Rais Samia aitisha Baraza la Mawaziri kwa dharula, kujadili ajali ya ndege ya Precision

Replica

JF-Expert Member
Aug 28, 2017
1,445
7,813
Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri.

Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90.

=====

President Samia Suluhu Hassan has convened an emergency meeting on November 14 in the capital Dodoma.

The meeting will involve cabinet ministers to discuss the Precision Air plane crash that claimed the lives of 19 people.

Samia was in Egypt immediately after the tragedy, meaning she didn't participate in the national funeral service.

The emergency meeting comes hot on the heels of calls from the public for government to be answerable for the lack of proper rescue strategy.

The last time such an emergency cabinet meeting was called by a president was in the 1990s, and it led to major changes.

An investigation into the plane crash is underway.

Citizen
 
Hii ishu sio ndogo kama watu wengi wanavyoichukulia. Ni aibu sana kwa Taifa.

Waziri Mkuu wangu sikusemi kwa ubaya ila unatakiwa uwe ngangari sana. Ni aibu sana kwa karne hii ndege inaanguka mita 100 kutoka airport unashindwa kuokoa watu. Tena inaangukia kwenye maji!

Na mnasimama kabisa majukwaani mnawasifu wavuvi kuokoa watu, hamuoni albu hata kidogo? Kwa mtiririko wa matukio haionekani hata sehemu moja ambayo msaada ulitoka Serekalini au airport wakati wa uokozi! Hii ni mbaya sana!
 
AirInsight
https://airinsight.com › Airlines
Engine woes ground most of Air Tanzania's Airbus A220s

2 days ago — Engine woes ground most of Air Tanzania's Airbus A220s. The airline notified customers that services are reduced due to .....

Hili la ndege zilizonuniliwa kwa cash muundo wa Airbus a220-300 za Air Tanzania kuwa na matatizo ya engine nalo lijadiliwe, maana linasababisha miruko / flight za ATCL kughairishwa mara kwa mara ...

changamoto za kiufundi kote duniani za injini aina ya PW1524G-3 zinazotumikmaa katika ndege za Airbus A220-300 kumekuwa na uchaleweshaji wa ndege za shirika

Maneno mazito , serikali sikivu iyachukue na kuyafanyia kazi

The FAA released an Air Worthiness Directive 2019-19-11 requiring following actions on Pratt & Whitney Models PW1519G, PW1521G, PW1521GA, PW1524G, PW1525G, PW1521G-3, PW1524G-3, PW1525G-3, PW1919G, PW1921G, PW1922G, PW1923G, and PW1923G-A turbofan engines that have accumulated fewer than 300 flight cycles.

The FAA received reports of two recent IFSDs on PW PW1524G-3 model turbofan engines. The first IFSD occurred on July 25, 2019 and the second IFSD occurred on September 16, 2019. These IFSDs were due to failure of the LPC R1, which resulted in the LPC R1 releasing from the LPC case and damaging the engine. LPC rotor failures historically have released high-energy debris that has resulted in damage to engines and airplanes (see Advisory Circular (AC) 39-8, “Continued Airworthiness Assessments of Powerplant and Auxiliary Power Unit Installations of Transport Category Airplanes,”
READ MORE: rgl.faa.gov.
 
Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula

=====

President Samia Suluhu Hassan has convened an emergency meeting on November 14 in the capital Dodoma.

The meeting will involve cabinet ministers to discuss the Precision Air plane crash that claimed the lives of 19 people.

Samia was in Egypt immediately after the tragedy, meaning she didn't participate in the national funeral service.

The emergency meeting comes hot on the heels of calls from the public for government to be answerable for the lack of proper rescue strategy.

The last time such an emergency cabinet meeting was called by a president was in the 1990s, and it led to major changes.

An investigation into the plane crash is underway.
Hali ya utendaji serikalini imebadilika na imekuwa mbaya kupita kiasi:-
1. Makamba
2. Nape
3. Riziwani
4. Mambo ya ndani ya nchi
6. Doto biteko
7. Nchemba
8. Majaliwa
9. Mbarawa
10. Wakuu wote wa wilaya
11. Makatibu tawala wa wilay
12. Wakurugenzi wa Halmashauri
13. Waziri wa aridh naye ni bomu
14. Makatibu wa ccm wa wilaya
Wote Hawa na wengine wengi ni wapigaji na wanapiga pesa bila kuja kesho kitatokea nini.
Asipowaondoa na kuwabafilisha wengine yajayo ni makubwa zaidi kuliko tunavyofikiria
 
Ndege 3 katika ya 4 ilizonazo aina ya airbus a220-300 za shirika la ndege la Air Tanzania haziruki na kubaki zimepaki kutokana na tatizo la engine linalofahamika duniani kote hivyo ATCL nayo imesitisha kurusha ndege aina ya a220-300 hadi hapo ufumbuzi utapopatikana

Air Tanzania Suspends Services As Most Of Its Airbus A220s Are Grounded​

BYJAKOV FABINGER
PUBLISHED 1 DAY AGO

Three out of Air Tanzania's four Airbus A220s are not flying at the moment.

Air Tanzania has announced a temporary suspension of some of its services because of the ongoing technical problems with the Pratt & Whitney engines on some of its Airbus A220s. The East African airline does not have a target date by which it hopes to resolve this issue, so half of its A220 fleet remains grounded for the foreseeable future ........
Source : Air Tanzania Suspends Services As Most Of Its Airbus A220s Are Grounded
 
Kuna watu wanawajibika hapo
Tatizo letu wahusika ni wazembe sana wa kufuatilia mambo mpaka sisi wananchi wa kawaida tunaanza kutunga yetu

Inatakiwa sisi tupewe Habari kadiri zinavyotokea na sio kusubiri siku kadhaa ndio serikali inatoa majibu

Rais ana haki ya kukutanana nao maana wamekuwa waongo kwa taarifa kibao
Mwanzo walikurupuka wakasema ni hali ya hewa
Halafu tena Habari zinazunguka kuwa matairi yaligoma kutoka

Piga chini safu nzima Mheshimiwa Rais
 
Hapa kuna mtu anapaswa kuwajibika.. hasa waziri mkuu ambaye ofisi yake inahusika pia na masuala ya majanga na maafa.

Kweli nchi hii inakosa vifaa na mitambo kwaajili ya uokoaji?? Huu ni uzembe wa hali ya juu..vifo vya watu 19 vi juu yao.

#MaendeleoHayanaChama
 
Rais Samia Suluhu ameitisha kikao cha dharula na baraza la mawaziri kujadili ajali ya ndege ya precison iliyobeba uhai wa watu 19. Wakati ajali inatokea Rais Samia alikuwa nchini Misri.

Mara ya mwisho baraza la mawaziri kuitishwa kwa udharula huu ni miaka ya 90.

=====

President Samia Suluhu Hassan has convened an emergency meeting on November 14 in the capital Dodoma.

The meeting will involve cabinet ministers to discuss the Precision Air plane crash that claimed the lives of 19 people.

Samia was in Egypt immediately after the tragedy, meaning she didn't participate in the national funeral service.

The emergency meeting comes hot on the heels of calls from the public for government to be answerable for the lack of proper rescue strategy.

The last time such an emergency cabinet meeting was called by a president was in the 1990s, and it led to major changes.

An investigation into the plane crash is underway.

Citizen
Wana enda kutafuta slogan nyingine maana ya Majaliwa imeshabuma.
Nchi inaongozwa kwa matukio..
 
Wajenge uwanja wa ndege wa maana Bukoba. Waache kuendekeza ukabila na chuki dhidi ya watu wa Kagera. Kauwanja ka ndege kamebana mji wote na kapo mjini katikati, wamelazimisha hadi kamegawanya mji katikati, huwezi kwenda upande mwingine mpaka uzunguke. This is shame.

Alafu baadae mnakuja kuwasema watu wa Kagera eti hawaleti maendeleo kwao. Kuna mkoa ambao wenyeji wake wamejenga uwanja wa ndege au stend, masoko, n.k?? Muache ubaguzi
 
Hii ishu sio ndogo kama watu wengi wanavyoichukulia. Nia aibu sana kwa Taifa.

Waziri Mkuu wangu sikusemi kwa ubaya ila unatakiwa uwe ngangari sana. Ni aibu sana kwa karne hii ndege inaanguka mita 100 kutoka airport unashindwa kuokoa watu. Tena inaangukia kwenye maji!

Na mnasimama kabisa majukwaani mnawasifu wavuvi kuokoa watu, kwa mtiririko wa matukio haionekani hata sehemu moja ambayo msaada ulitoka serekalini au airport wakati wa uokozi! Hii ni mbaya sana!
Ukweli Mtupu Kwenye Hii Comment
 
Halafu mapumbavu yametekwa na stori sijui za muokoaji majaliwa! Shame@
 
Back
Top Bottom