Waziri wa Fedha Dr Mwigullu PhD amesema miradi yote ya kimkakati iliyoanzishwa na Serikali ya Awamu ya 5 inaendelea kutekelezwa Fedha ipo hakuna Mradi uliosimama
Dr Mwigullu PhD aliyasema haya...
Taarifa iliyosambazwa Nchini Tanzania , inaeleza kwamba Issa Ponda , Sheikh anayetajwa kama mpiganiaji bora wa Mali za Waislam kwenye eneo la Maziwa Makuu , kesho tarehe 02/05/2023 ataongea na...
Hizi hapa data za idadi ya watu majimboni Tanzania bara na visiwani iliyotolewa lea kwa wabunge muda mfupi jimbo la ukonga na Mbagala ziko juu huku kule Zanzibar ikiwa ndogo sana kama mtaa tu hapa...
Mwanza. Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoa wa Shinyanga, Emmanuel Ntobi na Katibu wake, Emmanuel Buyamba wamesimamishwa uongozi kwa muda wa mwaka mmoja kwa tuhuma za...
Serikali chini ya Rais Samia Suluhu imetangaza kuwa vipimo vya awali kwa wajawazito ambavyo vitahusisha kupima wingi wa damu, mkojo ili kuangalia wingi wa protin, Shinikizo la damu pamoja na...
RAIS DK.MWINYI APANDISHA PENSHENI KWA WASTAAFU NA WAZEE ZANZIBAR
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Serikali itapandisha pensheni kwa wastaafu...
Nimehangaika sana na CHADEMA tokea enzi zile tunakijiofisi kilichochoka pale Mwembe yanga jirani na Kisuma Bar
Tumehangaika sana kupigania nchi hii mpaka list of shame ikawekwa hadharani pale...
Sabaya alikuwa anatamba kwamba misheni zake alikuwa anatumwa na jiwe. Leo amekiri, kwa hakika ni siku ya aibu sana kwa utawala wa Hayati Magufuli.
Mimi kama mfuasi wa Jiwe, Leo nimekuwa na siku...
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA VIWANDA NA BIASHARA -ACT WAZALENDO NDG. HALIMA YUSUF NABALANG’ANYA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA WIZARA YA UWEKEZAJI, VIWANDA NA BIASHARA KWA MWAKA WA FEDHA 2023/24...
MAJI YA BOMBA YAENDELEA KUSAMBAZWA MUSOMA VIJIJINI - VIJIJI VYA BWASI, BUGUNDA NA KOME KUPATA MAJI HIVI KARIBUNI
RUWASA inaendelea kufanya kazi nzuri ya kutekeleza miradi ya usambazaji wa maji...
Kuna maneno maneno yanazunguka humu JF na kwingineko kutoka kwa Mamluki wanaotumikishwa, kwamba Wagombea Ubunge wa CHADEMA wamejimilikisha majimbo, na kwamba eti wale wagombea wa CHADEMA wa miaka...
Fuatilia yanayojiri kwenye Mapokezi ya Rais wa Rwanda Paul Kagame akiwasili nchini Tanzania leo Aprili 27, 2023.
Rais wa Rwanda Paul Kagame amewasili nchini leo na kupokelewa na Waziri wa mambo...
Jana Rais Magufuli alielekeza sekretariate na viongozi mbalimbali kuchukua hatua kali sana kwa wabadhirifu wa mali za chama huku wengine wakisubiri vikao vya chama. baadhi ya majina yaliyojitokeza...
Hakuna Hisani kubwa ambayo aliyekuwa Mbunge wa Mbeya kwa tiketi ya Chadema Osmond Mbilinyi amewahi kuipata kutoka kwa Mbunge wake na Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dr Tulia...
Mtaalamu wa wa Uchumi na Fedha, CPA Issa Masoud, ametaja sekta tatu zinazoipaisha nchi kiuchumi, chini ya uongozi wa Rais Dk. Samia Suluhu Hassan. Masoud alizitaja sekta hizo kuwa ni kilimo...
Hili ni andiko Maalum kwa Mheshimiwa Spika wa Bunge la Tanzania Tulia Ackson na wanaccm wengine , wakiwemo Babu Tale , Kabudi , Nape Nnauye , Kasimu Majaliwa , Abood , January na Wengine , kwamba...
Naona Wabunge na Mawaziri kutoka chama cha mapinduzi bado wanapeleka moto kwa Luhaga Mpina baada ya kuonesha kuwa-challenge kwenye masuala mbalimbali.
Akichangia Bungeni, Waziri wa Mifugo na...
HAKUNA HAKI BILA UWAJIBIKAJI KATIKA UTUMISHI WA UMMA
Watumishi wapya kutoka Ofisi ya Wakili Mkuu Mkuu wa Serikali wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika kuhakikisha wanatekeleza majukumu yao kwa...
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 19 leo Mei 5, 2023.
Wizara ya Mambo ya Ndani kupitia IGP imewataka ma RPC, OCD na wakuu wa vituo vya Polisi kukagua mara kwa...