Profesa Muhongo: Hatupo tena Uchumi wa Kati, tumeporomoka

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,815
218,474
Profesa Muhongo amedai Bungeni kwamba, mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka GDP PER CAPITAL itakuwa US$ 990 na kwa hesabu hiyo tumeaga rasmi kwenye Uchumi wa Kati, Tumerudi chini tunaenda kwenye kundi la Nchi Masikini

.................

Akiwa Bungeni, Mbunge wa Musoma Vijijini, Prof. Sospeter Muhongo amesema "Ukuaji wa Uchumi ili uende kasi ndugu zangu lazima tuwe na bidhaa nyingi na mpya kwenye soko, sio kuongeza tozo. #Tozo na #Kodi hazikuzi uchumi, kinachokuza uchumi ni bidhaa kwenda kwenye soko la ndani na soko la nje, hivyo mipango yetu na bajeti itueleze hivyo,"

Pia amesema Tanzania imeshuka kutoka Uchumi wa kati na sasa ipo kundi la nchi masikini kwa mujibu wa vigezo vya Benki ya Dunia (WB) vya Julai 1, 2021. Amesema, "Sasa hivi GDP per capital (yaani pato la Taifa kwa mtu mmoja mmoja) yetu inakadiriwa mwishoni mwa Mwaka itakuwa dola 990, tumerudi chini, tutaenda kwenye kundi la Nchi Masikini kufuatana na viwango vilivyowekwa na Benki la Dunia, tusiongelee uchumi wa kati hatuko huko tena, tumeshuka"

Toa Maoni yako .

Mytake : Kwa kadri ya macho yangu na kwa kadri ya maisha halisi ya Watanzania , uduni wa maisha yao na uduni wa huduma za Jamii , huku kwenye nchi masikini ndiko Tanzania inakopaswa kuwa , Acheni kudanganyana .

FB_IMG_1597733863117.jpg
 
Profesa Muhongo amedai Bungeni kwamba , mpaka kufikia mwishoni mwa mwaka GDP PER CAPITAL itakuwa US$ 990 , na kwa hesabu hiyo tumeaga rasmi kwenye Uchumi wa Kati , Tumerudi chini tunaenda kwenye kundi la Nchi Masikini

Toa Maoni yako .

Mytake : Kwa kadri ya macho yangu na kwa kadri ya maisha halisi ya Watanzania , uduni wa maisha yao na uduni wa huduma za Jamii , huku kwenye nchi masikini ndiko Tanzania inakopaswa kuwa , Acheni kudanganyana .

View attachment 2410471
Uchumi wa kati kati.....
 
Sasa hivi ufisadi umerudi kwa speed ya 5G baada ya mafisadi kushika dola
 
unaweza kutukumbusha kidogo ?

Hii hapo chini link kutoka google, soma “economies which moved to higher category” ambao ni sisi yaani tuli move up ward kiuchumi, na sasa hivi tumeshuka, tena sana tu, na bado tunaendelea kushuka!

Labda haujui jinsi World Bank inavyofanya kazi, World Bank wana data zao wenyewe wana kila kitu wanapiga hesabu wenyewe!
Labda hujui World Bank wanaweza kudanganywa kama sisi tulivyodanganywa.Hivi unajua zilikuwepo tuhuma za sisi kuchapisha fedha bila WB kufahamu. Kama hilo liliwezekana nini kinashindikana wakati indicator zote za ukuaji uchumi zinaweza kuchezewa.

Taarifa za makusanyo ya TRA zilikuwa zinapikwa. Wafanyabiashara walikuwa wakiporwa fedha zao kisa tujiite uchumi wa kati.

Watu wamekwiba uchaguzi 2020 nini kinashindikana ?.
 
Labda hujui World Bank wanaweza kudanganywa kama sisi tulivyodanganywa.Hivi unajua zilikuwepo tuhuma za sisi kuchapisha fedha bila WB kufahamu !.Kama hilo liliwezekana nini kinashindikana wakati indicator zote za ukuaji uchumi zinaweza kuchezewa.

Watu wamekwiba uchaguzi 2020 nini kinashindikana ?.
Dah !
 
Back
Top Bottom