Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:-
"Fanyaneni Nyie Wakubwa...
IBARA ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ndiyo inazungumzia uwepo wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na majukumu yake. Moja ya majukumu ya CAG ni kuhakikisha...
Utamaduni wa kujaza wasomi na walimu wa vyuo kwenye bodi za mashirika hayana tija. Kwenye bodi hizi mtaalamu sana sana awe mmoja na walionaki wawe watu ambao wanajua na kutumia reli mfano...
Tulisema hapa kuhusu haya mabehewa na vichwa vyake kwamba siyo vile tulivyoahidiwa na Shujaa Magufuli lakini tulipingwa sana
Hongera sana Rais Samia kwa kuliona hilo na kuchukua hatua za mara...
Kuna taarifa zingine ukiwa unazifuatilia unaweza kujikuta unaangua kilio. Nini maana ya SERIKALI YA WANYONGE? Hivi neno "WANYONGE" limetumika katika awamu hii kama KITENZI au NOMINO? Ukilinganisha...
Nchi hii ina watu wengi wasomi na wenye umaarufu na ushawishi katika jamii lakini wamekaa kimya kabisa kuhusu huu upotevu wa zaidi ya shilingi bilioni 1.5 uliowekwa hadharani na mbunge Zitto kabwe...
Tutapata muda kujadili taarifa ya ripoti ya CAG. Lakini tusiache na kujisahaulisha kwamba Rais Samia ndiyo aliagiza ripoti iwe na uwazi zaidi ili serikali iweze kufanya maamuzi. Sasa tusije kuona...
Sasa Rais Samia atengue uteuzi wa balozi siro aje Tanzania ahojiwe zilipo billion 4.8 alizoiba na genge lake pale makao makuu ya wizara ya mambo ya ndani kupitia Sacco's ya jeshi ,alikuwa anaagiza...
Watanzania hatuongopi mpaka tugombezwe, huu ndio utamaduni na Rais amegundua kwamba kuna wakati lazima uonyeshwe ukali sana kwa mabadiliko kutokea.
Tatizo sio mifumo tena ni wezi unao anzia juu...
Habari wakuu,
Tanaambiwa kuwa moja ya kazi ya mbio za mwenge ni kung'mua miradi iliyojengwa chini ya kiwango na kukataa kuifungua.
Japo kuna mkaguzi mkuu(CAG), wakaguzi wa ndani(Internal...
Ninavyoelewa mimi madai uandaliwa na anayedai na kuwasilisha pamoja na vielelezo Kwa mdaiwa. Kama ndivyo naamini kampuni iliyotengeneza ndege zetu ndiyo iliyowasilisha madai ya kiasi wanachoidai...
Wanajamvi Heri ya Pasaka!
Nimekuwa nikifuatilia kila panapotakiwa kutolewa taarifa yenye maslahi kwa nchi yetu pendwa Tanzania panatanguliwa na taarifa zenye taharuki na mshtuko.
Hivi karibuni...
Natafakari sana lakini sipati majibu, kati ya taasisi ya umma yenye magari ya kifahari halafu Kwa idadi kubwa basi ni hawa TRC. Wanamiliki magari mengi tena ya kifahari lakini sijui Kama taifa...
Ndege zinazotumiwa na ATCL zinamilikiwa na Serikali kupitia TGFA. Manunuzi ya ndege hufanywa na TGFA na kisha kukodishwa kwa ATCL. Hivyo, ATCL haihusiki na mchakato wa manunuzi ya ndege.
Eng...
Jf, members!
Salaam!
Nauliza iwapo watu wenye uelewa wa hali ya juu kama wale wa CCM iwapo wanaweza shangilia au kuwa wafuasi wa CDM, ACT, NCCR, au CUF. Nauliza hivi sbb hizi:-
(a). CDM -...
Tukubali kwamba Rais amekwazika sana na ripoti ya CAG. Nilipomsikiliza akitamka neno stupid nilimkumbuka Rais wa sasa wa Zambia Hichilema alipowaambia Wazambia kwamba, siku anaingia ofisini...
Leo baada ya kuwasilishwa kwa ripoti ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na ile ya TAKUKURU
Rais Samia Suluhu Hassan ameonesha kuchukizwa sana na kitendo cha ongezeko la fedha...
Anaandika Malisa GJ
Sabaya amekiri makosa yote yaliyokua yanamkabili. Uhujumu uchumi ameomba "plea bargaining" na ametakiwa kulipa faini ya milioni 5. Yani fedha zote alizodhulumu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.