chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 11,958
- 20,528
Rais Mwinyi amekuwa akipigiwa kelele sana kwamba ananyang'anya wananchi ardhi anawapa wageni kwa kisingizio Cha kukodisha. Baadhi wanasema, anachukua ardhi hiyo yeye mwenyewe kwa mlango wa wawekezaji.
Anahamisha mashule, maeneo ya shule anawapa wawekezaji, anakodisha visiwa kwa bei ya kutupa, mtoto wa Karume anasema anakodisha kisiwa kwa miaka 35 kwa dola milioni mbili na nusu.
Pale Airport, amefukuza wazawa, wamekosa ajira, ameleta watu wa nje.
Pale mji mkongwe kelele zimezidi.
Sasa kuonyesha ameota mapembe, amejiapiza kuchukua nyumba ya Rais wa kwanza wa Zanzibar Mzee Karume.
Tuombe Mungu huyu jamaa asije bara, atauza Kila kitu, na kama akitawala Zanzibar miaka kumi, natarajia kwamba ataondoka kauza Kila kitu isipokuwa oksijeni tu.
CCM taifa wamkemee, Serikali ya Jamhuri ya Muungano wamkemee