Watu wa Tanzania tuna uwezo wa kulifanya taifa letu liwe kubwa?

Nkerebhuke

JF-Expert Member
Nov 1, 2021
793
2,007
Taifa lolote duniani linajengwa na watu wenye Historia, maono, tamaduni zenye nguvu na lugha inayowaunganisha pamoja. Tangu taifa letu lizaliwe umaarufu wetu ni nini kama taifa, watu wetu wana uwezo wa kulifanya taifa kuwa na nguvu ya kisiasa, kiuchumii, kisanaa na kijamii. Watu wetu wanaheshimu elimu yaani wanapenda kujifunza na kuelimika? Am just curious.

Do we have the people who possess the personal qualities of grit, curiosity, self awareness that can make Tanzania great. Do we have grit?
 
Back
Top Bottom