Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mwigulu Nchemba kwenye utetezi wake bungeni amemtaja Rais kuwa ndiye anayeidhinisha fedha zote za Serikali jambo ambalo limezua utata na hisia kubwa kwa wananchi kuhusiana na ufisadi mkubwa...
27 Reactions
159 Replies
11K Views
Kwanza nianze ujumbe wangu kwa kumtanguliza mwenyezi Mungu alietupa uhai, afya, nguvu na akili ya kusimamia mfumo wa maisha yetu ya kila siku. Pili nitumie tena nafasi hii kuwasalimu watanzania...
7 Reactions
49 Replies
2K Views
GAG tunaomba report za mwaka 2021/2022 tu. Nimekuwa nafatilia report ya CAG toka itangazwe karibu wiki moja iliyopita. Nilitegemea CAG atatupatia report ya Mwaka huu 2021/2022, lakini CAG...
0 Reactions
1 Replies
595 Views
Tumeona mpaka gazeti la mwananchi wameingia kwenye upuuzi wa kuandika habari zisizo na ukweli wowote kuhusu Chato, hospital ya Kanda ya Chato imekuwa msaada mkubwa Kwa wananchi wa Kanda ya ziwa...
1 Reactions
31 Replies
2K Views
Hapa imetumika chenga ya mwili!! Kwenye taarifa moja kutolewa habari ya ongezeko la mishahara kwa asilimia 23.3 kwa kima cha chini na habari ya kupandisha mafao ya uzeeni huko PSSSF toka asilimia...
3 Reactions
18 Replies
5K Views
Habari za pasaka ndugu wanajukwaa wakati wengine wakiendelea na swaum nawaambia kazi iendelee. Ninapendekeza ofisi ya Rais Ikulu kupitia kurugenzi ya mawasiliano wawe na ukurasa wao hapa kama...
9 Reactions
18 Replies
1K Views
Kilichoelezwa kwenye ripoti ya CAG kinatosha kutuaminisha kwamba serikali ya CCM ni wezi? Au itoshe kusema serikali ya CCM imeshindwa kusimamia sheria? Au basi tuseme serikali ya CCM imelegalega...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Salam wakuu, Nimeingia katika tafakari ya muda baada ya kuona Matukio mawili yakitendeka ghafla ghafla ikiwa ni saa Chache kabla Chama Cha ACT Wazalendo hawajafanya uchambuzi wa ripoti ya CAG...
5 Reactions
21 Replies
3K Views
SHORT COURSE YA SIASA MIEZI MITATU. Anaandika, Robert Heriel Mkufunzi Najua kila mtanzania ni mwanasiasa lakini wengi wenu mnataka muwe certified. Mambo ya makaratasi au sio. Kumiliki gamba ndio...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa...
0 Reactions
3 Replies
471 Views
Ni masaa sSasa yamepita toka report ya CAG isomwe mbele ya Rais na kuibua madudu kibao lakini mpaka Sasa wanaojiita wachambuzi na wapinga ufisadi wa Serikali ya awamu ya tano wako kimya. Twitter...
6 Reactions
76 Replies
5K Views
Chadema kwa nini hamzalishi tena vijana aina ya Ben Saanane, John Mnyika, John Heche, Boniface Jacob, Zitto Kabwe, Godbless Lema, Ephata Nanyaro, Halima Mdee, Upendo Peneza? Hawa walikuwa wanajua...
4 Reactions
21 Replies
1K Views
Mamlaka za Tanzania zimeombwa kuwaachilia huru Wafungwa wote walio kwenye Jela zote Nchini, kwa vile rekodi zinaonyesha kwamba katika Wafungwa ambao wamo Jela na Magereza yote ya Tanzania hadi...
13 Reactions
41 Replies
2K Views
Wakati wa Serikal ya Awamu ya 5 ACT Wazalendo ndio chama kilichoonesha kusimamia na kutimiza matakwa ya kisheria na kikatiba katika kila angle Sijajua awamu hii wamekumbwa na nini kwa sababu...
0 Reactions
3 Replies
459 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea ripoti ya taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na TAKUKURU kwa mwaka 2021/2022 leo Machi 29...
14 Reactions
277 Replies
23K Views
Kabla sijaweka nia ya kuandika makala tata kidogo, ahli ya yote yanibidi nianze kuuliza. Nimeona clip moja mitandaoni inasambaa kuhusu hotuba ya rais Samia akisema haya:- "Fanyaneni Nyie Wakubwa...
8 Reactions
30 Replies
3K Views
IBARA ya 143 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano ndiyo inazungumzia uwepo wa Ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) na majukumu yake. Moja ya majukumu ya CAG ni kuhakikisha...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
Utamaduni wa kujaza wasomi na walimu wa vyuo kwenye bodi za mashirika hayana tija. Kwenye bodi hizi mtaalamu sana sana awe mmoja na walionaki wawe watu ambao wanajua na kutumia reli mfano...
1 Reactions
4 Replies
531 Views
Tulisema hapa kuhusu haya mabehewa na vichwa vyake kwamba siyo vile tulivyoahidiwa na Shujaa Magufuli lakini tulipingwa sana Hongera sana Rais Samia kwa kuliona hilo na kuchukua hatua za mara...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Wana bodi mnaonaje kuhusu suala hili? Hizi ni fedha nyingi mno kwa kweli zilizoibuliwa na mzalendo halisi na CAG wetu, Prof. Assad.
0 Reactions
3 Replies
481 Views
Back
Top Bottom