kwa watu wanaomvuta shati.

Pia Mbunge Festo Sanga ameizungumzia Kariakoo akisema karibia asilimia 50 ya wafanyabiashara wanatokea jimbo lake la Makete na Kariakoo ni kitovu cha uchumi cha Taifa.

Mbunge Festo ameelezea jinsi TRA inavyojaribu kuiua Kariakoo sehemu ambayo Taifa linapata mapato mengi. Sanga amesema Kariakoo ilikuwa inaongoza soko la vitenge kwenye ukanda lakini ongezeko la kodi kulinda viwanda vya ndani vimelizamisha soko la vitenge Kariakoo.

Pia amesema wafanyabiashara wa kigeni wamekuwa wakidakwa kwa madai ya risiti ndogo akiomba utaratibu mpya wa namna ya kukusanya kodi Kariakoo.

Mwisho Sanga amemaliza kwenye malezi akidai miaka 30 nusu ya bunge wanaweza kuwa mashoga endapo wakiendelea kufumbia macho.

Sanga amesema haikubaliki kuingia kwenye sodoma na gomora kwa sababu ya misaada. Amesema Makete wao suala la ushoga na jinsia moja wanasema NO.

Mbunge ataka wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja wanyongwe
Mbunge akiomba taarifa kwenye hoja ya Sanga amedai kwakuwa wako bungeni wakubaliane kuliko kusubiri miaka 50 bora ataekaeonekana anaejishughulisha na vitendo vya jinsia moja anyongwe.

Mbunge Kanyasu ataka vijana wasimilikishwe mashamba, miaka ya baadae hakutakuwa na mashamba ya kuwepo vijana
Mbunge wa Geita, Costantine Kanyasu amesema wananchi wa Geita wamemtuma kwa waziri mkuu kuhusu ombi la Geita kuwa manispaa na taratibu zote zimeshakamilika.

Kuhusu kilimo, Kanyasu ametaka mashamba yanayogaiwa kwa vijana yaendelee kuwa ya Serikali kwasababu anapata mashaka na uendelevu wa zoezi hilo akidai leo wanapata wakiwa na miaka 30 lakini miaka 30 ijayo watakuwa na miaka 60 na hakutakuwa na mashamba ya kuwapa vijana wa wakati huo na tatizo la ajira halitaisha.

Pia Kanyasu ameongelea chuo cha VETA Geita ambacho hakikamiliki miaka sita sasa, ameomba bajeti ya sasa ipeleke vifaa chuo cha VETA Geita.

Mbunge ataka watu waache uoga bandari ya Bagamoyo
Mbunge Abubakar Asenga amesema bandari kwasasa inaingiza trilioni 1 lakini anaweza mtu akatoa trilioni 20, amedai ni kitu cha kufanya haraka. Amedai Tanzania iana Bagamoyo lakini wanajadiliana tu kwasababu ya uoga, ataka watu waache uoga wawekeze.

Watu hawana mpango na hilo bunge kibogoyo la majizi ya kura.
 
Investment ya Bandari ya Bagamoyo is not economically justifiable bali kutaka kumpendezesha mkwere!! Huu mradi ukitekelezwa huko mbele utakuwa mzigo mkubwa kwa vizazi vijavyo vya waTANGANYIKA!! Wakati huo wakina Kikwete na wenzake watakaofaidika na mradi huu in the short run hawatakuwepo!
 
Back
Top Bottom