Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Najua wazi viongozi wengi wa kisiasa wana vijembe sana. Wapo niliowahi kukutana nao na kushuhudia mwenyewe majibu yao yasiyo na staha. Lakini linapokuja suala la maadili, ifike mahali tuambiane...
5 Reactions
43 Replies
3K Views
Kwa kipindi hiki Cha bajeti serikali Ijiepushe na kutumia faini za barabarani kama mojawapo ya vyanzo vya mapato. Nakumbuka hii iliwahi kujadiriwa bungeni lakini mpaka sasa hivi bado kuna tetesi...
0 Reactions
0 Replies
849 Views
Zitto Kabwe amesema kwa mujibu wa kanuni za Mabenki ya Kimataifa ni marufuku Benki kumpangia Mteja wake Contractor wa kutekeleza Mradi anaoombea Mkopo Zitto anasema Ikibainika Standard Charted...
18 Reactions
89 Replies
6K Views
Mtu anataifisha pesa kutoka kwa Mtu binafsi then huyo Mtu anakamatwa na anafanya plea-bargaining na serikali then analipa pesa kwa Serikali baada ya kukili kosa lake mahakamani kupitia ofisi ya...
1 Reactions
4 Replies
703 Views
Je uliwahi kuwepo katika viwanja vya bunge kipindi kama hiki yaani huku kuna mzozo wa kibunge kama huu wa CAG na ikawa kipindi cha ramadhani kisha wabunge wakitwa kwenye futari? Wanaoitwa sio...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Wasalaam Ndg. Watanzania wenzangu. Naomba niende moja kwa moja kwenye hoja. Yaani imesikitisha kuona jinsi ambavyo "Wabunge" wamekuwa kitu kimoja kufunika hilo kombe linalozidi kufurisha. Kwa...
0 Reactions
3 Replies
591 Views
Wakati serikali ya awamu ya sit chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu ikianza kuchukua hatua kutokana na mapungufu yaliyoainishwa katika ripoti ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG)watu...
6 Reactions
66 Replies
5K Views
Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Nyasa na Mjumbe wa kamati kuu mchungaji Msigwa ametoa rai Watu tofauti tofauti kujitokeza na kuchambua Ripoti ya CAG. Msigwa amesema Viongozi wa dini, Viongozi wa...
2 Reactions
0 Replies
462 Views
Chadema imesema kimsingi Tanzania hakuna Madiwani kuna Mazombi tu Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema mh Boniface Jacob amesema hayo wakati akichambua Ripoti ya CAG hususani maeneo ya Tamisemi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Ukweli ni kwamba tunasubiria embe chini ya mkaratusi. Tunaushangaa wizi na ubadhirifu wa pesa ya umma ulioibuliwa na CAG, kwani sisi tulikuwa na mategemeo gani? Hivi mwizi anaweza kuacha asili...
4 Reactions
10 Replies
1K Views
Huu ndio ulikuwa Wakati sahihi kabisa wa CCM kujivua Gamba kwa kuwaondoa Majambazi, Vibaka na Wezi wote bila kujali wanamilikiwa na Sukuma Gang, Lindi kuchele, Friends of Lowassa au Nungwi Aziz Ki...
2 Reactions
10 Replies
739 Views
Rais mstaafu wa awamu ya nne, Dkt Jakaya Kikwete amesema utoaji mikopo zaidi kutoka taasisi za kifedha zikiwemo benki, utachochea uwekezaji na ukuaji wa uchumi kupitia sekta mbalimbali zikiwemo...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Anaandika Paul Makonda katika mitandao ya kijamii Hivi hili Taifa tutaacha lini kupenda Umbeya, Majungu na Uongo. Na hata kama hakuna habari mbaya bado tunalazimisha tu ziwepo. Unaambiwa kabisa...
63 Reactions
143 Replies
18K Views
Nimeona wengi kwa mihemuko ya umbumbumbu wa kutojua taratibu na sheria zilizopo, wamekuwa wakimlaumu Rais kwa kutochukua hatua mara moja dhidi ya waliotajwa kwenye Report ya CAG. Watu hao...
40 Reactions
167 Replies
7K Views
Msanii wa katuni KIPANYA ametoa kikatuni chenye salaam tosha kwa CCM. Naamini kama kuna kiongozi mwenye kufuatilia miandaoni basi ujumbe atakuwa ameupata. CCM jamani tumewachoka ebu tuwachieni...
8 Reactions
16 Replies
2K Views
Katika mjadala unaoendelea Bungeni kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 4 jioni ya leo April 11, 2023 Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina amesema katika uchambuzi wa ripoti ya CAG anaoendelea...
17 Reactions
120 Replies
10K Views
Inawezekana kuna kundi kubwa halijua maana ya elimu ndio maana imekuwa ni kawaida sana kuisimanga, kuibagaza na kuishusha elimu. Elimu ni maarifa, elimu ni ujuzi, elimu ni mwanga, elimu ni silaha...
7 Reactions
106 Replies
4K Views
Mchungaji Joseph at Gwajima wewe ni mbunge wa jimbo la Kawe. Upo bize kweli na siasa za Sukuma Gang ukisahau zile za jimbo lako. Taarifa iliyopo ni kwamba eneo la mecco kunduchi "mashimoni"...
2 Reactions
4 Replies
1K Views
Naona mlima mrefu Makonda kuukwea kupitishwa Kigamboni.. Kauli za Rais zimemlenga moja kwa moja, leo tena kauli za katibu mkuu CCM zimemlenga moja kwa moja na ukuu wa mkoa utakuwa ushaota mbawa...
47 Reactions
327 Replies
45K Views
"Uimara wa kanisa ni uimara wa taifa" Makonda. Jionee Video. Mmesahau! 1.5 trillion zilitafunwa na majizi CCM.
13 Reactions
196 Replies
21K Views
Back
Top Bottom