Ripoti ya CAG: CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Aprili 10, 2023

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,628
218,059
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu .

Baada ya Utangulizi huo Taarifa kabambe
inasambazwa kwa watu wote Duniani kwamba , Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Ufipa Street , kwa lengo moja tu la kuzungumzia ripoti ambayo imetolewa na CAG , ripoti ambayo imejaa upigaji wa kutisha .

Kama unataka kuwafahamu Wahusika wote waliojichotea mihela ya umma , na kama unataka kufahamu kwanini wanalindwa , na kama ungependa kumjua kiundani Biswalo Mganga na Washirika wake wakiwemo Mawakili wazito wa serikali walioshiriki kufilisi nchi basi hutakiwi kukosa kwenye Mkutano huu , Chadema haitamung'unya maneno , hata kama miongoni mwa wahusika wamo waliopandishwa vyeo , hilo halitazuia kuwataja hadharani .

Waandishi wa Habari mnaombwa kuja na Makaratasi mengi sana maana mnyororo ni mrefu .

Wote Mnakaribishwa .

FB_IMG_1681048418966.jpg

UPDATES
=========

View attachment 2583411
 
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu .

Baada ya Utangulizi huo Taarifa I
inasambazwa kwa watu wote Duniani kwamba Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari kwa lengo moja tu la kuzungumzia ripoti ambayo imetolewa na CAG , ripoti ambayo imejaa upigaji wa kutisha .

Kama unataka kuwafahamu Wahusika wote waliojichotea mihela ya umma , na kama unataka kufahamu kwanini wanalindwa , na kama ungependa kumjua kiundani Biswalo Mganga na Washirika wake wakiwemo Mawakili wazito wa serikali walioshiriki kufilisi nchi basi hutakiwi kukosa kwenye Mkutano huu

View attachment 2582381
Ikiweze kama chama kumkaribisha na Sabaya asikie kwa masikio yake ,huenda mafunzo ya nidhamu yakawa yametengenezwa mtu mwadilifu🤔
 
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu .

Baada ya Utangulizi huo Taarifa kabambe
inasambazwa kwa watu wote Duniani kwamba , Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari kwa lengo moja tu la kuzungumzia ripoti ambayo imetolewa na CAG , ripoti ambayo imejaa upigaji wa kutisha .

Kama unataka kuwafahamu Wahusika wote waliojichotea mihela ya umma , na kama unataka kufahamu kwanini wanalindwa , na kama ungependa kumjua kiundani Biswalo Mganga na Washirika wake wakiwemo Mawakili wazito wa serikali walioshiriki kufilisi nchi basi hutakiwi kukosa kwenye Mkutano huu , Chadema haitamung'unya maneno , hata kama miongoni mwa wahusika wamepandishwa vyeo , hilo halitazuia kuwataja hadharani .

View attachment 2582381
Hao walamba asali watakuwa wametumwa kutetea wizi

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu .

Baada ya Utangulizi huo Taarifa kabambe
inasambazwa kwa watu wote Duniani kwamba , Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Ufipa Street , kwa lengo moja tu la kuzungumzia ripoti ambayo imetolewa na CAG , ripoti ambayo imejaa upigaji wa kutisha .

Kama unataka kuwafahamu Wahusika wote waliojichotea mihela ya umma , na kama unataka kufahamu kwanini wanalindwa , na kama ungependa kumjua kiundani Biswalo Mganga na Washirika wake wakiwemo Mawakili wazito wa serikali walioshiriki kufilisi nchi basi hutakiwi kukosa kwenye Mkutano huu , Chadema haitamung'unya maneno , hata kama miongoni mwa wahusika wamo waliopandishwa vyeo , hilo halitazuia kuwataja hadharani .

Waandishi wa Habari mnaombwa kuja na Makaratasi mengi sana maana mnyororo ni mrefu .

Wote Mnakaribishwa .

View attachment 2582381
Mh, mje na mpango mkakati kuishaur, kuikosoa na pale penye mbeleko za ufisadi mziseme wazi bila hofu ya maridhiano!!
 
Wakuu hongereni sana kwa Sherehe za Pasaka zinazoendelea , ambapo Wakristo kote Duniani wanasherehekea kufufuka kwa Bwana Yesu .

Baada ya Utangulizi huo Taarifa kabambe
inasambazwa kwa watu wote Duniani kwamba , Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimeitisha Mkutano wa Waandishi wa Habari kwenye Makao Makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , huko Kinondoni , Ufipa Street , kwa lengo moja tu la kuzungumzia ripoti ambayo imetolewa na CAG , ripoti ambayo imejaa upigaji wa kutisha .

Kama unataka kuwafahamu Wahusika wote waliojichotea mihela ya umma , na kama unataka kufahamu kwanini wanalindwa , na kama ungependa kumjua kiundani Biswalo Mganga na Washirika wake wakiwemo Mawakili wazito wa serikali walioshiriki kufilisi nchi basi hutakiwi kukosa kwenye Mkutano huu , Chadema haitamung'unya maneno , hata kama miongoni mwa wahusika wamo waliopandishwa vyeo , hilo halitazuia kuwataja hadharani .

Waandishi wa Habari mnaombwa kuja na Makaratasi mengi sana maana mnyororo ni mrefu .

Wote Mnakaribishwa .

View attachment 2582381
Mje na ushahidi msitulishe Matango pori yenu mliyotuzoesha.
 
Back
Top Bottom