Nyerere baada ya Uhuru alisema Madini tuyaache hadi Tuwe na Uwezo wa kuchimba wenyewe, sasa ni miaka 60 je tumepata Uwezo?

Nauliza tu ndugu zangu Wasukuma huko Geita mmeanza kuchimba wenyewe Madini?

Pascal Mayalla anasema Tukubali kusaidiwa pale ambapo " hatuwezi"

Jumaa kareem!
John ! Ngoja nikueleze kwa zama zile na wakati ule huyo aliweza kusema hivyo, ila kadri wakati na mabadiliko ya utandawazi duniani huwezi tena kunukuu hiyo mambo ya kale!

Je kwani hata tukiendelea kuacha kuchimba hayo madini yatakuwa yanaendela kuzaliana huko ardhini!

Pia nijibu hawa Wiliamson Diamond wa Mwadui walianza kuchimba kipindi kipi!

Next time jaribu kuficha upumbafu wako pimbi wewe!
 
Barrick, GGM, Sunshine, Apex kule Chunya ni wazawa? Juzi tumewapa wawekezaji wa nje madini ya Songwe

Keki ya taifa ni yetu sote kizazi cha sasa na vijavyo, vizazi vijavyo havina haki ya kufaidi keki ya taifa more or less than us ndo maana Wazawa wanachimba na wageni as well. Bandari nayo tunawapa wawekezaji tumechoka kuendelea kusubiri upepo.
 
Ingekuwa ni huyu maza yetu tungekondishwa mpk sisi mwenyewe milele na milele
Benjamin! Acha upuuzi wako wewe unapendekeza nini sio kulalamika kama kijike cha mbuzi kinachotafuta dume! Tumeamua kutafuta wawekezaji nyie mapimbi hamtaki bila hata ya kutoa au kupendekeza alternative!

Ni viwanda vingapi vilivyoanzishwa enzi hizo hadi leo vinafanya kazi mang'aa mkubwa wewe Huna hoja kaa kimya boya wewe!
 
John ! Ngoja nikueleze kwa zama zile na wakati ule huyo aliweza kusema hivyo, ila kadri wakati na mabadiliko ya utandawazi duniani huwezi tena kunukuu hiyo mambo ya kale!

Je kwani hata tukiendelea kuacha kuchimba hayo madini yatakuwa yanaendela kuzaliana huko ardhini!

Pia nijibu hawa Wiliamson Diamond wa Mwadui walianza kuchimba kipindi kipi!

Next time jaribu kuficha upumbafu wako pimbi wewe!
😂😂 Umepanic kitutusa zaidi!
 
Benjamin! Acha upuuzi wako wewe unapendekeza nini sio kulalamika kama kijike cha mbuzi kinachotafuta dume! Tumeamua kutafuta wawekezaji nyie mapimbi hamtaki bila hata ya kutoa au kupendekeza alternative!

Ni viwanda vingapi vilivyoanzishwa enzi hizo hadi leo vinafanya kazi mang'aa mkubwa wewe Huna hoja kaa kimya boya wewe!
Nakusamehe bure dada yangu sababu najua wewe ni mjamzito, tenda ilitangazwa lini? kwanini msikondishe bandari yenu ya Zanzibar tuone mfano?
 
Back
Top Bottom