Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na...
10 Reactions
63 Replies
7K Views
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu imeandika historia mkoani Kigoma ambapo imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 567 kwa ajili ya miradi tisa ya ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa...
0 Reactions
3 Replies
862 Views
Chadema wamekuwa na Tabia ya kumuhurumia zaidi Mwenyekiti Wao Mbowe kuliko mtu mwingine yoyote hapo Ufipa st Tunakumbushana tu kuna Watu wamepitia majanga makubwa zaidi wakiipigania Chadema...
7 Reactions
28 Replies
2K Views
Yamesikika mengi kuhusu ripoti ya CAG. Haikubaliki jiwe kuachwa juu ya jingine. Maendeleleo hayana chama hatimaye tuko hapa: Haikuwa rahisi kufika hapo. Pongezi kwao wote waliosimama imara...
2 Reactions
16 Replies
884 Views
Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine...
7 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimemsikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan na kupata ngumu faraja sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nyuma! Kuna kitu nimejifunza na kuanza kutamani sana...
7 Reactions
20 Replies
2K Views
Maandalizi ya Huu mtanange wa Urais 2030 siyo wa kitoto Dr Mwigullu featuring Mbowe vs Makamba featuring Zitto Huko Twitani mafaili yataanza kufunguliwa Jumatatu baada ya Kwaresma na Ramadan...
2 Reactions
21 Replies
4K Views
Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja, Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu...
16 Reactions
67 Replies
7K Views
Nimeshangaa kumuona Steve Nyerere akimshambulia Abdul Nondo wa ACT Wazalendo na kumwita ni mshamba. Mengele amesema Maandamano ni 'ushamba' na kwamba ripoti ya CAG imeshafanyiwa kazi katika...
8 Reactions
60 Replies
5K Views
Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo. Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Habari wakuu, hamjambo? Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila...
0 Reactions
2 Replies
430 Views
Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi: Msimamizi: ninaweza kufahamu kuna vyama...
1 Reactions
6 Replies
911 Views
Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 kwa kiwango cha lami, Aprili 23, 2023. Godfrey Kasekenya, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi Anasema: “Utashi na...
4 Reactions
8 Replies
3K Views
Wakuu habarini za muda huu. Hii nchi nikiisoma historia yake tangu uhuru mpaka sasa ilipofikia huwa inaniuma sana. Miaka 62 ya uhuru haiendani kabisa na maendeleo tuliyonayo kama taifa. Kwa...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi! Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu...
17 Reactions
137 Replies
8K Views
CCM 2025 wagombea ubunge na udiwani wote wawe ni watu waliotoa ajira kwa vijana kibao sio wapiga mayowe tu Tatizo la kuondoa Kero za ukosefu wa ajira CCM ianze kuwapa ubunge watatua changamoto za...
1 Reactions
28 Replies
3K Views
Jiji la Dodoma linaenda kubeba taswira rasmi ya Makao Makuu ya Nchi kufuatia Serikali kusema itajenga Mnara wa Mashujaa jijini humo. Kwa Mujibu wa Waziri wa Uratobu na Bunge Jenister Mhagama...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Tufanye yafuatayo: Kuna njia mbalimbali ambazo zinaweza kutumiwa kukabiliana na wanaofanya ubadhilifu wa fedha za umma katika taifa la Tanzania. Nne kati ya njia hizo ni: Kuchukua hatua za...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunapenda kuchagua viongozi ambao wanaweza kuongea vizuri na kuahidi mambo mengi, lakini hatujali sana kuhusu uwezo wao wa kutekeleza ahadi hizo. Uongozi ni vitendo na utekelezaji wa mipango...
1 Reactions
1 Replies
783 Views
Wana Dar es Salaam tuna changamoto nyingi sana. Lakini ya barabara imekithiri sana. Tunaomba ziara Dar es Salaam tukueleze shida zetu. Dar es Salaam ina barabara zinachongwa kwa mwaka zaidi ya...
5 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom