Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 39,860
- 25,734
Ndugu zangu watanzania,
Rais Samia Ambaye anatajwa Kama kiongozi mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika na anayechukuliwa Kama mtetezi wa waafrika wote Ameuwasha Moto,Amepiga kiberiti,Ni Moto unaowaka ,Ni Moto unatembea kuelekea kwa mafisadi,Ni Moto unakimbia.kuelekea kwa waliolitia hasara Taifa letu,Ni Moto kuelekea kwa wabadhirifu na wababaishaji,Ni Moto kuelekea kwa kupe wa Taifa ,Ni Moto umewaka hauzimi Wala kuzimishwa na yeyote, Ni Moto uliowashwa na mh Rais wetu na Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama mh mama Samia suluhu Hassani.
Ni Moto uliowashwa kwa mkono wa Rais Samia ,Ni majuto kwa walioshindwa kutumikia viapo vyao,Ni kilio na majonzi kwa walio chezea pesa za umma ,Ni machozi na huzuni kwa waliogushi Nyaraka,Ni maumivu kwa waliojichotea pesa za umma bila huruma Wala aibu Wala kujali maslahi ya Taifa Wala kujali maisha ya watanzania wanyonge.
Tuendelee kuwa watulivu na wenye subira watanzania, Tuendelee kumwamini na kumuunga mkono Rais wetu, Tuendelee kumwombea Afya njema Rais wetu, hawezi kutuangusha,hawezi kutusaliti ,hawezi kuwachekea wezi ,hawezi kuwaacha salama wasio na huruma na pesa zetu ,hawezi kuwavumilia waliokosa uzalendo na Taifa letu.Hawezi kutukatisha Tamaa watanzania,hawezi kuzipuuza sauti za mamilioni ya watanzania,hawezi kuacha mambo yapite hivi hivi ,hawezi kuacha machozi ya watanzania yakawa Kama ya samaki ziwani au baharini.
Rais Samia kachukia ,kafura kwa hasira juu ya wale walioshindwa kutimiza matarajio na kutumika kuwahudumia watanzania na kulitetea Taifa letu kwa kulinda Mali zetu,Sasa ameinuka amenyoosha mkono ,mkono wa mamlaka ,mamlaka ya Urais, Sasa haangalia Wala kumwangalia mtu usoni.
Ni tetemeko linalotetemesha mioyo ya wasaliti,mioyo ya waliopola Mali zetu na kushindwa kuwa waaminifu, Moto unaowaka,ni Moto unaoleta Tabasamu na matumaini katika mioyo ya watanzania,Moto unaowafuta machozi watanzania Wavuja jasho Wa Taifa letu,Moto unaoleta mwanga na Nuru katika mioyo ya wengi.
Songa mbele Rais wetu watanzania tupo bega kwa bega na wewe,usiteteleke Wala kuyumba ,acha Moto uwawakie na kuwafikia wote waliohusika,chapa kazi Rais wetu watanzania wanayo Imani kubwa Sana na wewe,usiwaangushe maana wamekupa Imani yote, sisi tupo na wewe Rais wetu na tuna endelea kukuombea Sana.
Kazi iendeleee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.
0742-676627