USHAURI: Rais Samia kama inawezekana tunaomba uwaachie huru wafungwa wote tuanze upya

Fukua

JF-Expert Member
Jun 1, 2022
546
479
Watanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa.
Na wengi sana wapo vifungoni kwa makosa ya kusameheka kabisa.
Ukweli ni kwamba wengi ni maskini sana hawana watu wa kusimamia hata haki zao kama kukata rufaa au kuweka mawakili hivyo waliishia kufungwa bila huruma kabisa.

Mama Samia watoto wa maskini ndio wanaoozea jela, wewe ni mama na uzuri ni kwamba unaijua vyema mifumo yetu ya mahakama na mapungufu yake.

Kwa moyo mkunjufu kabisa ninakuomba sana litazame jambo hili.
Una mamlaka yote, kama itakufaa agiza vyombo vyako vya uchunguzi Ili angalau wale waliofikishwa hapo kwa kusingiziwa, kuonewa na kwa fitna tu za kitanzania uwasaidie wapate uhuru wao.
Wanaoiba na kulifilisi taifa hili wako uraiani lakini wezi wa unga wa kula au kuku wanaozea jela hii ni laana kwa nchi.
Ripoti ya CAG Kila mwaka inabainisha wizi wa kutisha wa mabilioni lkn wahusika hatua wanazochukuliwa ni vichekesho kabisa

Ulisema tushauri kistaarabu na Mimi nimetumia haki yangu ya kutoa maoni
Mungu akulinde na kukupa maisha marefu pia nguvu na maarifa ya kulitumikia taifa lake
 
Watanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa.
Na wengi sana wapo vifungoni kwa makosa ya kusameheka kabisa.
Ukweli ni kwamba wengi ni maskini sana hawana watu wa kusimamia hata haki zao kama kukata rufaa au kuweka mawakili hivyo waliishia kufungwa bila huruma kabisa.

Mama Samia watoto wa maskini ndio wanaoozea jela, wewe ni mama na uzuri ni kwamba unaijua vyema mifumo yetu ya mahakama na mapungufu yake.

Kwa moyo mkunjufu kabisa ninakuomba sana litazame jambo hili.
Una mamlaka yote, kama itakufaa agiza vyombo vyako vya uchunguzi Ili angalau wale waliofikishwa hapo kwa kusingiziwa, kuonewa na kwa fitna tu za kitanzania uwasaidie wapate uhuru wao.

Ulisema tushauri kistaarabu na Mimi nimetumia haki yangu ya kutoa maoni
Mungu akulinde na kukupa maisha marefu pia nguvu na maarifa ya kulitumikia taifa lake
Tunywe tu bia na tule sana nyama, tunaishi ili tufe
 
Tunachojua sisi mwanetu sabaya katoka hayo mengine mtajijua , jembe lipo mtaa
 
Watanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa.
Na wengi sana wapo vifungoni kwa makosa ya kusameheka kabisa.
Ukweli ni kwamba wengi ni maskini sana hawana watu wa kusimamia hata haki zao kama kukata rufaa au kuweka mawakili hivyo waliishia kufungwa bila huruma kabisa.

Mama Samia watoto wa maskini ndio wanaoozea jela, wewe ni mama na uzuri ni kwamba unaijua vyema mifumo yetu ya mahakama na mapungufu yake.

Kwa moyo mkunjufu kabisa ninakuomba sana litazame jambo hili.
Una mamlaka yote, kama itakufaa agiza vyombo vyako vya uchunguzi Ili angalau wale waliofikishwa hapo kwa kusingiziwa, kuonewa na kwa fitna tu za kitanzania uwasaidie wapate uhuru wao.

Ulisema tushauri kistaarabu na Mimi nimetumia haki yangu ya kutoa maoni
Mungu akulinde na kukupa maisha marefu pia nguvu na maarifa ya kulitumikia taifa lake
NAUNGA MKONO HOJA !!!!!!!!! TENA HATA BUDGET YA MAGEREZA ITAPUNGUA SANA !!!
 
Ndicho nilichosema kwenye ule uzi, watolewe wote na tuanze upya. Kila kitu siasa hii nchi, kuna watu wana kesi za kusingiziwa, mnawaacha mnakuja kulitoa hilo lenye sura la jambazi.
Wengi sana wenye kesi za kusingiziwa hii nchi Kuna mambo yanasikitisha sana
 
Ndicho nilichosema kwenye ule uzi, watolewe wote na tuanze upya. Kila kitu siasa hii nchi, kuna watu wana kesi za kusingiziwa, mnawaacha mnakuja kulitoa hilo lenye sura la jambazi.
Kaeeni kwa kutulia,

Mbakaji wenu yupo huru
 
NAUNGA MKONO HOJA !!!!!!!!! TENA HATA BUDGET YA MAGEREZA ITAPUNGUA SANA !!!
Ni kweli kuna watu wanaozoea magerezani simply wamekosa watetezi licha ya kwamba wapo wanaosota kwani ni stahili yao hao waache wasote ila wale waliofungwa kwa kesi za kusingiziwa upembuzi ufanywe watolewe magerezani tulishuhudia watu wengi wakisingiziwa kesi huko nyuma eti tu kwa kushindwa kuunga juhudi
 
Watanzania wengi sana wapo magerezani kwa kesi za kusingiziwa.
Na wengi sana wapo vifungoni kwa makosa ya kusameheka kabisa.
Ukweli ni kwamba wengi ni maskini sana hawana watu wa kusimamia hata haki zao kama kukata rufaa au kuweka mawakili hivyo waliishia kufungwa bila huruma kabisa.

Mama Samia watoto wa maskini ndio wanaoozea jela, wewe ni mama na uzuri ni kwamba unaijua vyema mifumo yetu ya mahakama na mapungufu yake.

Kwa moyo mkunjufu kabisa ninakuomba sana litazame jambo hili.
Una mamlaka yote, kama itakufaa agiza vyombo vyako vya uchunguzi Ili angalau wale waliofikishwa hapo kwa kusingiziwa, kuonewa na kwa fitna tu za kitanzania uwasaidie wapate uhuru wao.

Ulisema tushauri kistaarabu na Mimi nimetumia haki yangu ya kutoa maoni
Mungu akulinde na kukupa maisha marefu pia nguvu na maarifa ya kulitumikia taifa lake
Watu watakua wengi sana uraiani na pia askari magereza watakosa kazi
 
Back
Top Bottom