Naona kwenye mitandao ya Kijamii wanashambuliwa Sana hususani baada ya ripoti ya CAG kutoka!!
Nijuavyo hii ripoti ni ya 2021/2022 na wizara nyingi zimeguswa ndani ya ripoti hiyo, Sasa najiuliza...
Tusishangae kwa nini hoja ya ushoga au upinde 🌈 imepamba moto duniani kwa miaka hii miwili toka Joe Biden achuguliwe kuwa Rais wa USA. Kwa makusudi mazima alichagua mashoga maarufu kushika nafasi...
Nimepita mikoa mingi ya nchi yetu na kukuta mabango mengi yanayomsifia Samia. Kwa maoni yangu mabango haya ni kiashiria cha CCM kuanza kumnadi mgombea wa ccm kabla ya nec kupuliza kipenga cha...
Serikali imesema imetenga shilingi Bilioni 10 kwa ukarabati wa viwanja kadhaa vya michezo ambavyo kwa sasa vinamilikiwa na CCM.
Kiuhalisia viwanja hivyo vilijengwa na wananchi wakati wa chama...
Inadaiwa tangu vurugu za kuchoma moto kituo cha polisi Muganza zitokee paranja lilipita na kamata kamata ikafanyika. Viongozi wa Chadema inasadikiwa walishawishi wananchi kufanya vurugu...
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe Jana alipata I-ftari na Wanachama wa ACT wazalendo na CUF ambao wamehamia Chadema huko Tandale kwa Tumbo Msikiti wa Mbuyuni
Mbowe amesema amepata faraja...
Ndugu Dr Tulia Ackson Mwansasu,spika wa bunge la jamuhuri ya muungano wa Tanzania na uongozi mzima wa bunge letu,kichwa cha habari kimejieleza vyema.
Ripoti ya CAG imejaa madudu mengi sana...
Naomba niende mbali zaidi kuwa niwe Whistle Blower katika baadhi ya sehemu kulikopotea/kufujwa hela za umma.
Rais wetu ana nia nzuri zana anapofanya teuzi mbalimbali ila wengi wanamwangusha...
Jumla ya Wanachama zaidi ya 200 wa CUF wamehamia CHADEMA kwa hiyari yao bila kulazimishana
Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ndiye aliyewapokea Wanachama hao wapya
Mungu awabariki sana!
RAIS MAGUFULI VITUO VYA AFYA 44 MIAKA 3 | RAIS SAMIA VITUO VYA AFYA 220 MIEZI 3
Ukisoma "Kitabu Cha Hali ya Uchumi Tanzania " cha mwaka 2018 ukurasa wa 60,utaona wakati Rais Kikwete anaondoka...
Serikali imesema majina maarufu yanapotumika katika masuala ya utalii mfano kwa Wanyama kama ilivyokuwa Simba aliyejulikana kwa jina la Bob Jr na mwanaye Rihanna ni sehemu ya kujitangaza...
Wanasiasa wengi wamekuwa wakifanya mambo ya ajabu sana, kuhujumu uchumi, Kula Rushwa/Kutoa Rushwa, kula fedha za miradi ya serikali. Ahadi za Uongo na Mambo mengine mengi ya hovyo kwa kutumia...
Habari za kazi wana JF,
Nadhani na nyie ni mashahidi jinsi tulivyopumzika/kupumua juu ya mapambio na kusifusifu na kuabudu kwenye kero ya hali ya juu kutoka kwa baadhi ya viongozi wasio na...
========
Wanakaa vikao wanafanya market allocation, wanapanga bei za simenti na ninataka nikwambie hata bunge hili kuna wakati tunakaa tunapitisha vitu hapa masikini ya Mungu bila kuelewa hapa...
Ndivyo ilivyo huko Uyunani katika kila hatua ya Ukaguzi Watuhumiwa wanakamatwa na kushtakiwa na kufungwa kabisa wale wenye Hatia
Kwa Wayunani kitendo cha CAG kusoma Ripoti ni kuujulisha Umma...
Wanabodi labda tusaidiane nchini kwetu tuna Waziri Mkuu je kazi zake hasa ni nini?
Ukiacha kuwasimamia Mawaziri au kutusomea bageti ya ofisi yake vipi ana uwezo wa kufanya maamuzi bila kuingiliwa?
Wadau nawasabahi,
Nimeshtushwa sana na kauli ya Waziri wa Sheria na Katiba juu ya Sheria ya Plea Bargaining kuwa ina mapungufu makubwa. Swali la kujiuliza, Serikali ilikuwa wapi kuyarekebisha...
Kwanza nitoe kongore mwa ex Mayor ndugu Mh Bon Yai Kwa uchambuzi wake makini na wa kuaminika hakika ametufugua macho Wana Dsm keep it broo!maana Mkaguzi ameyaandika na kusepa.
Nitoe Rai kwa ex...
Tuna nchi nzuri yenye fursa nyingi iliyogeuzwa kuwa mali binafsi ya wachache wenye kufahanika kwa kutokushiba kwao.
Maisha yamekuwa magumu. Mzigo wa kodi na tozo umekuwa usiomithilika. Wakati...
Sauti ya kilio na maombolezo ilisikika watu wasikubali kufarijiwa kwa kuwa hayupo tena,amelala.
Siku zikapita,miezi ikapita,na hatimae mwaka ukapita nisielewe maana ya fumbo hili!.Nikijiuliza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.