BLACK MOVEMENT
JF-Expert Member
- Mar 11, 2020
- 5,496
- 14,113
Wakuu kwa uelewa wangu mdogo mno wanapo kuja kufanya ukaguzi, na wakagundua kasolo kadhaa, huwa wanatoa muda wahisika waonyeshe Documents zinazo miss na kama wakizionyesha basi Auditor hu clear na wakishindwa basi kitu huenda kutolewa kama kilivyo.
Sasa kwa nini hoja za CAG zijibiwe baada ya report kutoka wakati kabla report haijatoka huwa kuna muda wa kuwasilisha vielelezo?
Report kutoka maana yake wahusika walishindwa kuwakilisha vielelezo husika sasa how come waviwasilishe sasa baada ya report kutoka?
Huku sio kutaka kupingana na report ambayo ni ya kitalamu na ina viwango kabisa vya IMF na World Bank?