Ni Makosa makubwa Philip Mpango kuwa Makamu wa Rais

Ranger9

JF-Expert Member
Apr 27, 2021
1,503
2,776
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
 
Kuna mjomba wako unamuandalia hiyo nafasi?

Mjinga mmoja uliekulia na kukomalia kwenye majungu?

Ranger9 Mtaendekeza huu ujinga na ungese mpaka lini?

Yaani mtu ukilala ukaamka shida zimekukalia kooni.
Basi unatafuta pa kulaumu.

Watanzania wengi vyeti feki hadi ubongo feki.
 
Sisiem Ni ukoo wa panya.
 
Huyu Mpango mama kamweka kimkakati kutuibia tu wa TZ ukimsikia kasauti kake , utadhani kuwa ni mpole kiasi kwamba mama yake ssh likimkuta kama ya jiwe kufungiwa kwenye chupà , CCM kamati kuu itamdhulumu kikatiba kujiokotea huo uraisi wa jmt kama alivyookota mama yake
 
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Kwani aliyepo juu yake yeye ndiyo msafi?Hao wote ni Msoga Jazz Band-walamba asali!
 
Kuna mjomba wako unamuandalia hiyo nafasi?

Mjinga mmoja uliekulia na kukomalia kwenye majungu?

Ranger9 Mtaendekeza huu ujinga na ungese mpaka lini?

Yaani mtu ukilala ukaamka shida zimekukalia kooni.
Basi unatafuta pa kulaumu.

Watanzania wengi vyeti feki hadi ubongo feki.
Hoja hujibiwa kwa hoja
 
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Huu ni upuuzi na kukosa adabu! 🙏🙏🙏
 
Ccm ukiwabinya kwenye mshono wanakuaga wakali Kama simba au faru, mtoa mada amehoji Kama sio kueleza , Sasa nyie CCM badala ya kumjibu kwa hoja, mko kutukana , kukebehi ili mtoa mada atoke kwenye reli.

JIBUNI POINT ZAKE KWAMBA ,Je? Mh makam, alistahili cheo hicho Kama ndio shusha hoja zako maana mtoa mada amekataa Kwamba hakustahili tokana na hoja zake,
Sisiem Ni ukoo wa panya.
 
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!
Si bure.

Utakuwa una jambo ulijualo mwenyewe, au umetumwa.

Haya, kwanza tuambie wewe mweyewe shughuli yako ni ipi hasa, halafu tupime kati yako na huyo unayemnanga hapa.

Sidhani kamwe kwa mtu mwenye mawazo kama yako anaweza kuwa na chembe yoyote ya "kupenda nchi yetu"
 
Anawapoteza maboya kuelekea 2025 — Wakati huo msaliti mbowe analambishwa asali huku minyumbu ya chadema mnakenua kwa furaha.

Sayansi za siasa hizo dogo.

Nani anapotezwa maboya na wazee? Labda ww kwakuwa ni mzee mwenzao hivyo unaamini kuna wanaopotezwa maboya kirahisi hivyo.
 
Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha
Naanzia hapa kujua unakotokea na unakokwenda.

Sasa usije ukanirukia na kudhani nilikuwa mpenzi wa huyo Jiwe na vichaa wenzake; lakini ninapoona vichaa wengine waliko huko unakolalia wewe siwezi kukosa kuwatambua.
 
Nani anapotezwa maboya na wazee? Labda ww kwakuwa ni mzee mwenzao hivyo unaamini kuna wanaopotezwa maboya kirahisi hivyo.
Samia kaiangamiza chadema kirahisi sana.

Tofauti yake na dhalimu ni kwamba, dhalimu alikuwa mkweli na alitumia mbinu za maguvu bila unafiki katika kuwatokomeza wapinzani uchwara.

Samia anaiangamiza chadema kisayansi. Lamba asali kwisha habari.

Manyumbu mnakenua kwa furaha bila kujua undani wa huu muktadha.
 
Kufa kwa CDM ni matamanio ya kila mwanaccm, kichekesho ni pale itakapofika kipindi cha uchaguzi utaona vyombo vya dola vikigeuka kuwa mbeleko ya chama chakavu.
 
Huyu mtu simply ni Mhalifu, japo anajificha kwenye kijisauti chake kile tunamwona kama Mcha Mungu vile.

Kwa miezi michache aliyokaa kama CG - TRA, Philip Mpango aliwatisha Wafanyabiashara na kuwafanya wengi wafunge biashara. Tabia hiyo aliendelea nayo akiwa Waziri wa Fedha.

Aliwatisha pia Wakuu wa Mashirika ya Umma na kuwaamuru kutoa Mabilioni ya Fedha kama Gawio Serikalini hata pale ilipokuwa ikijulikana Wazi mashirika mengi yalikuwa taabani kifedha - Jambo linalolalamikiwa na Rais Samia kwa Sasa.

Uharibifu wa Uchumi wote Uliofanyika Awamu ya 5, ulisimamiwa na Philip Mpango; Inakuwaje huyu mtu ndo anakuwa Makamu wa Rais?

Huyu pamoja na yule Mzee wa Benki Kuu, hawana hata chembe ya Uadilifu kuendelea kushikilia nyadhifa kubwa walizo nazo; kama tunaipenda nchi yetu hawa walipaswa kushitakiwa kwa Makosa anayoshitakiwa nayo SABAYA; SAD!

CCM na Ujamaa wake inatawala kimafia sana.
 
Si bure.

Utakuwa una jambo ulijualo mwenyewe, au umetumwa.

Haya, kwanza tuambie wewe mweyewe shughuli yako ni ipi hasa, halafu tupime kati yako na huyo unayemnanga hapa.

Sidhani kamwe kwa mtu mwenye mawazo kama yako anaweza kuwa na chembe yoyote ya "kupenda nchi yetu"
Nimecheka kijinga Sana, Kwamba kuoji sio kupenda nchi? Na ndo umejipanga hivi kuja pangua hoja za mtoa mada, nimecheka Kama mazuri,
 
Back
Top Bottom