Kama Warundi leo ndio wamekamilisha uchunguzi wa mauaji ya Mfalme wao wa mwisho, Iko siku pia watanzania watamjua mbaya wao!

Trable

JF-Expert Member
Jan 3, 2023
1,783
3,281
Mungu ni wa ajabu sana na utukufu wake ni wa kutisha sana, kwani hukumu zake ni za haki

Ninachokifahamu ni hivi! Mtu akiuwa mtu, maisha yake yote huwa hawezi kupata Amani abadani kwa sababu hukumu ya Mungu juu ya uovu wowote hasa unaohusu UHAI wa mtu, huwa upo kifuani mwake, na moyo hutoa hukumu ya maisha ya mhusika, na mtu kujiona mwenye hatia kila akumbukapo jambo hilo!

Pona ya mtu huyo hupaswa kufanya mambo mawili tu, ni ama ajikabidhi Police ili sheria ifanye kazi yake na ndipo Amani awe nayo, la sivyo, akimbilie kwa Mungu ukatubu na toba yake siyo ya kitoto ni shariti aitamke hiyo dhambi na kuikiri kwa kinywa Chake kama ambavyo atakiri kwenye Vyombo vya sheria!

Kama Warundi leo ndiyo wametangaza watu waliohusika kufanya mauwaji kwa aliyekuwa Mfalme wa mwisho wa nchi hiyo baada ya miongo mingi kupita, hata hapa Tanzania, ni lazima itafahamika tu!

Mungu ibariki Tanzania
 
JK alipoingia madarakani, immediately aling'amua kuwa he was not the most powerful person in the land. Hii ilimsaidia kudumu madarakani kwa kipindi chote cha miaka kumi.
Mzee wa elipaso pia aling'amua hivyo. Aliwaita wale waliomzidi nguvu, 'wahisani', akafanikiwa kutoboa.
Akaja yule 'bwana mjinga'. Akadhani yeye ni 'hawafu mwenye nguvu'. 'Akawaita wahisani mabeberu, wawekezaji akawaita mafisadi!
Wahisani wakampa 'peremende' moja yenye polonium, akaanza kunyonyoka nywele... Akafurahi na roho yake...
 
Kweli Mkuu damu ya Mtu haipotei kamwe ,hata aliemuua Ben Saanane na Azory Gwanda siku moja Mungu atatupa majibu
kaka ndio nini kuufunga uzi mapema?...si ungesubiri kidogo uzi ufike mbali angalau mleta mada ajihisi na yeye na yeye ni "great sinker".
 
Mungu ni wa ajabu sana na utukufu wake ni wa kutisha sana, kwani hukumu zake ni za haki

Ninachokifahamu ni hivi! Mtu akiuwa mtu, maisha yake yote huwa hawezi kupata Amani abadani kwa sababu hukumu ya Mungu juu ya uovu wowote hasa unaohusu UHAI wa mtu, huwa upo kifuani mwake, na moyo hutoa hukumu ya maisha ya mhusika, na mtu kujiona mwenye hatia kila akumbukapo jambo hilo!

Pona ya mtu huyo hupaswa kufanya mambo mawili tu, ni ama ajikabidhi Police ili sheria ifanye kazi yake na ndipo Amani awe nayo, la sivyo, akimbilie kwa Mungu ukatubu na toba yake siyo ya kitoto ni shariti aitamke hiyo dhambi na kuikiri kwa kinywa Chake kama ambavyo atakiri kwenye Vyombo vya sheria!

Kama Warundi leo ndiyo wametangaza watu waliohusika kufanya mauwaji kwa aliyekuwa Mfalme wa mwisho wa nchi hiyo baada ya miongo mingi kupita, hata hapa Tanzania, ni lazima itafahamika tu!

Mungu ibariki Tanzania
TATIZO LA AFYA YA AKILI NI HATARI SANA, KWANI TANZANIA TULIWAHI KUWA NA MFALME, AU MTU WA ADHI YA UFALME, TUNAO TU MARAIS AMBAO KWA UPENDO WA MUUMBA WAMETANGULIA NA WAMEPUMZIKA MBELE YA HAKI, RIP, MWL JKN, RIP BMW, RIP JIWE! (miongoni mwa wapendwa wetu wapo waliokuwa makatili kweli na wabinafsi)
 
Acheni ujinga nyie wanafiki. Nani amuue yule jamaa. Yule alikufa kwa dhambi zake huwezi kumwaga damu ya binadamu ukaishi salama. Kafuatilie kifo cha Abacha kilikuaje baada ya kuua watu wengi.
 
Back
Top Bottom