Maswali magumu: Ansbert Ngurumo asema, Spika Tulia Ackson anajua kuwa tayari HGA zilishasainiwa na serikali hata kabla ya bunge kuridhia IGA!

Uzima Tele

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
1,104
2,346
Fuatilia video hii hadi mwisho.

Maswali muhimu;

Nini kipo nyuma ya hii IGA?

Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu?

Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu kumzingira pande zote mbung Aida Kenani (CHADEMA) kwa kuwa hakubaliani nao!
 
Fuatilia video hii hadi mwisho.

View attachment 2658947

Hicho kibinti hakijawahi kuwa na akili, hata hiyo PhD iliwahi kutajwa kuwa huenda ina uhusiano na pants down
 
Fuatilia video hii hadi mwisho.

View attachment 2658947
Maswali muhimu;

Nini kipo nyuma ya hii IGA?

Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu?

Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu kumzingira pande zote mbung Aida Kenani (CHADEMA) kwa kuwa hakubaliani nao!
BUNGENI KUNA UPIGAJI WA KUTISHA ILI FEDHA ZIWE ZA KAMPENI 2025
 
Fuatilia video hii hadi mwisho.

View attachment 2658947
Maswali muhimu;

Nini kipo nyuma ya hii IGA?

Iweje bunge lilikuwa haliataki maoni kinzani ya kuupinga mkataba huu?

Ni ajabu Spika Tulia na Naibu wake Zungu kumzingira pande zote mbung Aida Kenani (CHADEMA) kwa kuwa hakubaliani nao!
Ngoja wazee wa hashtag ya DP world waje wakiongozwa na.. bi Faiza na GUSSIE huku pembeni yupo comred Lord denning!!!
 
Pale hakuna Spika ile ni takataka tupu
Nadhani pengine hata hajui yupo pale kama Spika ili afanye nini..

Mara zote hujitapa kuwa yeye Yupo pale "kusimamia kanuni za bunge". Hivi kazi ya Spika ni hiyo peke yake? Kwanini asisimamie uhuru wa wabunge ktk kutoa mawazo yao katika mijadala?

She's really the poorest and weakest Speaker of all times...!

Kwa mjadala ule aliamua kuligeuza bunge kuwa lenyewe ndilo serikali (Exacutive) kujibu hoja za wabunge..
 
Back
Top Bottom