Katika kusikiliza kipindi cha kuchangia mada ya kuhusiana na swala la ardhi ya Loliondo kupitia BBC leo Tarehe 10/04/2013 saa 7:15 jioni idhaa ya Kiswahili balozi waziri Kagasheki ameapa na kudai...
MAONI YAKO KUHUSU ELIMU KWA TAIFA LETU
MAONI yangu ni kuwa;
Kwanza nirejelee nini maana ya ELIMU.
ELIMU ni maarifa/ujuzi.wa kupambana na changa Moto za shughuri zako kujiletea maendeleo...
Ndugu wanaJF, nimeshangazwa na maneno niliyosoma kwenye gazeti la Mwananchi leo yaliyosema hivi "Kagasheki: CCM kazi ipo mwaka huu.."
''Hofu kuhusu nafasi ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao...
Usiri uliopo kwenye ajira Tanzania unatokana na usiri uliopo katika mfumo wa uteuzi. Kama wakubwa wanapatikana Bila kuwepo mfumo rasmi basi hata wadogo nao watapatikana Kwa usiri mkubwa.
Kama...
Wandugu asalaam!
Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi...
Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani...
Wasalaam ,
Hongera mhe Mbunge kwa kutetea tatizo kubwa la ajira hapa nchini hasa ktk Wizara ya Maliasili wakati akichangia Wizara ya Utumishi & Utawala Bora kwamba tatizo la ajira nchini limekuwa...
Wadau wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), wamewaomba wabunge kuwasikiliza wanahabari ili kubeba mapendekeo yaliyoachwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Habari uliowasilishwa Februari 10...
UFANISI Vs CHANGAMOTO ZA KIFEDHA NCHINI. NANI TUMPE MAUA YAKE MAPEMA?
Popote duniani wasifu wa fedha unategemea mambo kadhaa.
1. Hali ya uchumi wa nchi
2. Ufanisi wa sekta za umma na zile...
Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani...
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee.
Tambiko la pili...
Halima Nassoro kada CCM anayepora viwanja, kumg'oa Masanja Mwanza
Miezi minne sasa tangu sakata la uuzwaji wa viwanja viwili katika eneo la Rwagasore jijini Mwanza kuibuka, mapya yaibuka...
Bunge ni la CCM na Jina la Spika limeletwa Bungeni na Kamati Kuu ya CCM inayoongozwa na Mwenyekiti wa CCM ambaye ndiye Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye naye pia ni sehemu ya Bunge...
Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Haniu amefanya ziara katika Kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo.
Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi...
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Ruvuma (CCM), Mhe. Dkt. Thea Medard Ntara amehoji “Suala hili lina muda mrefu sana na Watoto wanazidi kunyanyasika kwa kuolewa na umri mdogo, Je, Serikali imejiwekea...
Nina imani na wabunge wazalendo walioko Bungeni ambao hawana hatia juu ya ubadhirifu ulioibuliwa na CAG, hawaungi mkono mafisadi kupewa miezi sita ili hatua kuchukuliwa!
Lakini pia, Karibu 90% ya...
Kutoka Dodoma ndani ya Bunge linaloendelea, Mbunge asiyefahamika vizuri aliyetajwa kwa jina la Mtemvu, aliyetajwa kuwakilisha jimbo la Kibamba ametoa hoja kwamba Sura ya Rais Samia Suluhu iwekwe...
Kama ni kweli Hii sio sawa,Wahusika chukueni hatua..
Mbunge wa Nkasi (Chadema), Aida Khenan amelalamika kubaguliwa na wakuu wa idara na watumishi wa Wilaya ya Nkasi akidaiwwamegoma kumpa...
ALIYEKUWA Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk. Willibrod Slaa, amesema hana mpango wa kurudi nchini kwa sasa na kwamba taarifa zinazosambazwa kwenye mitandao ya kijamii...
Namkumbuka sana Dr Willibrod Slaa mara kwa mara katika hotuba zake, ampeni zake alikuwa akihubiri na kulilia utawala wa sheria katika nchi hii.
Nataka kujua huko aliko, msimamo wake ni upi juu ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.