Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri wa Maliasili na Utalii, Mohammed Mchengerwa na Balozi wa Ujerumani nchini, Regine Hess, wameshuhudia kusainiwa kwa Mkataba wa Utekelezaji wa Mradi wa Bilioni 15 (Euro milioni 6), Kusaidia...
0 Reactions
0 Replies
447 Views
RAIS SAMIA NI KIONGOZI WA VITENDO Na.Amon Nguma Tumetimiza miaka miwili kwa mafanikio makubwa na sasa tumeingia mwaka wa tatu kwa kishindo kikubwa zaidi chini ya Uongozi wa Mama Mhe. Rais. Dkt...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Hii ndio Hali inayoendelea Kwa Sasa ,Mwenye shibe hamjui mwenye njaa. Nchi Ina Vipaombele vya hovyo sana hii. --- Waziri wa TAMISEMi, Angellah Jasmine Kairuki amewasilisha Bungeni Makadirio ya...
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Akiwa ziarani hata sitaki kujua ni wapi makamu wa rais alitoa tamko na kuomba msmaha kwa watu kukasimamishwa barabarani kupisha msafara wake upite. Hili kwa maoni yangu hata kama halikumfurahisha...
6 Reactions
88 Replies
7K Views
Tumeshuhudia kanisa la mfalme Zumaridi, Word of Reconciliation Ministries (WRM) la anayejiita Nabii Suguye na Spirit Word Ministry la Ceasar Masisi yakifungiwa kwa sababu mbalimbali ambazo hasa...
3 Reactions
32 Replies
3K Views
Hivi huyu kijana mwenzetu ana usafi gani hata achafuliwe binafsi na kwa wafuatiliaji wenzangu wa siasa ndani ya ccm watatambua ridhiwani kikwete hana usafi wowote hata kuwa katika nafasi ya...
0 Reactions
70 Replies
12K Views
Ni vizuri kama hao watu wangepatana, kwa sababu they are on the same side. Inaoŋyesha kwamba makachero wanagombana wenyewe kwa wenyewe. Mimi napinga hili ambalo naliona kama jaribio la kuwatisha...
7 Reactions
28 Replies
3K Views
Nimejiuliza sana tena sana, kwanini tunadanganyagwa na wanasiasa tusiowapenda kwa kupewa vijizawadi visivyo na tija maishani? Wanasiasa hao huja na vijizawadi vya kipuuzi kama vile chumvi ya...
5 Reactions
17 Replies
1K Views
HOTUBA YA WAZIRI KIVULI WA UTUMISHI WA UMMA, UTAWALA BORA NA MUUNGANO-ACT WAZALENDO NDG. PAVU ABDALLAH JUMA KUHUSU MPANGO WA BAJETI WA OFISI YA RAIS- MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA NA UTAWALA...
0 Reactions
3 Replies
847 Views
Katika kusikiliza kipindi cha kuchangia mada ya kuhusiana na swala la ardhi ya Loliondo kupitia BBC leo Tarehe 10/04/2013 saa 7:15 jioni idhaa ya Kiswahili balozi waziri Kagasheki ameapa na kudai...
0 Reactions
146 Replies
13K Views
MAONI YAKO KUHUSU ELIMU KWA TAIFA LETU MAONI yangu ni kuwa; Kwanza nirejelee nini maana ya ELIMU. ELIMU ni maarifa/ujuzi.wa kupambana na changa Moto za shughuri zako kujiletea maendeleo...
0 Reactions
6 Replies
904 Views
Ndugu wanaJF, nimeshangazwa na maneno niliyosoma kwenye gazeti la Mwananchi leo yaliyosema hivi "Kagasheki: CCM kazi ipo mwaka huu.." ''Hofu kuhusu nafasi ya CCM kwenye Uchaguzi Mkuu ujao...
2 Reactions
16 Replies
6K Views
Usiri uliopo kwenye ajira Tanzania unatokana na usiri uliopo katika mfumo wa uteuzi. Kama wakubwa wanapatikana Bila kuwepo mfumo rasmi basi hata wadogo nao watapatikana Kwa usiri mkubwa. Kama...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
Wandugu asalaam! Kwanini mamlaka za Dunia zinamfanya maskini kuwa kijiko Cha kuchotea ubwabwa? Sisi wapanga foleni wakati wa kupiga kura! Na sisi ndio wapambe wakati wa kampeni. Baada ya uchaguzi...
10 Reactions
54 Replies
5K Views
Mfumo wetu wa ajira nchini hasa ajira rasmi upo mikononi mwa wanasiasa. Leo wanasiasa wanaweza wakaamua Nani aajiriwe kwenye sekta binafsi au sekta ya umma. Wanasiasa pia wanaweza kuamua Nani...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wasalaam , Hongera mhe Mbunge kwa kutetea tatizo kubwa la ajira hapa nchini hasa ktk Wizara ya Maliasili wakati akichangia Wizara ya Utumishi & Utawala Bora kwamba tatizo la ajira nchini limekuwa...
2 Reactions
9 Replies
919 Views
Wadau wa Haki ya Kupata Habari (CoRI), wamewaomba wabunge kuwasikiliza wanahabari ili kubeba mapendekeo yaliyoachwa kwenye Muswada wa Mabadiliko ya Sheria ya Habari uliowasilishwa Februari 10...
0 Reactions
1 Replies
546 Views
UFANISI Vs CHANGAMOTO ZA KIFEDHA NCHINI. NANI TUMPE MAUA YAKE MAPEMA? Popote duniani wasifu wa fedha unategemea mambo kadhaa. 1. Hali ya uchumi wa nchi 2. Ufanisi wa sekta za umma na zile...
0 Reactions
0 Replies
411 Views
Mali za Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania zipo hatarini kukamatwa na Kampuni ya M/s Laemthong Rice Company Ltd inayoidai Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) kiasi cha Dola za Marekani...
1 Reactions
79 Replies
5K Views
Hii ndio Taarifa mpya kutoka Kijiji cha Kwa Msisi Mkoani Tanga ambapo imeombwa kwanza hela ya Tambiko mil 21 ili ujenzi wa barabara unaohusisha ukataji wa miti uendelee. Tambiko la pili...
14 Reactions
163 Replies
15K Views
Back
Top Bottom