Na Beatrice Kimaro BBC
Mchambuzi Tanzania
Katika miongo miwili iliyopita, tumeshuhudia uwekezaji mkubwa ukifanywa na Serikali ya Tanzania kwenye miundo mbinu ya usafiri na usafirishaji.
Ukiacha...
Angalia raia maskini wanavyohangaika kulima kwa jembe la mkono na kulipa kodi na tozo kandamizi.
Angalia wavuvi ambao hawalali na familia zao wanalipa kodi na tozo kandamizi huku wakikesha majini...
Sauti yake, manjonjo yake na mwonekano wake, ni MC mashuhuli, eti leo ni waziri?
Tanzania tuna tabu sana!
Tegemeeni bando kupanda kila uchwao na mitandao kuwa chini zaidi
Hatusemi kwa ubaya, ni...
Akizungumza katika Baraza la Eid El Fitri katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Rais wa Tanzania Mhe Dkt Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonesha na...
Serikali ya Tanzania chini ya Rais Samia Suluhu imeandika historia mkoani Kigoma ambapo
imetoa zaidi ya Shilingi Bilioni 567 kwa ajili ya miradi tisa ya ujenzi wa barabara zenye urefu wa kilometa...
Chadema wamekuwa na Tabia ya kumuhurumia zaidi Mwenyekiti Wao Mbowe kuliko mtu mwingine yoyote hapo Ufipa st
Tunakumbushana tu kuna Watu wamepitia majanga makubwa zaidi wakiipigania Chadema...
Yamesikika mengi kuhusu ripoti ya CAG. Haikubaliki jiwe kuachwa juu ya jingine.
Maendeleleo hayana chama hatimaye tuko hapa:
Haikuwa rahisi kufika hapo.
Pongezi kwao wote waliosimama imara...
Kutokana na taifa hili kuvamiwa kijeshi na kikundi cha watu wasio julikana miaka saba ya utawala wao taifa hili lilijazwa hofu watu kutekwa na kuuawa kama kuku, kupiga risasi watu hovyo na wengine...
Nimemsikia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mh. Samia Suluhu Hassan na kupata ngumu faraja sana ndani ya kipindi cha mwezi mmoja nyuma! Kuna kitu nimejifunza na kuanza kutamani sana...
Maandalizi ya Huu mtanange wa Urais 2030 siyo wa kitoto
Dr Mwigullu featuring Mbowe vs Makamba featuring Zitto
Huko Twitani mafaili yataanza kufunguliwa Jumatatu baada ya Kwaresma na Ramadan...
Namkumbuka Magufuli kwa kitu kimoja,
Akijua we ni threat kwake basi atatafuta mapungufu yako kisheria ambayo yanawza kugeuka jinai ili uwe mtumwa wake
EL alitaka kumvimbia akaitwa ikulu...
Nimeshangaa kumuona Steve Nyerere akimshambulia Abdul Nondo wa ACT Wazalendo na kumwita ni mshamba.
Mengele amesema Maandamano ni 'ushamba' na kwamba ripoti ya CAG imeshafanyiwa kazi katika...
Serikali imehamia Dodoma, na jengo mengi ya serikali jijini DSM ni mapango ya popo.
Kwanini serikali isitoe jengo hata moja tukapata ofisi ya RC yenye hadhi ya jiji bora kabisa East and Central...
Habari wakuu, hamjambo?
Kipekee ningependa kuchukua wasaa huu kuwatakia waamini wa dining ya Kiislamu na madheebu yake yote kwa ujumla heri ya sikukuu na kuwakaribisha kuendelea na maisha ya Kila...
Katika Hatua za awali za mradi wa MSWAHILI , wataalamu wa KEL wameamua kupima uelewa wa MSWAHILI kwenye masuala ya kisiasa. Mahojiano yalikuwa hivi:
Msimamizi:
ninaweza kufahamu kuna vyama...
Utiaji saini wa Mradi wa Ujenzi wa Barabara ya Sengerema - Nyehunge km 53.4 kwa kiwango cha lami, Aprili 23, 2023.
Godfrey Kasekenya, Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi
Anasema: “Utashi na...
Wakuu habarini za muda huu.
Hii nchi nikiisoma historia yake tangu uhuru mpaka sasa ilipofikia huwa inaniuma sana.
Miaka 62 ya uhuru haiendani kabisa na maendeleo tuliyonayo kama taifa.
Kwa...
Watu waliojiapiza maisha yao, kufa au kupona, kuuwa ama kuuwawa, ni mafisadi!
Ikiwa kweli mnamaanisha kupambana na watu hao hatari, anapotokea mtu mmoja kujitoa mhanga kuwataja hadharani watu...
CCM 2025 wagombea ubunge na udiwani wote wawe ni watu waliotoa ajira kwa vijana kibao sio wapiga mayowe tu
Tatizo la kuondoa Kero za ukosefu wa ajira CCM ianze kuwapa ubunge watatua changamoto za...
Jiji la Dodoma linaenda kubeba taswira rasmi ya Makao Makuu ya Nchi kufuatia Serikali kusema itajenga Mnara wa Mashujaa jijini humo.
Kwa Mujibu wa Waziri wa Uratobu na Bunge Jenister Mhagama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.