John Mnyika: Uchambuzi wa awali wa Ripoti ya CAG unaonesha tumepata hasara ya Trilioni 2

Sildenafil Citrate

JF-Expert Member
Jan 29, 2021
573
2,553
Akizungumza na wandishi wa habari makao makuu ya Chama cha CHADEMA muda huu, Katibu Mkuu wa Cha CHADEMA John Mnyika amesema bado wanaendelea kupiga hesabu ya hasara zilizotajwa na CAG, ambapo hadi sasa wamepata jumla ya Tsh. Trilioni 2.

IMG_6683.jpeg

Kuhusu DPP Biswalo Mganga, CHADEMA inashauri kiundwe chombo tofauti cha Kijaji ili kufanya uchunguzi na hatimaye kumchukulia hatua kwa kuwa tume ya Haki Jinai haina uwezo wa kumchukulia hatua yoyote.

Pia, amesema Rais hajatoa muda maalum wa Makatibu wakuu kujibu hoja za CAG, CHADEMA ina wasiwasi kuwa hoja hizo zinaweza kuchukua muda mrefu pasipo kupata majibu, hali ambayo hutokea kila mwaka. CHADEMA imeshauri Rais atumie vyombo vyake vya kimamlaka kuhakikisha hoja za CAG zinapata majibu kwa wakati.

Katika hatua nyingine, Mnyika ametoa wito kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwajibika kwa kuwa yeye ndie msimamizi mkuu wa kazi za serikali, pia ni mtu anayewajibika na kufuatilia utekelezaji wa ripoti za CAG ambazo hazijafanyiwa kazi tangu ashike Wadhifa huo.
 
Akizungumza na wandishi wa habari makao makuu ya Chama cha Chadema muda huu, Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amesema bado wanaendelea kupiga hesabu ya hasara zilizotajwa na CAG, ambapo hadi sasa wamepata jumla ya hasara za Tsh. Trilioni 2.

View attachment 2582942

Kuhusu DPP Biswalo Mganga, Chadema inashauri kiundwe chombo tofauti cha Kijaji ili kufanya uchunguzi na hatimaye kumchukulia hatua kwa kuwa sasa anafanya kazi kama Jaji.

Pia, amesema Rais hajatoa muda maalum wa Makatibu wakuu kujibu hoja za CAG, Chadema ina wasiwasi kuwa hoja hizo zinaweza kuchukua muda mrefu pasipo kupata majibu.

Katika hatua nyingine, Mnyika ametoa wito kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwajibika kwa kuwa yeye ndie msimamizi mkuu wa kazi za serikali, pia ni mtu anayewajibika na kufuatilia utekelezaji wa ripoti za CAG ambazo hazijafanyiwa kazi hadi sasa.
Ni hesabu za uongo. Vingine alivyotaja CAG siyo kupoteza hela bali ni kutokufuata taratibu
 
Usikimbilie kujibu kitu usichokielewa, hata ukiuza nyanya hasara hautaijua kizimbani, sasa wewe kabla haujamaliza kusoma umeshapata jibu eti kwa sababu tu ni mwanaccm uliye mafichoni! JF ni sehemu ya kujadili mambo ya msingi.
 
Akizungumza na wandishi wa habari makao makuu ya Chama cha CHADEMA muda huu, Katibu Mkuu wa Cha CHADEMA John Mnyika amesema bado wanaendelea kupiga hesabu ya hasara zilizotajwa na CAG, ambapo hadi sasa wamepata jumla ya Tsh. Trilioni 2.

View attachment 2582942

Kuhusu DPP Biswalo Mganga, CHADEMA inashauri kiundwe chombo tofauti cha Kijaji ili kufanya uchunguzi na hatimaye kumchukulia hatua kwa kuwa tume ya Haki Jinai haina uwezo wa kumchukulia hatua yoyote.

Pia, amesema Rais hajatoa muda maalum wa Makatibu wakuu kujibu hoja za CAG, CHADEMA ina wasiwasi kuwa hoja hizo zinaweza kuchukua muda mrefu pasipo kupata majibu, hali ambayo hutokea kila mwaka. CHADEMA imeshauri Rais atumie vyombo vyake vya kimamlaka kuhakikisha hoja za CAG zinapata majibu kwa wakati.

Katika hatua nyingine, Mnyika ametoa wito kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwajibika kwa kuwa yeye ndie msimamizi mkuu wa kazi za serikali, pia ni mtu anayewajibika na kufuatilia utekelezaji wa ripoti za CAG ambazo hazijafanyiwa kazi tangu ashike Wadhifa huo.
Hapo Kwa PM ndio patamo.
 
Chadema watu wa hovyo sana.

Wanachagua mtu wa kumwajibisha kwakua wameshalambishwa asali.

Hiki chama hakijawahi kuwa chama cha siasa bali wajasiliamali wa siasa.

Yeyote anayewalambisha asali wanamtukuza.
 
Akizungumza na wandishi wa habari makao makuu ya Chama cha CHADEMA muda huu, Katibu Mkuu wa Cha CHADEMA John Mnyika amesema bado wanaendelea kupiga hesabu ya hasara zilizotajwa na CAG, ambapo hadi sasa wamepata jumla ya Tsh. Trilioni 2.

View attachment 2582942

Kuhusu DPP Biswalo Mganga, CHADEMA inashauri kiundwe chombo tofauti cha Kijaji ili kufanya uchunguzi na hatimaye kumchukulia hatua kwa kuwa tume ya Haki Jinai haina uwezo wa kumchukulia hatua yoyote.

Pia, amesema Rais hajatoa muda maalum wa Makatibu wakuu kujibu hoja za CAG, CHADEMA ina wasiwasi kuwa hoja hizo zinaweza kuchukua muda mrefu pasipo kupata majibu, hali ambayo hutokea kila mwaka. CHADEMA imeshauri Rais atumie vyombo vyake vya kimamlaka kuhakikisha hoja za CAG zinapata majibu kwa wakati.

Katika hatua nyingine, Mnyika ametoa wito kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwajibika kwa kuwa yeye ndie msimamizi mkuu wa kazi za serikali, pia ni mtu anayewajibika na kufuatilia utekelezaji wa ripoti za CAG ambazo hazijafanyiwa kazi tangu ashike Wadhifa huo.
Akizungumza na wandishi wa habari makao makuu ya Chama cha CHADEMA muda huu, Katibu Mkuu wa Cha CHADEMA John Mnyika amesema bado wanaendelea kupiga hesabu ya hasara zilizotajwa na CAG, ambapo hadi sasa wamepata jumla ya Tsh. Trilioni 2.

View attachment 2582942

Kuhusu DPP Biswalo Mganga, CHADEMA inashauri kiundwe chombo tofauti cha Kijaji ili kufanya uchunguzi na hatimaye kumchukulia hatua kwa kuwa tume ya Haki Jinai haina uwezo wa kumchukulia hatua yoyote.

Pia, amesema Rais hajatoa muda maalum wa Makatibu wakuu kujibu hoja za CAG, CHADEMA ina wasiwasi kuwa hoja hizo zinaweza kuchukua muda mrefu pasipo kupata majibu, hali ambayo hutokea kila mwaka. CHADEMA imeshauri Rais atumie vyombo vyake vya kimamlaka kuhakikisha hoja za CAG zinapata majibu kwa wakati.

Katika hatua nyingine, Mnyika ametoa wito kwa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuwajibika kwa kuwa yeye ndie msimamizi mkuu wa kazi za serikali, pia ni mtu anayewajibika na kufuatilia utekelezaji wa ripoti za CAG ambazo hazijafanyiwa kazi tangu ashike Wadhifa huo.
 
Attachments

  • 81D5E0D8-C6E9-4183-911D-F1910F380A27.jpeg
    81D5E0D8-C6E9-4183-911D-F1910F380A27.jpeg
    112.6 KB · Views: 2
  • 31E63934-E041-43A2-AEB3-1EE8F4B12F47.jpeg
    31E63934-E041-43A2-AEB3-1EE8F4B12F47.jpeg
    121.5 KB · Views: 2
  • B3B5BA72-6A1A-4FFF-9D42-917C4794DFED.jpeg
    B3B5BA72-6A1A-4FFF-9D42-917C4794DFED.jpeg
    152 KB · Views: 2
  • D12F7698-1E1F-420B-BAEC-0C0CC1138381.jpeg
    D12F7698-1E1F-420B-BAEC-0C0CC1138381.jpeg
    149.6 KB · Views: 2
Back
Top Bottom