Hayati Magufuli alikuwa Rais mwovu, Samia Suluhu ni Rais dhaifu. Binafsi heri Rais dhaifu kuliko mwovu

Kiboko ya Jiwe

JF-Expert Member
Apr 7, 2020
12,702
36,143
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa.

RAIS Samia ni Rais muadilifu haswa , tatizo ni kwamba amekuwa dhaifu kupitiliza.

Kitendo cha kuongea na waajiriwa wake wezi na kuwaambia wampishe nao kumgomea hiyo ni dhahiri kuwa Samia ni dhaifu dhaifu dhaifu. Alishindwa hata kuwataja majina au vyeo vyeo.

Na wasaidizi wake bila shaka hawajitambui au yawezekana nao wanakula pamoja na mafisadi. Walishindwa hata kuandika barua za kuwatengua ambao Samia alisema wampishe.

Power ya Samia ni ndogo sana yawezekana ni ndogo kuliko ya OCD wa wilaya ya Kaliua au Ubungo.
 
RAIS Samia ni Rais meadilifu haswa , tatizo ni kwamba amekuwa dhaifu kupitiliza.
Kitendo cha kuongea na waajiriwa wake wezi na kuwaambia wampishe nao kumgomea hiyo ni dhahiri kuwa Samia ni dhaifu dhaifu dhaifu. Alishindwa hata kuwataja majina au vyeo vyeo.
Power ya Samia ni ndogo sana yawezekana ni ndogo kuliko ya OCD wa wilaya ya Kaliua au Ubungo.
Udini ndio unakusumbua hapo

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu.
Tulishawaomba ushahidi wa uovu wake, cha ajabu kinachoelezwa ni tetesi tu na uzushi.
Hebu tuambieni kwa ushahidi halisi (vivid evidence) kwamba alikuwa mwovu

Ushahidi wa mwenye udhaifu najua uko dhahiri hata watoto wadogo wanaweza kuuonesha
 
Vivid evidence inatolewa Mahakamani na ikumbukwe kuwa ana kinga ya milele juu ya courts zetu
 
Angekuwa muadilifu asingekuwa dhaifu au angeachia madaraka ili waliyojasiri waweze kutekeleza haki kuliko kung'ang'ania madaraka ili hali anajua ni dhaifu hawezi kutekeleza haki.
 
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa.
RAIS Samia ni Rais muadilifu haswa , tatizo ni kwamba amekuwa dhaifu kupitiliza.
Kitendo cha kuongea na waajiriwa wake wezi na kuwaambia wampishe nao kumgomea hiyo ni dhahiri kuwa Samia ni dhaifu dhaifu dhaifu. Alishindwa hata kuwataja majina au vyeo vyeo.
Na wasaidizi wake bila shaka hawajitambui au yawezekana nao wanakula pamoja na mafisadi. Walishindwa hata kuandika barua za kuwatengua ambao Samia alisema wampishe.
Power ya Samia ni ndogo sana yawezekana ni ndogo kuliko ya OCD wa wilaya ya Kaliua au Ubungo.
Haya magoli anayonunua hela ni za mshahara wake?
 
Vivid evidence inatolewa Mahakamani na ikumbukwe kuwa ana kinga ya milele juu ya courts zetu
Hivi unajua hata wachawi wakipewa nafasi ya kujitetea, watasema wanaonewa na wao wana haki?
Nadhani unaelewa! Kosa lake kubwa ni kuwashughulikia waovu kisawasawa! Na aliwasweka! Hawamsahau! Wengine waliacha kazi, wakakimbia nchi. I wish angetawala miaka 100, tungeheshimiana
 
Kila mwenye akili timamu anajua kuwa Magufuli alikuwa Rais wa hovyo na mwovu. RAIS ambaye alikuwa anakiri hadharani kuwa pesa za serikali ni pesa zake. Alikuwa akisema "pesa zangu". Alikuwa na uhuru wa kuchota mihera ya serikali na kuigawa kwa siri na hadharani ili ajiimarishe kisiasa.

RAIS Samia ni Rais muadilifu haswa , tatizo ni kwamba amekuwa dhaifu kupitiliza.

Kitendo cha kuongea na waajiriwa wake wezi na kuwaambia wampishe nao kumgomea hiyo ni dhahiri kuwa Samia ni dhaifu dhaifu dhaifu. Alishindwa hata kuwataja majina au vyeo vyeo.

Na wasaidizi wake bila shaka hawajitambui au yawezekana nao wanakula pamoja na mafisadi. Walishindwa hata kuandika barua za kuwatengua ambao Samia alisema wampishe.

Power ya Samia ni ndogo sana yawezekana ni ndogo kuliko ya OCD wa wilaya ya Kaliua au Ubungo.
Wakati Magufuli anafanya huo wovu hangaya alikuwa wapi?.Mi naona hangaya anachukua hizi characters zote. Dhaifu na mwenye kulea waovu so automatically nae anakuwa mwovu.
 
Bora Rais mwovu kuliko huyo dhaifu wako.
Uadilifu wake unausema ni upi ? Kwa nini na yeye alimbambikia mpinzani wake kesi ya Ugaidi na kumpa masharti ya kuridhiana ndipo awe huru ?
Angekuwa mwadilifu nini kilimfanya akango'oa Spika wa bunge ambaye alikua anamkosoa ?
 
Wakati Magufuli anafanya huo wovu hangaya alikuwa wapi?.Mi naona hangaya anachukua hizi characters zote. Dhaifu na mwenye kulea waovu so automatically nae anakuwa mwovu.
Correct answer for stupid ones
 
Huu ugaidi haumsaidii Jamii.
Na Mnalazimisha mambo kila wakati mkiona uwongo wenu ukianikwa hadharani.

Haijalishi

Hakuna Mtanzania yeyote ambaye hakuhuzunika kwa namna moja au nyingine.

Ni dhahiri, wanasaikilojia wanaposema kuwa ni mpito wa kuhuzunika....yaani utaanza kulia, utalia sana tu, utacheka, utakua na hasira(kama za mleta mada) kiasi cha kuwa na maneno machafu halafu utamkumbuka na kumuombea marehemu. na kujisamehe.

Ni mpito tu huu
 
Wakati Magufuli anafanya huo wovu hangaya alikuwa wapi?.Mi naona hangaya anachukua hizi characters zote. Dhaifu na mwenye kulea waovu so automatically nae anakuwa mwovu.
Kuhusu yeye alikuwa wapi kipindi cha Jiwe hilo haina haja kupatiwa majibu
Vice president kwa katiba yetu ni kama sanamu tu. Hana authority ya aina yotote
 
Back
Top Bottom