USSR
JF-Expert Member
- Jul 15, 2015
- 12,018
- 28,395
Kwanza nitoe pole kwa polisi Tanzania kwa kifo cha shemeji yao NURYA MKONDA (18) aliyefariki na mwanao Joas Oscar (2) kwa ajali ya moto wilayani kiteto mkoani manyara,Mungu wahifadhi waliko jiandalia,
Marehemu Nurya Mkonda alikuwa na miaka 18 wakati umautu unamkuta huku tayari akiwa na mtoto wa miaka 2 ikiwa na maana kuwa aliolewa akiwa na chini ya miaka 18 ikiwa na maana alikuwa anabakwa katika maisha yake yote ya ndoa kulingana na sheria zetu za ndoa na mahusiano ambazo askari Osca Joash aliapa kuzilinda .
Hii inawezekana kuwa hata wakati wa mahusiano kuwa marehemu umri wake ungeweza kuanzia chini ya hiyo miaka 16 ya mimba na ndoa ya chini ya umri wa kiserikali wa miaka 18 umri ambao huyo mtoto alipaswa kuwa shule,chuo hasa vyuo vya kati kulingana na sera ya taifa ,
Huu ulikuwa ubakaji uliofanywa na mtu aliyepaswa kusimamia sheria, kuwalinda watoto dhidi ya unyanyasaji wa kingono ,kama polisi ndio watakuwa wanabaka je raia wafanye nini?
Polisi mje na majibu ya maswali haya