CHADEMA maridhiano yenu na CCM yanadhoofisha mchakato wa kudai Katiba Mpya

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,068
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.

Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa wa CCM kutaka MARIDHIANO ili KUWAPUNGUZA NGUVU za KUDAI KATIBA MPYA.

Kumbukeni ni CCM waliovuruga BUNGE la KATIBA kwa kutaka Kuzuia RASIMU ya WARIOBA isipitishwe kuwa KATIBA MPYA
Ni CCM hiyo hiyo Chini ya DIKTETA MAGUFULI iliyosema KATIBA MPYA SIO KIPAU Mbele.

Kumbukeni ni CCM hiyo hiyo iliyomkamata Mh.Mbowe kule Mwanza wakati wa Uzinduzi wa MIKUTANO ya Kudai KATIBA MPYA na kumfungulia KESI ya UGAIDI ili KUMYAMAZISHA.

CHADEMA SHITUKENI
Rudini kwenye MIKUTANO yenu ya HADHARA kwa KUZUNGUKA Nchi nzima Kuwaelimisha WANANCHI Umuhimu wa KUDAI KATIBA MPYA
CCM inanufaika sana na KATIBA ILIYOPO.

Suala la KATIBA MPYA
"limekanyagwa "
masoudkipanya_1682062732249411.jpg
 
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza.Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.
Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa wa CCM kutaka MARIDHIANO ili KUWAPUNGUZA NGUVU za KUDAI KATIBA MPYA.
Kumbukeni ni CCM waliovuruga BUNGE la KATIBA kwa kutaka Kuzuia RASIMU ya WARIOBA isipitishwe kuwa KATIBA MPYA
Ni CCM hiyo hiyo Chini ya DIKTETA MAGUFULI iliyosema KATIBA MPYA SIO KIPAU Mbele.
Kumbukeni ni CCM hiyo hiyo iliyomkamata Mh.Mbowe kule Mwanza wakati wa Uzinduzi wa MIKUTANO ya Kudai KATIBA MPYA na kumfungulia KESI ya UGAIDI ili KUMYAMAZISHA.
CHADEMA SHITUKENI
Rudini kwenye MIKUTANO yenu ya HADHARA kwa KUZUNGUKA Nchi nzima Kuwaelimisha WANANCHI Umuhimu wa KUDAI KATIBA MPYA
CCM inanufaika sana na KATIBA ILIYOPO.
Suala la KATIBA MPYA
"limekanyagwa "
View attachment 2595254
Chadema ni genge la wahuni

USSR
 
Wewe uliona wapi Kikosi Kazi cha Prof Mkandala kinadai katiba kivyake na Mbowe anadai kivyake na Wote wako chini ya Mwenyekiti wa CCM 😄😄😄
 
Kwanini maridhiano ya Chadema na CCM yawazuie wengine kuidai Katiba Mpya?

Mnaonesha vile mlivyoweka matumaini yenu yote kwa Chadema, huu ndio wakati wenu kuamka, kwasababu hiyo Katiba Mpya haitakuwa ya Chadema peke yao.
 
CDM endeleeni na haya maridhiano, hawa watanzania si wa kuamini hata kidogo - baada ya uchaguzi viongozi waliitisha maandamano kupinga dhuruma ya wazi kabisa ya CCM lakini watu wakaishia chini ya vitanda vyao, matokeo yake viongozi wachache wa juu wa CDM na baadhi ya wafuasi wakapata mateso makubwa.

The good thing is, we will all suffer kama katiba itacheleweshwa lakini kifupi watanzania siyo supportive, ushauri CDM endeleeni na maridhiano.
 
Wadau ukweli toka CHADEMA na CCM wawe kwenye MARIDHIANO na CCM lile WIMBI la KUDAI KATIBA MPYA LIMEPUNGUA SANA na hata MCHAKATO ulioelezwa na WAZIRI wa SHERIA na KATIBA haujaanza. Pia Mh.RAIS alidai Wajumbe Watateuliwa lakini mpaka leo KIMYA.

Nawashauri VIONGOZI wa CHADEMA kuna Uwezekano mkubwa wa CCM kutaka MARIDHIANO ili KUWAPUNGUZA NGUVU za KUDAI KATIBA MPYA.

Kumbukeni ni CCM waliovuruga BUNGE la KATIBA kwa kutaka Kuzuia RASIMU ya WARIOBA isipitishwe kuwa KATIBA MPYA
Ni CCM hiyo hiyo Chini ya DIKTETA MAGUFULI iliyosema KATIBA MPYA SIO KIPAU Mbele.

Kumbukeni ni CCM hiyo hiyo iliyomkamata Mh.Mbowe kule Mwanza wakati wa Uzinduzi wa MIKUTANO ya Kudai KATIBA MPYA na kumfungulia KESI ya UGAIDI ili KUMYAMAZISHA.

CHADEMA SHITUKENI
Rudini kwenye MIKUTANO yenu ya HADHARA kwa KUZUNGUKA Nchi nzima Kuwaelimisha WANANCHI Umuhimu wa KUDAI KATIBA MPYA
CCM inanufaika sana na KATIBA ILIYOPO.

Suala la KATIBA MPYA
"limekanyagwa "
View attachment 2595254
Wenzako kelele za katiba mpya ilikuwa ni ulaji tu,wanalamba kwa sasa,usiwategemee hata kidogo
 
Shida ni Mbowe sio CHADEMA. Mbowe anataka institution nzima ifuate matakwa yake. Aondoke Sasa, tupate kiongozi atakaye jitenga na CCM na utapeli wake wa maridhiano.
 
Wewe uliona wapi Kikosi Kazi cha Prof Mkandala kinadai katiba kivyake na Mbowe anadai kivyake na Wote wako chini ya Mwenyekiti wa CCM 😄😄😄

Mkandala hakudai katiba mpya acha uongo, yeye alidai mchakato uanze baada ya 2025
 
CDM endeleeni na haya maridhiano, hawa watanzania si wa kuamini hata kidogo - baada ya uchaguzi viongozi waliitisha maandamano kupinga dhuruma ya wazi kabisa ya CCM lakini watu wakaishia chini ya vitanda vyao, matokeo yake viongozi wachache wa juu wa CDM na baadhi ya wafuasi wakapata mateso makubwa.

The good thing is, we will all suffer kama katiba itacheleweshwa lakini kifupi watanzania siyo supportive, ushauri CDM endeleeni na maridhiano.

Hapana CHADEMA waachane na hayo maridhiano ya kitapeli. Tupate somo kwa Maalim alifanya maridhiano na Karume mwisho wa siku wakamgeuka na kufuta uchaguzi na juzi kabla hajafa wakamtwanga marungu kwenye uchaguzi.

CCM watafanya maridhiano ili kukunyamazisha ili waendelee kuiba. Mbowe ametuingiza kwenye shida Kuna Sana.
 
Wenzako kelele za katiba mpya ilikuwa ni ulaji tu,wanalamba kwa sasa,usiwategemee hata kidogo

Niwe mkweli Mbowe anachofanya nadhani anakijua mwenyewe. Juzi Mnyika katoa ultimatum ya siku tatu lakini kanyamazinshwa kiss maridhiano. Ujinga mtupu.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom