Wanawake 3 wenye Nguvu kubwa Barani Afrika

Wanawake 3 wenye Nguvu kubwa Barani Afrika

Billal Saadat

Senior Member
Joined
Nov 30, 2022
Posts
169
Reaction score
358
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni

2. Mo Abudu

3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala

IMG_6041.jpg
 
Rais Samia Suluhu Hassan ametajwa kuwa namba moja (1) miongoni mwa Wanawake watatu wenye Nguvu kubwa barani Afrika. [emoji1241][emoji2971][emoji1377]
Wengine ni

2. Mo Abudu

3. Dkt. Ngozi Ikeje Ewala

Hebu basi muache kumzingua kuwa anapendwa wakati mtaani hawamsemi kwa jema.

Ongeeni kazi zake ndo zitamnyanyua. Haya mambo ya praise chorus ni kutomtendea haki.

Mnaficha anayoyafanya na kuongelea yasiyo na tija
 
Kuwa na nguvu na kupendwa ni vitu viwili tofauti!
 
Kuna ukiwafunua fuvu ubongo utakuta ni wa green .p .............mb.......f
 
Usisahau kuna illuminati nyuma yao wanawapa hizo nguvu ndio maana wanauza rasilimali hovyo hovyo
 
Attachments

  • IMG_20230615_103626.jpg
    IMG_20230615_103626.jpg
    134.3 KB · Views: 10
Nyie machawa ndio mnamuharibia sana huyu mama muachen afanye kazi yake ataonekana tu kuliko kila siku kumpamba tu,mlifanya kwa Magufuli alivyofariki mkaanza kumsema!
 
Back
Top Bottom