Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan, anawatakia Kheri ya sikukuu ya Eid al Fitr Waislamu wote, na kuwakumbusha kuendeleza misingi waliyoiishi katika siku 30 za mwezi mtukufu wa Ramadhani, kwa kutenda...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kimeendelea kunuka Kenya. Hakuna anayekioanisha na ukabila isipokuwa kutokea Tanzania. Leo Raila alikuwa kapigwa kalamu kufanya vitu vyake Murang'a Ukikuyuni huko. Unamsimamisha vipi Tutu...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Kwanza nitoe pole kwa polisi Tanzania kwa kifo cha shemeji yao NURYA MKONDA (18) aliyefariki na mwanao Joas Oscar (2) kwa ajali ya moto wilayani kiteto mkoani manyara,Mungu wahifadhi waliko...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kama mpaka leo hamjajifunza, basi wadanganyika mna laana. Mamba haya hayana tofauti na yale ya kuchota hela kwenye mifuko ya sandarusi na kelele zilipozidi, mkaambiwa na Mamlaka ya juu kuwa zile...
7 Reactions
22 Replies
2K Views
Mishahara ya watumishi ni midogo saaana kuliko huduma/jasho wanayoitoa kipindi chote Cha ujana yao. Mishahara ya watumishi haiwatoshi kuishi, kuSomesha, na kujenga nyumba. Kima Cha chini cha...
15 Reactions
44 Replies
4K Views
Ukiangalia Bungeni Live kwa sasa! Utakachokiona ni mashindano ya wabunge wa CCM kusifia na kupongezana! Utakachokiona ni picha ya Unafiki uliopitiliza kwa asilimia kubwa ndani ya jengo la bunge...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Katika hili bunge la bajeti linaloendelea sasa hivi, pamoja na kwamba limekosa mvuto kutoka kwa jamii ya watanzania, kuna mambo matatu nimeyagundua. Kwanza, huu utaratibu wa kuondoa shilingi...
3 Reactions
41 Replies
11K Views
Kwamba Mheshimiwa Rais anapongezwa kwa kuifungua Demokrasia nchini. Lakini maandamano ya kupinga Ufisadi, Ubadhirifu na hujuma zilizotajwa na CAG yakipigwa marufuku? Kwamba Serikali inayopinga...
1 Reactions
7 Replies
784 Views
Ukiachana na uelewa, kitu kikubwa kinachotutesa Tanzania ni "utengano wa ujumla", watanzania hatuna common ground ambayo itatufanya tu "think and feel" pain or pleasure at the same moment in...
4 Reactions
8 Replies
885 Views
Mbunge wa Jimbo la Muhambwe mkoani Kigoma Mhe. Dkt. Florence George Samizi ameishukuru Serikali chini ya Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwapatia Jimbo lake la Muhambwe gari kwa ajili ya usimamizi...
0 Reactions
1 Replies
745 Views
Spika anakataliwa kila kona kisa kugomea report ya CAG kujadiliwa katika vikao vya bajeti vinavyoendelea sasa na kusema watajadili mwezi November leo asubuhi amebadili gia angani na kurejesha...
7 Reactions
109 Replies
8K Views
Kuna mazingira wananchi wametengenezewa na CCM kuwalazimu wao kusifia tu kusifia tu hata kama yeye na ukoo wao wote ni masikini wa kutupwa na hawana mbele wala nyuma CCM, yenyewe imejitengenezea...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Rungwe Mhe Jaffar Haniu amefanya ziara katika kata ya Ikuti na kukagua miradi ya maendeleo pamoja na kuzungumza na wakazi wa kata hiyo. Akikagua ujenzi wa shule mpya ya msingi...
2 Reactions
8 Replies
806 Views
Yaani CAG anagundua makosa ya budget ya 2020-2021 halafu anaitoa 2022 lakini wakubwa wanaipeleka mbele katikati ya budget ya 2023-2024. Hivyo matatitizo ambayo yamegunduliwa yanaweza yakawa...
2 Reactions
12 Replies
875 Views
Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Janejelly James ameishauri Serikali kuandaa eneo maalumu la viongozi kupumzika baada ya kazi akidai kuwa hivi sasa hali imebadilika kwa kuwa viongozi wameondolewa...
10 Reactions
58 Replies
4K Views
hechejohn Hivi ccm huwa inatoa wapi wabunge wajinga wa kiwango hiki!!!!! Imagine huyu ni kijana, kwasababu ya mshahara mkubwa na Posho hajui jinsi maisha yalivyo magumu kwa watu.. Bado anataka...
15 Reactions
34 Replies
3K Views
Kwa kweli hatuna budi kumshukuru sana Mungu kwa ajiri ya Rais wetu kuweka mkazo katika kutoa ajira kwa vijana wetu waliomaliza vyuo. Japo hitaji bado ni kubwa sana lakini hatuna budi kumpongeza...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS...
3 Reactions
24 Replies
2K Views
Huu ni ushauri kwa Vijana wote wa Taifa Hili bila kujali itikadi za vyama vya siasa Andaeni kijana mwenzenu kwa ajili ya Urais wa JMT 2030 kama kweli mnataka mabadiliko Hawa akina Dr...
5 Reactions
47 Replies
2K Views
Nimeona agenda ya kuftarisha imepamba Moto kila Kona huku majina ya viongozi yakitumika....kila kiongozi akiftarisha anamtaja mwenye nchi unajiuliza hizi fedha wametoa wapi? Je NI kweli wametumwa...
8 Reactions
8 Replies
929 Views
Back
Top Bottom