Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msemaji mkuu wa Serikal Gerson Msigwa amesema Watu wote Waliotajwa kwenye Ripoti ya CAG watashughulikiwa hivyo Wananchi msiwe na wasiwasi Kadhalika Treni ya SGR itaanza safari mwisho wa mwezi...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Baniani mbaya kiatu chake dawa. Bila serikali ya SSH kuwakingia kifua, Kabudi, Mruma, Osoro na Luoga katika zoezi la kuisaidia serikali kujadiliana kwa tija ya taifa kwenye mikataba mipya ya...
2 Reactions
9 Replies
904 Views
SPIKA wa Bunge, Tulia Ackson amemzuia Mbunge wa Iringa Mjini, Jesca Msambatavangu aliyeomba mwongozo wa Spika bungeni leo Aprili 18 2023 kutokana na mgogoro mkubwa wa mbolea unaotishia mazao ya...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Magari ya abiria na mizigo yamekwama kwenye barabara ya kutoka Handeni-Kilindi-Kiteto-Kongwa na wengine kiketo -kondoa. Ndani ya nchi moja wengine wanajengewa barabara kupita juu ya maji (ziwa...
6 Reactions
43 Replies
2K Views
Kutokana na wimbi la ushoga na usagaji nchini kusambaa kwa kasi kupitia taasisi za elimu na ustawi wa jamii kwa maana ya vituo vya kulelea watoto hasa vinavyomilikiwa na wawwkezaji wa kigeni...
0 Reactions
10 Replies
924 Views
Nimekuwa nafuatilia sana maandiko mbalimbali ya mh Jussa wa ACT wazalendo ambaye mara zote anajaribu kuonyesha Wao ndio Wabunifu na Chadema huwaiga Hata Maridhiano anadai Maalim Seif ndio...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Kugombea ubunge ni suala la hiari, lakini kuutumikia ubunge huo sio hiari tena ukishachaguliwa. Lazima uwawakilishe wapiga kura wako Bungeni mawazo yao. Toka ayumbuliwe Uspika Bw. JOB NDUGAI...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mkuu wa Wilaya ya Rorya, Juma Chikoka ameshiriki kukabidhi madawati 50 kati ya Madawati 250 ambayo yametolewa na Bank ya NMB kwa shule 5 zilizopo wilayani hupo kwa lengo la kusaidia kupunguza...
0 Reactions
0 Replies
420 Views
Kwenye mkutano wake ule wa juzi na Viongozi wa Wanafunzi vyuo vikuu Rais Samia, alilikazia sana hili Suala, Tena akawa kama anafanya manipulation hivi Et "Tena akipatikana nikiwa bado Rais...
5 Reactions
15 Replies
1K Views
Na Daniel Limbe Chato SERIKALI wilayani Chato mkoani Geita imekanusha vikali uvumi uliosambazwa kwenye mitandao ya kijamii kuwa standi kuu ya mabasi ya Chato "Kahumo bus terminal" imetelekezwa na...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Ukiziangalia takwimu za tume ya takwimu zinatotokana na sensa ya 2022 karibu watanzania 55M ama ni watoto, wako shule, wanatafuta kazi au wamepoteza uwezo wa kufanya kazi wakitegemea nguvu kazi...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
PATO LA TRILLION 200 , ONGEZEKO LA TRILLION 15 KWA MIAKA MIWILI: A JOKE ? NO, LET'S SEE. Duniani IMF imejitengeneza kuwa benchmark ya twakwimu na kipimo cha ukuaji wa uchumi Duniani tangu ianze...
2 Reactions
27 Replies
2K Views
Meya na diwani wa zamani wa Kinondoni na Ubungo akiwa na ripoti za CAG mbele yake mezani studio ya Wasafi MEDIA na kuulizwa maswali na jopo la watangazaji na pia wasikilizaji anafafanua sababu za...
10 Reactions
18 Replies
3K Views
Anaandika Ezekiel Kamwaga: Tuwe makini Kuna fasheni imeanza ya watu kujionyesha wana msimamo mkali dhidi ya ushoga. Taratibu, jambo ambalo liko mbali sana kwenye matatizo yetu linaanza kukuzwa...
28 Reactions
115 Replies
9K Views
Mwanzo mimi ni moja ya watu ambao sikuamini kwamba Rais wetu mpendwa atatuvusha katika utawala wake. Lakini baada ya kuzitazama tawala zote 6 toka tupate uhuru pengine Rais Samia kwa mtazamo...
19 Reactions
60 Replies
3K Views
Nilikuwa miongoni mwa wafatiliaji wa nukuu za Mh Waziri wa habari na mawasiliano kijana mwenzetu, ndugu Nape Moses. Lengo langu halikuwa baya siku Ile ya uzinduzi wa mkongo wa Taifa ingawa...
2 Reactions
4 Replies
552 Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 6 leo Aprili 13, 2023 jijini Dodoma. SERIKALI YAAGIZA NHIF ITOE KIBALI MATUMIZI YA CT SCAN HOSPITALI YA IRINGA Agizo hilo...
5 Reactions
56 Replies
6K Views
Fuatilia yanayojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 11, Kikao cha 11 leo Aprili 20, 2023. Utafiti uliofanywa na Serikali kuhusu takwimu za idadi ya Watoto wa Mtaani Mwaka 2017/18 ulibaini kuna...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Anaposema Walimu waajiriwe wakujitolea hayupo sahihi Kwa mitazamo yangu. Hajui walimu wanaojitolea mashuleni ni zaidi ya laki moja nchi nzima na ajira zenyewe mnawapa kiduchu tena za masimango...
7 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom