Deghe Mangae
Senior Member
- Mar 3, 2020
- 171
- 152
Uchaguzi ukiisha tuendelee na kazi. Mambo ya kujengeana bifu ni upuuzi mtupu. Wote ni walipa kodi na maendeleo hayana chama.
Wapo baadhi ya wabunge na madiwani baadhi ya maeneo yao haya maendeleo kisa hawakupigiwa kura eneo husika.
Njoo Lugoba MORETO SEC watoto umeme hawana, barabara mbovu shule inatumia umeme wa jua mvua ikinyesha mwanga ni shida.
Kwa upuuzi huu tegemea matatizo ya macho kwa wanafunzi hawa ukiuliza bifu ni kura tu wala hamna point ya maana.
Hii shule ni ya bweni mbunge na madiwani wake wapo.