Mfikirie Mwalimu anayedai serikalini mil 1.5 toka mwaka 2016

Mfikirie Mwalimu anayedai serikalini mil 1.5 toka mwaka 2016

kingunge wa jf

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2013
Posts
466
Reaction score
467
Nimejiuliza sana nimeumia sana. Mwal. Anayedai mapunjo ya mshahara wake wa miezi 5 toka mwaka 2016 hajalipwa. Riport ya CAG inataja kiasi kingi cha fedha kupotea ama kuliwa na watu. Rais analia, ukisoma sura za mawaziri waliokuwepo pale hakuna anayeonesha sura ya uchungu. Sura zao zinaonesha hawajali.
Inauma sana
 
Kabisaaa,...nchi ngumu hiii...na hii karma itawatafuna miaka yote...
 
Dah 1.5m ya 2016 inazidi kupungua thamani tu kadri muda unavyokwenda. Wawaongezee na ka riba hapo ka kulinda thamani ya pesa.
 
Kabisaaa,...nchi ngumu hiii...na hii karma itawatafuna miaka yote...
Karma ya kutembelea V8 na kusimamisha real estate projects ambazo watafaidi vizazi vyao milele au unaongelea karma ipi hiyo😂😂
 
Wanasiasa wao wanasisitiza watanzania tuwe wazalendo tuipende nchi yetu. Mama aseme Suh!!! Kama hatuanzi kuwapopoa na mawe wezi wetu.
 
CWT WAKO WAPI???.....BADAE TUKISEMA UALIMU NI KAZI YA LAAANAA KATAA UALIMU.......TUNAPIGWA BAN
 
Nimejiuliza sana nimeumia sana. Mwal. Anayedai mapunjo ya mshahara wake wa miezi 5 toka mwaka 2016 hajalipwa. Riport ya CAG inataja kiasi kingi cha fedha kupotea ama kuliwa na watu. Rais analia, ukisoma sura za mawaziri waliokuwepo pale hakuna anayeonesha sura ya uchungu. Sura zao zinaonesha hawajali.
Inauma sana
Kwani Ualimu ni kazi kabisa? Si wito tuu unajitolea kwa vimalipo vya aftatu. Vumilia mpaka utapopata kazi tichya
 
Madeni ya chini ya 5milion yanawez kukaa zaidi ya miaka 7 bila kulipwa lakini ya Walimu TU
Mengine yanalipwa na yanalipika
 
Kwanini umeamua you're good example iwe sisi walimu...🤔
 
Back
Top Bottom