Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na...
Kama Philip Mpango bado yuko ofisini hadi sasa hivi basi kinacho endelea ni kiini macho tu hakuna kitu hapa.Mama ana hadaaa Umma na inabidi yeye ndio tudili naye, Mama anawalindaafisadi na...
Hawa wote walosomwa na CAG ni asilimia 90 mpaka 95 ni wateule wa Magufuli.
Kila ripoti ikitoka hamna kitu bunge linafanya, kwasababu bunge lote ni la chama kimoja ambacho lilitokana na kuiba...
Mungu ni wa ajabu sana na utukufu wake ni wa kutisha sana, kwani hukumu zake ni za haki
Ninachokifahamu ni hivi! Mtu akiuwa mtu, maisha yake yote huwa hawezi kupata Amani abadani kwa sababu...
Mpango wa Serikali ni kuwarudisha nchini na wataishi kwenye vituo mahususi vilivyotengwa (Chuo Kikuu cha Dar es Salaam-UDSM na Kihansi kuanzia Aprili mwaka huu," alisema Chande na kuongeza kuwa...
Jamani wana jamii wenzangu samahanini kwa kutokuwepo mtandaone kwa muda kidogo.
Hivi ina maana Muungwana haoni kelele zote hizi wanazopigiwa hawa mafisadi.Yule aliyekuwa mkurugenzi BOT na...
Je, Kikatiba, Makamu wa Rais ana uwezo wa kukataza au hata kuamrisha chochote? I mean, ana uwezo wowote wa hire and fire yoyote yule Tanzania?
Nauliza kwa maana isije kuwa tunalishwa matango...
MKATABA WA SHILINGI BILIONI 4.7 KUWAFIKISHIA WANANCHI MAJI SAFI NA SALAMA KATA YA MUGANGO NA TEGERUKA WASAINIWA
WIZARA ya Maji imemtaka mkandarasi kampuni ya Kiure Engineering L.T.D. kukamilisha...
Kitu kimoja ambacho Shujaa Magufuli alikuwa nacho ni kuogopa mambo madogo na kuwa jasiri kwenye mambo makubwa na Mazito.
Shujaa aliogopa Mikutano ya Huu upinzani Uchwara lakini lilipokuja jambo...
I have never gotten the logic like this all my life. Ati mwizi mmoja akishikwa anaanza ama mnaanza kusema hata XYZ ni mwizi mbona hajashikwa. We have to start somewhere now!
Hizi hela...
Mwanasiasa wa Tanzania na mbunge wa zamani wa Arusha Mjini anaeishi uhamisho nchini Kanada, Godbles Lema ambaye pia ni makamu wa Rais wa masoko barani Afrika wa kampuni Kanada, Solar ship inc...
KAMPUNI iliyopewa kazi ya kukusanya fedha za kampeni za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Push Mobile Media Limited inahusishwa na watuhumiwa wa ufisadi nchini, MwanaHALISI limegundua.
Kwa mujibu wa...
KAMATI ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), imebaini ufisadi mwingine wa mabilioni ya fedha kwenye marejesho ya zile zilizochotwa awali kifisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA). Fedha hizo...
Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Dk Stephan Ngailo amesema serikali itatoa mbolea kwa miaka mitatu mfululizo kuanzia mwaka 2022/2023 hadi 2024/2025 ili...
Napita hapa mnadani wilayani Maswa nakuta wanafunzi wamekaa sita wa kike wamekaa vibandani. Nawauliza kulikoni hamuendi shule? Wananijibu "jana tulipigwa na leo tusipopeleka hela ya waalimu...
Kwanza kabisa niwatakie Jumatatu ya Pasaka yenye Baraka.
Sasa naomba majibu ya swali langu.
Masanja Kadogosa ni Katibu wa Bodi ya TRC na anaingia Hapo siyo kwa kuteuliwa bali kutokana na Cheo...
Serikali ya Awamu ya Sita imesimama imara katika kutafuta fehda za miradi mbalimbali ya maendeleo, hivyo juhudi hizo zinapswa kulindwa maendeleo yapatikane kwa haraka katika jamii.
Uwepo wa...
BENKI ya Dunia imeimwagia sifa Tanzania kwa usimamizi mzuri wa uchumi na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayopata fedha kutoka kwenye taasisi hiyo ikilinganishwa na nchi nyingine...
Kwa muda mrefu baada ya kusomwa kwa ripoti za CAG miaka ya nyuma huwa wabadhirifu na wale wote waliotajwa hujificha kwenye kivuli cha uwajibikaji wa kisiasa. "Yaani mhusika anatumbuliwa na mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.